USA vs CHINA: DUNIANI KUMEKUCHA.

Unafikiri watu waliokufa miaka ya 1800 wakifufuka wakakuta simu, tv, ndege nk hawatasema sisi ni wachawi, miaka 100 ijayo kuna uwezekano watu wakaongeza umri wa kuishi mpak miaka 200.miaka 5 mpaka 10 ijayo roboti wataanza kutawala na tutaishi nao tu hii tutaishuhudia, maandalizi yanafanyika.mfano cloud computing technology ni mtandao mahususi utakaowawezesha marobiti kuwasiliana bila ya sisi kujua chochote, roboti mmoja anajinifunza kitu ana upload inf na roboti mwingine anacopy na kupest ktk ubongo wake.Kitu kikubw ndugu ni kuomba uzima tuwepo walau miaka 50 tu ijayo Kutatokea big paradim shift kama ilivotokea karne ya ishirini.Wanasayansi wameweza kufanya teleportation ya vitu vidogo vidogo sana kwa hiyo sio uchawi itawazekana.
 
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…