Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,578
- 5,544
Jinga moja kwenye ubora wakeKojoa ukalale Ms Jenifer
Jinga moja kwenye ubora wakeKojoa ukalale Ms Jenifer
Hata hujui ubalozi wa Russia uko wapi kwa Africa. Kwanza Mmarekani akikunyima ARV na chanjo za watoto wako mtapuputika kama inziUmerogwa wewe si bure. Utaugua presha bure. Urusi baba lao dunia nzima.
Kwa hiyo kushambulia mitambo ya umeme yaan civilian infrastructure ni sifa au aibu?Kuna Prof. mmoja alikuwa anasema; hii ngozi ya mtu mweusi mwafrika athari ya kitu inaipima baada ya hicho kitu kumchoma na kumuunguza kabisa kwenye ngozi.
Juzi Ukraine imefanyiwa mashambulizi kwenye mitambo yake ya kufua umeme nchini mwake. Shambulizi ambalo limetendeka kwa saa kadhaa matokeo yake 50% ya nchi ipo gizani. Kwa tafsiri nyengine ni kuwa hakushindwa kuifanya 100% ya Ukraine iwe gizani.
Inakubidi utafakari! Ikiwa kama mifumo yako ya ulinzi ya anga imeshindwa kuinusuru nchi isiwe gizani mfumo wa nishati ndani ya nchi usididimie kwa tafsiri nyengine kashambulia alipopataka na adui yako kafanikiwa. Tafsiri yake ni kuwa anao uwezo wa kupiga pengine pasipo wewe kuweza kupadhibiti. Kwa sababu ameonyesha anao uwezo wa kupiga anapopataka na mifumo yako ikashindwa kudhibiti.
Adui wa namna hii si dhaifu! Anakutaka utafakari. Siku akikunjuka dunia msije mkapiga kelele mkasema ana roho mbaya!
Russia bila nyuklia ni sawa na jeshi la msubiji.Masuala mengine yanaenda kwa mahesabu ya kawaida. Nashindwa kuelewa uelewa wa watu ni mdogo sana ujinga ukakithiri sana, nashindwa kuelewa!
Hakuna ambaye anayemchukia Ukraine. Ila haipingiki na ukweli kuwa Ukraine haitoweza kushinda. Kwa ithibati/fact wala sio maoni. Labda tusukumwe na mtikisiko wa Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Ikitamkwa operation; kijeshi inakuwa ni yenye malengo maalumu kwa ajili ya kutimiliza kazi/wajibu fulani. Kwa misingi hiyo baadhi ya matumizi ya silaha, nguvu na maeneo ya mashambulizi yanadhibitiwa kwa sababu haupo kwenye vita bali upo kwenye jukumu maalumu la kutekeleza wajibu fulani. Hiki ndicho ambacho kinachofanyika Ukraine. Si ajabu baadhi ya miji haijaguswa kabisa.
Labda ujijibu kwa kutafakari: Hakuna ambaye asiyeijua nguvu ya kijeshi ya US. Hakuna asiyeijua nguvu ya kijeshi ya UK n.k yeyote akiamua kufanya mashambulizi yake ni maafa. Lakini UK yupo nyuma ya Russia, France ipo nyuma ya Russia, Poland ipo nyuma ya Russia n.k na hii ni kwa mujibu wa takwimu za kiulimwengu za kijeshi ya kuwa Russia kwa nguvu ya kijeshi ya kidunia ni 2 nyuma ya US.
Pentagon ilisema Russia inatumia 15% ya nguvu yake ya kijeshi nchini Ukraine. Ikiwa hizo nchi nyenginezo ambao ni washirika wa US tunafahamu nguvu zao za kijeshi na maafa watakayoyafanya lakini takwimu zinasema wapo nyuma ya Russia, tumeshawahi kujiuliza swali kama hili? Vipi kama Russia akiamua kutumia nguvu yake yote ya kijeshi Ukraine itakuwa katika hali gani?
Ikifikia hii hatua ni vita hiyo! Pengine tumesahau labda tujikumbushe. Georgia ni tofauti na Ukraine. Lakini ilitangaziwa vita na Russia. Matokeo yake ndani ya juma Georgia ikapigwa! Haikuwa operation kwao Russia bali ni vita. Hofu yangu ni kuwa ikiwa haya malengo ya Russia yakishindwa kufanikiwa kwenye hii operation yake itamlazimu atumie nguvu ya ziada ambayo ni vita.
Tusijihadae kwa upuuzi na ujinga ujinga mwingi. Kwa hali ya namna yoyote itakavyokuwa Ukraine ana wakati mgumu sana mbeleni. Na maadamu ni vita ya uchumi imeingia tena: Ikiwa hii operation itachukua muda mfupi atakayeathirika kiuchumi zaidi ni Russia. Ikiwa hii operation itachukua muda mrefu atakayeathirika zaidi ni watesi wake waliyomuwekea vikwazo ambao ni EU. Kwa misingi hiyo huu mchezo unahitaji mahesabu ya hali ya juu!
Akampige mama yake na hiyo nuclear .Russia bila nyuklia ni sawa na jeshi la msubiji.
Afunguke full mziki huyo Russia Kama ana huo udhubutu
Kumbuka Ukraine amepewa HIMARS ambazo they just hit within 70 km.
Vipi akipewa long range kombora akipiga civilian infrastructure within Russia?
Kwa kufupi Russian PUTIN anaogopwa kwa nyuklia tu
Huu mgogoro unaufahamu vipi mpaka matokeo yake yamekuwa mada duniani?!Russia ku mdhibiti Ukraine Bila risasi haikuhitaji kibali cha Kiev, na Kiev hakutakiwa kujuwa kuwa anadhibitiwa......otherwise Russians are not brainy!.
Jeshi la Ukraine kwa bara Ulaya nchi pekee iliyokuwa na uwezo wa kuweza kusimama naye kama vita vingeliibuka mbali na mtanange wa SMO anayoiendesha Russia ni Turkey peke yake. Haya si maoni yangu bali na ya wachambuzi wa kivita.Russia bila nyuklia ni sawa na jeshi la msubiji.
Afunguke full mziki huyo Russia Kama ana huo udhubutu
Kumbuka Ukraine amepewa HIMARS ambazo they just hit within 70 km.
Vipi akipewa long range kombora akipiga civilian infrastructure within Russia?
Kwa kufupi Russian PUTIN anaogopwa kwa nyuklia tu
Si kila kitu ni cha kila mtu!Mchezo unaitaji mahesabu alafu, wewe na point zako hesabu ujui
Ni vizuri tukasoma hatua kwa hatua na kabla ya kuzungumzia suala lenyewe inatubidi tulifahamu suala lenyewe. Inaweza ikawa tunajua maji kwa Sababu ya matumizi ila tukiulizwa maji ni nini tukashindwa kuyaelezea.Kwa hiyo kushambulia mitambo ya umeme yaan civilian infrastructure ni sifa au aibu?
Huko Crimea uliona Ukraine wakishambulia civilian infrastructure?
Hizo ndio akili za Russian.
Sasa hapa tunaanza kudangañyana! kama Russia wangekuwa na uwezo huo, naamini hadi sasa wangekuwa wamefika makao makuu ya Ukrane.Kuna Prof. mmoja alikuwa anasema; hii ngozi ya mtu mweusi mwafrika athari ya kitu inaipima baada ya hicho kitu kumchoma na kumuunguza kabisa kwenye ngozi.
Juzi Ukraine imefanyiwa mashambulizi kwenye mitambo yake ya kufua umeme nchini mwake. Shambulizi ambalo limetendeka kwa saa kadhaa matokeo yake 50% ya nchi ipo gizani. Kwa tafsiri nyengine ni kuwa hakushindwa kuifanya 100% ya Ukraine iwe gizani.
Inakubidi utafakari! Ikiwa kama mifumo yako ya ulinzi ya anga imeshindwa kuinusuru nchi isiwe gizani mfumo wa nishati ndani ya nchi usididimie kwa tafsiri nyengine kashambulia alipopataka na adui yako kafanikiwa. Tafsiri yake ni kuwa anao uwezo wa kupiga pengine pasipo wewe kuweza kupadhibiti. Kwa sababu ameonyesha anao uwezo wa kupiga anapopataka na mifumo yako ikashindwa kudhibiti.
Adui wa namna hii si dhaifu! Anakutaka utafakari. Siku akikunjuka dunia msije mkapiga kelele mkasema ana roho mbaya!
