Usafi wa nguo za ndani

Aliyeinzisha tabia ya kuvaa vyupi ningemuona ningemlisha pilipili kichaa 873 mdomoni kwa mkupuo
 
hahaaa umenichekeshaje

halafu kukojoa kwenye kopo duuuh
 
Mama usilala mike hivyo chamsingi anza kufua kuanzia jion
 
Ndo maana wengine tunapenda kutoka chukuchuku!
 
hahahahah hii thread nzuri sana mwanzisha thread anauthubutu
 
Sana 2 we mwanasheria mbona hujasema kama zako unafua baada ya mda gani
 
Dah! ni kweli kuna wanawake wachafu balaaa!, chupi kwenye lile eneo unaikuta imechafuka kama imepakwa grease au oil chafu....hutakiwi uzikumbuke wakati wa kula chakula kwani unaweza tapika chakula chote
 
Aaagh...mi nakula muda huu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…