Usafiri kutoka Tanga hadi Mwanza

Usafiri kutoka Tanga hadi Mwanza

dafuzima

Member
Joined
Apr 8, 2018
Posts
92
Reaction score
67
Habari wadau, hivi karibuni natarajia kusafiri kwenda Mwanza kikazi nikitokea Tanga, je ni gari gani zuri, na je USAFIRI upo wa moja kwa moja Hadi MWANZA? au Kuna kuunga unga safari, nsaidieni mana sina uelewa wa njia hiyo ndo Kwa mara ya kwanza, nawakilisha,.
 
Habari wadau, hivi karibuni natarajia kusafiri kwenda mwanza kikazi nkitokea Tanga, je ni gari gani zuri, na je USAFIRI upo wa moja kwa moja Hadi MWANZA? au Kuna kuunga unga safari, nsaidieni mana sina uelewa wa njia hiyo ndo Kwa mara ya kwanza, nawakilisha,.
Nenda Arusha, ndio utapata la Mwanza. Au Tanga mpaka Shinyanga halafu utafute ya Mwanza.
 
Back
Top Bottom