Usafi uliopitiliza

Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,389
1,131
Mama mmoja huko Uingereza amelazimika kuomba talaka na kuachana na mumewe kutokana na mume huyo kua msafi mpaka kero...

mama huyo alivumilia mengi lakini hivi juzi alishindwa kuvumilia baada ya mumewe huyo kuubomoa ukuta wa fensi ya nyumba yao ili kuujenga upya kisa watoto waliutia tope na kuchafua rangi nyeupe iliyopakwa sikumoja kabla.
 
Back
Top Bottom