usafi ni muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

usafi ni muhimu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by figganigga, Aug 6, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wakazi wa dar es salaam leo ni siku ya kujitolea kufanya usafi katika maeneo yanayokuzunguka.usikose.tunataka jiji letu liwe safi.mia
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  asnte kwa taarifa, na mimi naongoza wanamtaa wenzangu huku Maneromango kusafisha mitaro ya maji machafu.
   
 3. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Tuanzishe pia siku ya kusafisha viongozi wa serikali
   
 4. MJINI CHAI

  MJINI CHAI JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 1,775
  Likes Received: 574
  Trophy Points: 280
  Unaotuzunguka.......?
   
Loading...