doooh hapa sasa zile baiskeli zetu za mbao zingefaaga sana aisee....! I miss them good old days~
Aaah twin......au ile tulikuwa tunaiita beringi.........au kiserere.........
TBH pacha sikumbuki jina lake...kule mndenyi kwetu zilikuwa famous sana...afu kwenye miteremko...it was all safe hadi enzi magari yalipoanza kuja hadi mndenyi kwetu..tukakatazwa, hatukuacha...nikapata ajali baiskeli yangu iligongana na mandolini...tangu siku hiyo niliacha kuendesha.
sipati picha ndo nimeipata ile baiskeli hapa kwenye hii bara bara...my favourite car ni any AUDI brand..lakini....sijui kwa nini sikuwaza hilo kwanza...my first thought...BAISKELI YA MBAO!
Sipati picha boda boda kaiona barabara kama hii
Kwa upuuzi wao ataendesha huku kafumba macho na kuachia mikono