Usafi ukeni - Sharing is caring

OLESAIDIMU wa Jf, kweli wanipenda? Chunga kondoo wangu.

Hakika wakati wa uzee hutakuwa na nguvu ya kufanya "usafi nachurale"...........hivyo ningekupa japo nilivyosaza kuliko hao wakina Kaizer wanakuchochea sasa ili uingie kundi la wanaodai pensheni wao wafaidi juhudi zako juu ya chama chenu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Umeongea hasaaa...Pia mimi nilishaambiwa na Doctor wa wanawake...Tatizo ukiwa na wanawake wengine mitaani utasikia ooohh lazima mwanamke uingize kidole ujisafishe wkt hawajasomea....Doctors wa wanawake wanakataa kabisa coz kama ulivyosema unaingiza bacteria wengine unaweza jiletea matatizo....Kunatakiwa huko ndani kujioshe kwenyewe...Pia usipende kuosha chini na sabuni za manukato hata kuweka manukato kama perfume ni mbaya....."Nimemnukuu doctor"
 
Mmmmhhhh......
 
Amina!
 
Wanajamii hasa WANAWAKE ningependa kusema Msifanye vitu kwa uzoefu au kwakuambiwa na watu wasiokuwa na utalamu...Sisi wanawake tunamambo mengi sana katika miili yetu....Tupendi kupata ushauri kutoka kwa Doctor...Madoctor wapo kwaajili yetu ukimuuliza atakujibu swali lolote la mwili...Hata ukienda unaumwa malaria wakati anakutibu chomekea na swali la mwili wako hapo hapo atakujibu...

Uzoefu unatuponza tunapata magonjwa na hatujui yameletwa kwasababu gani..
 
naona utaalamu wa nyuchi umekuwa mwingi sana siku hizi manake dah! Haya sasa kazi kwenu wanawake wengine wanasema osha, wengine usioshe. Mimi yangu macho tu.
 
Hutaniwi my dia wangu? Nakuja sasa hivi ntumie hela ya tax m pesa

Fastjet si ndo inawahi zaidi. Siku nyingine utani kama utanikuta nshazikwa funza wanajitafunia tu kende zangu. Keimamae funza wana roho mbaya kama Hitler.
 
Hakika wakati wa uzee hutakuwa na nguvu ya kufanya "usafi nachurale"...........hivyo ningekupa japo nilivyosaza kuliko hao wakina Kaizer wanakuchochea sasa ili uingie kundi la wanaodai pensheni wao wafaidi juhudi zako juu ya chama chenu!!!!!!
OLESAIDIMU na Hommie Asprin mna diskasheni nini? Baada yabkusema hayo, nani kamwona amu hapa jamvini? Nina mzigo wake
 
Last edited by a moderator:
Fastjet si ndo inawahi zaidi. Siku nyingine utani kama utanikuta nshazikwa funza wanajitafunia tu kende zangu. Keimamae funza wana roho mbaya kama Hitler.

Hahaha....sirudii tena aisee ila ikitokea sitalia kiviilee
 
Hii mada mwili unanitetemeka kwa michango yote nilyoipitia
 
Ukitaka usimguse mkeo, achia mbali kuzama shuhudia mkeo anajifungua. Lazima upate trauma, kwa kifupi inatisha sana.

OLESAIDIMU na Hommie Asprin mna diskasheni nini? Baada yabkusema hayo, nani kamwona amu hapa jamvini? Nina mzigo wake

Mkuu Asprin ni kama vile kaandika will ila simo, sasa we unaona sawa kweli haya machangamoto bila ya baraka ya mwenyekiti wa kile chama itakuwaje!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…