Russian tunakubali rank second in terms of military power ndio maani tunashangaa siku tatu had passed bila kumkumbatia UkraineJeshi la Ukraine kwa bara Ulaya nchi pekee iliyokuwa na uwezo wa kuweza kusimama naye kama vita vingeliibuka mbali na mtanange wa SMO anayoiendesha Russia ni Turkey peke yake. Haya si maoni yangu bali na ya wachambuzi wa kivita.
Kwa maana hiyo si UK wala member yeyote wa NATO ukimtoa US na Turkey aliyekuwa na uwezo wa kupambana na Ukraine.
Maelezo hayo machache ya juu unayaelewaje?
Halafu haya masuala hayahitaji mzizi wa mawazo. Dunia ni pana na haya masuala yametokea na kuhifadhiwa kwenye kumbukumbu na nyengine zikawekwa kwa mfumo wa documentaries, vitabu n.k
Hivyo, this is not some rumors, or some conspiracy. This is something that is documented officially. Suala lilobaki ni ufuatiliaji wa mtu.
Wanaosema Russia ana nguvu ya kijeshi mbali na Nuclear inakubidi ufanye utafiti.
Now tell me how the war vs Smo differs in the context of the current Ukraine Russia crisis.Ni vizuri tukasoma hatua kwa hatua na kabla ya kuzungumzia suala lenyewe inatubidi tulifahamu suala lenyewe. Inaweza ikawa tunajua maji kwa Sababu ya matumizi ila tukiulizwa maji ni nini tukashindwa kuyaelezea.
Binafsi nipo hivyo! Military operation ni nini?
Jawabu la swali lako limo humo ukiwa upo tayari kulijibu. Hatetewi mtu wala nchi! Tunachozungumzia ni athari ya kinachoweza kutikea baina ya Russia na Ukraine. Hicho ndiyo kivuli changu! Ukipozi kwenye mti wangu ujue aina ya mti niliyoupanda.
Rubbish for trashcan.Masuala mengine yanaenda kwa mahesabu ya kawaida. Nashindwa kuelewa uelewa wa watu ni mdogo sana ujinga ukakithiri sana, nashindwa kuelewa!
Hakuna ambaye anayemchukia Ukraine. Ila haipingiki na ukweli kuwa Ukraine haitoweza kushinda. Kwa ithibati/fact wala sio maoni. Labda tusukumwe na mtikisiko wa Ngoswe penzi kitovu cha uzembe.
Ikitamkwa operation; kijeshi inakuwa ni yenye malengo maalumu kwa ajili ya kutimiliza kazi/wajibu fulani. Kwa misingi hiyo baadhi ya matumizi ya silaha, nguvu na maeneo ya mashambulizi yanadhibitiwa kwa sababu haupo kwenye vita bali upo kwenye jukumu maalumu la kutekeleza wajibu fulani. Hiki ndicho ambacho kinachofanyika Ukraine. Si ajabu baadhi ya miji haijaguswa kabisa.
Labda ujijibu kwa kutafakari: Hakuna ambaye asiyeijua nguvu ya kijeshi ya US. Hakuna asiyeijua nguvu ya kijeshi ya UK n.k yeyote akiamua kufanya mashambulizi yake ni maafa. Lakini UK yupo nyuma ya Russia, France ipo nyuma ya Russia, Poland ipo nyuma ya Russia n.k na hii ni kwa mujibu wa takwimu za kiulimwengu za kijeshi ya kuwa Russia kwa nguvu ya kijeshi ya kidunia ni 2 nyuma ya US.
Pentagon ilisema Russia inatumia 15% ya nguvu yake ya kijeshi nchini Ukraine. Ikiwa hizo nchi nyenginezo ambao ni washirika wa US tunafahamu nguvu zao za kijeshi na maafa watakayoyafanya lakini takwimu zinasema wapo nyuma ya Russia, tumeshawahi kujiuliza swali kama hili? Vipi kama Russia akiamua kutumia nguvu yake yote ya kijeshi Ukraine itakuwa katika hali gani?
Ikifikia hii hatua ni vita hiyo! Pengine tumesahau labda tujikumbushe. Georgia ni tofauti na Ukraine. Lakini ilitangaziwa vita na Russia. Matokeo yake ndani ya juma Georgia ikapigwa! Haikuwa operation kwao Russia bali ni vita. Hofu yangu ni kuwa ikiwa haya malengo ya Russia yakishindwa kufanikiwa kwenye hii operation yake itamlazimu atumie nguvu ya ziada ambayo ni vita.
Tusijihadae kwa upuuzi na ujinga ujinga mwingi. Kwa hali ya namna yoyote itakavyokuwa Ukraine ana wakati mgumu sana mbeleni. Na maadamu ni vita ya uchumi imeingia tena: Ikiwa hii operation itachukua muda mfupi atakayeathirika kiuchumi zaidi ni Russia. Ikiwa hii operation itachukua muda mrefu atakayeathirika zaidi ni watesi wake waliyomuwekea vikwazo ambao ni EU. Kwa misingi hiyo huu mchezo unahitaji mahesabu ya hali ya juu!
Ukizungumza hivi na ndipo linapokuja swali la msingi. Mlifuatilia hili baada ya mgogoro kurindima au tangu awali? Hii ni nukta muhimu sana!Sasa hapa tunaanza kudangañyana! kama Russia wangekuwa na uwezo huo, naamini hadi sasa wangekuwa wamefika makao makuu ya Ukrane.
Tukubali kuwa kuna haja ya Russia kukaa chini ma kutafakari mbinu zake upya,
Kinachoonekana husomi kinachoandikwa Bw. Mkubwa!Russian tunakubali rank second in terms of military power ndio maani tunashangaa siku tatu had passed bila kumkumbatia Ukraine
Discard or take it in there is a serious gaps/problem within Russia command line and it's tech doesn't get well with the tactics they are using kwa Vita hii.
Mavifaru forming 65 km chain to Kiev can you ask those robotic Russian generals didn't they first evaluate the impact of juvenile?...ona Ukraine akauacha msafara usonge ila msafari vanished.
Ukweli utabaki palepale Russia is a super power with no integrity leadership from executives to military personnel
I believe Ukraine will not be able to defend the entire regained territories...no wazi they will face some sort of logistic problems but if they have local civilian support in regained territories Russia will have to consider full escalation of this war to win back the trust and so the territories.
Urusi lazma afunguke kweli kweli otherwise she gonna be a loser
Jeshi la Ukraine kwa bara Ulaya nchi pekee iliyokuwa na uwezo wa kuweza kusimama naye kama vita vingeliibuka mbali na mtanange wa SMO anayoiendesha Russia ni Turkey peke yake. Haya si maoni yangu bali na ya wachambuzi wa kivita.
Kwa maana hiyo si UK wala member yeyote wa NATO ukimtoa US na Turkey aliyekuwa na uwezo wa kupambana na Ukraine.
Maelezo hayo machache ya juu unayaelewaje?
Halafu haya masuala hayahitaji mzizi wa mawazo. Dunia ni pana na haya masuala yametokea na kuhifadhiwa kwenye kumbukumbu na nyengine zikawekwa kwa mfumo wa documentaries, vitabu n.k
Hivyo, this is not some rumors, or some conspiracy. This is something that is documented officially. Suala lilobaki ni ufuatiliaji wa mtu.
Wanaosema Russia ana nguvu ya kijeshi mbali na Nuclear inakubidi ufanye utafiti.
1. Hayo majimbo ni sehemu ya Ukraine au yalitekwa na Ukraine?Ukizungumza hivi na ndipo linapokuja swali la msingi. Mlifuatilia hili baada ya mgogoro kurindima au tangu awali? Hii ni nukta muhimu sana!
Rais wa Russia kwenye hotuba yake alisema kuwa Russia inatangaza special military operation (SMO) hakusema ni vita. Swali muhimu litakuja military operation ni nini?
Nimeshaelezea hapo juu! Kwa ufupi wa fafanuzi ni kuwa special task ili kukamilisha jukumu maalumu. Jukumu ni lipi?
Rais akaliweka wazi ya kuwa lengo ya hii SMO ni (1) kuikomboa majimbo Mawili ya mashariki dhidi ya uonevu wa jeshi la Ukraine, (2) Denazification napo ni kuondoa Unazi Ukraine na (3) Demilitarize yaani kulipunguza nguvu jeshi la ukraine.
Hili ndilo lengo la Rais wa Russia. Hotuba ipo YouTube. Ukiihitaji nakupatia link, ina dakika 30+..
-Kiistilahi ya medani za kivita military operation inakuwa limited kwenye mashambulizi n.k na hii ni kulingana na task inayowakabili. Ndivyo inavyofafanuliwa na wenye kazi yao.
Sasa aiteke Kieve ili iweje?
Lengo la SMO na 1 ndipo huko aliposhikilia 30% ya ardhi ya Ukraine. Lengo na 2 ni kikosi cha Azov. Namba 3 ndipo huko anapiga miundombinu yote ya kijeshi ya Ukraine na ndiyo maana Ukraine inaomba msaada wa silaha za kijeshi kwa sababu ghala za kijeshi, kambi, viwanda n.k na ndio maana Ukraine ikawa inaficha silaha zake kwenye makazi ya raia na kwa hili anapambana na jeshi la Ukraine kwa pamoja.
Sasa labda unifahamishe aikamate Kieve ili iweje? Ukitamka Russia anafanya vita utakuwa umemzushia maneno ya uongo Rais wa Russia na umeizushia uongo YouTube.
Wagiriki wanasema definition inafafanua maana ya kitu husika.Now tell me how the war vs Smo differs in the context of the current Ukraine Russia crisis.
Draw a clear line where the Smo ends and Vita ni kipi hasa ukitiilia naamani mapigwano ya mzozoo hu?
Ewaaa! Sasa tumefika naelewa uko wapi!1. Hayo majimbo ni sehemu ya Ukraine au yalitekwa na Ukraine?
Ni upuuzi kumega nchi kwa kisingizio cha kukomboa sehemu ambayo sio ya nchi husika
Ndio maana twasema Putin ni mpuuzi
2. Vipi kuzuia Ukraine ujiunge Nato. NATO Expansion..hii ilikuwa ndio sababu kuu, there after Sweden na Finland zilipojiunga hoja ikakosa mashiko.
4. Kwani Smo na Vita huwa vina malengo tofauti? End result
Coverage: limited coverage in Smo kwa mipigano ya Russian na Ukraine iko wapi?Matumizi ya cluster bombs bado unaiita smo?
5. Kiufupi hata soko la silaha la Russia litaporomoka following this failure...haiwezekan super power to fail to dominate Ukraine airspace with all battery system call them s300 even to SXYZ air defense system.
6. So kyiv retreat was a planned move....uwe mkweli so you want to tell us ule msafara covering more than 65 km kwenye malango ya kiev ilikuwa just a military show to test how effective the US juveniles are!
Juveniles alisambaratisha msafara then you make u turn to donbas.
Again you are telling us Russia hawaja retreat from from recently karkiv and eastern Ukraine i.e regained area Bali ni planned move iliyohusisha kuacha silaha and abandon important supplies areas?
KWELI ROHO IKIPENDA HULA NYAMA MBICJI
We mpumbavu namba moja, yani hakuna jeshi lisiloungana na Ukraine we kwa akili yako unahisi hio counter attack wanaifanya Ukraine? Kwa silaha zipi? Hapo wemepewa nguvu na NATO na silaha toka NATO washirika.hakuna jeshi lililoungana dhid ya rusia tuliza mawenge. ni ukrenians tu kwenye ubora wao. rusia ndie aliethibitisha kuungana na jeshi la belarus, na syria na mali kupitia wegner group pamoja na jamhur ya chenchen jumlisha na jeshi la ukraine walio jitenga pale donbas wapo upande wa russia.
ila ukraine ni one man stand army. hakuna jeshi la nje lilo ingia officially ndan ya ukraine
vikwazo vya kiuchumi alivyo wekewa havihusiani na jeshi kuingilia kati.
msaada wa silaha alizo pewa pia sio muingiliano kijeshi toka nje.
so unataka kuniambia javeline na himars ni kubwa kuliko uwezo wa jeshi wa russia kuweza kumudu??
hata javeline zingekuja milion na HIMARS laki. kama uwezo wako kikesh upo juu ungeweza kujua namna gan utazimudu.
au ulitaka RUSSIA apigane na kiwete asie na magongo ili umsifie.
NATO walicho wafanyia Ukraine ni kama kumpa magongo kiwete ili apigane na mwenye miguu miwili.