Nilikuwa natingisha kibiriti tu, kumradhi.
Angalia watotoziiii wa Kigandaaaaazzzziiiiiiiii
View attachment 24431View attachment 24432View attachment 24433View attachment 24434View attachment 24435View attachment 24430
Ama kweli dunia imekwisha kukaa uchi ndio kwenda na wakati hakika huo si utamaduni wa mwafrikaAngalia watotoziiii wa Kigandaaaaazzzziiiiiiiii
View attachment 24431View attachment 24432View attachment 24433View attachment 24434View attachment 24435View attachment 24430
Ningeendelea kukwesheni hako kakijirisachi kako ila hizo namba nikikuuliza wangapi kati yao unawajua in person..umefika makwao ukaona kweli ni wasafi na wanaanza kujali sehemu wanazolala kabla ya wanachovaa sidhani kama jibu litakua zaidi ya asilimia moja!Na hapo na ongelea jibu ambalo ni la kweli bila hata kujidanganya mwenyewe...so i'm out!
1 Ngozi
2 Usafi wa akili kichwani
3 Kuchukia Uchafu
NK