mmh
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,910
- 5,082
Iko wazi usafiri wa anga hauna mamlaka inayothibiti bei za makampuni, bei za tiketi za ndege ni kufuru! Tena local flight! Mbeya - Dsm- Mbeya route is worste kwa ughali! na makampuni hayo yanajinasibu eti yana bei nafuu!
Serikali tunaomba mumulike haya makampuni ya ndege ili kutulinda raia na wasafiri kwa ujumla kama mnavyothibiti nauli za mabasi kupitia sumatra na mafuta na umeme kupitia ewura huku ni kudrain uchumi wa wanyonge na kisha kutorosha hela za nchi kiujanjaujanja najua serikali ya awamu ya tano mnafuatilia sana kero za wananchi.
Mfano capture ya bei iliyochukuliwa 30/12/2015 at 00:20
FASTJET
MBEYA - DSM
Depart Arrive Fare Flight
Wed 30 Dec 09:30 10:55 Direct 550,000 TZS FN0122
Wed 30 Dec 18:00 19:25 Direct 440,000 TZS FN0124
MWANZA - DSM Wed 30 Dec
08:05 09:40 Direct 319,000 TZS FN0142
12:20 13:55 Direct 385,000 TZS FN0144
17:40 19:15 Direct 319,000 TZS FN0146
21:55 23:30 Direct 264,000 TZS FN0148
KILIMANJARO -DSM Wed 30 Dec
07:45 08:50 Direct 319,000 TZS FN0152
13:10 14:15 Direct 440,000 TZS FN0154
moderator usifute uzi huu tafadhari

Last edited by a moderator: