Usafi, Kujipenda, kwenda na wakati. Ma sister duu wa Uganda kwanza, Kenya mwisho Tanzania

kumpima mtu kwa kumuona tu si sahihi kijana!!!!!!! Yapo mambo mengi sana. Je wajua wanalala wapi. Labda ni vibaka. Kama sifa kweli ya mwanamke awe amekamilika kwa vyote. Sijui wewe mwenzetu umebase nini hasa.
 
we mtoa mada umekurupuka,.au wewe mganda? ukiwa uganda wenyewe wanatamani watz girls walivyo wazuri na ni ukweli huo hauna pingamizi, tumezidiwa na waethiopia, wanyarwanda na south africa( kwa figures za maana) basi!
 
Huyo mweupe she is hot anaweza kuwa ndio chanzo cha global warming
 
waganda ni lazima wajipambe kwasababu uzuri natural walinyimwa, maana sura zao ni taabu tupu, umbo la kutafuta,...
 
Back
Top Bottom