Usafiri mgumu.. msaada anaeenda Dodoma Kesho

Usafiri mgumu.. msaada anaeenda Dodoma Kesho

luqman luqman

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
850
Reaction score
1,403
Wakubwa nimetoka ubungo hapa hali ni mbaya gari zimejaa na mimi lengo langu jumatatu niamkie Dodoma.. Tusaidiane kwa mwenye lolote, tutachangiana.

NB: Nipo mwenyewe tu na kibegi cha mgongoni.
Pm tafadhali..

FFD306C7-14F3-47A8-A0C8-2B6B3BAC8E24-2664-000002009EE9118B.jpeg
 
Bro acha kutusolola mtu mwenyewe una gari kali umeiweka kwa profile halafu unatuzingua hata sisi tutanunua, ngoja anko magu amwage ajira hiyo mei mosi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uchuro kijana wangu 😔!!
...
Jana kasafirishwa dogo kwenda makao makuu ya nchi, tiketi tumekata asubuhi pale pale kwenye basi.
...
Leo nimempigia simu yule alimkatia dogo kuwa mwingine tena anaondoka kesho, jibu lake anasema njoo naye asubuhi ubungo.
...
Sasa sielewi unataka kujua au una....!
 
Acha uchuro kijana wangu !!
...
Jana kasafirishwa dogo kwenda makao makuu ya nchi, tiketi tumekata asubuhi pale pale kwenye basi.
...
Leo nimempigia simu yule alimkatia dogo kuwa mwingine tena anaondoka kesho, jibu lake anasema njoo naye asubuhi ubungo.
...
Sasa sielewi unataka kujua au una....!

Sawa mkuu nashkuru..
 
Nikajua jamaa wa Qnet wamekulipa vzr mpk umenunua hio Evoque.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom