Mwasongola
Senior Member
- Aug 8, 2018
- 149
- 109
Cone-Artists wanaojenga flyovers na madaraja ya kutisha duniani?HahahahahHahahahaaa!Kama unabisha twende China tukahakikishe.Those short guys are pure "cone-artists"!
Ndio waliovumbua mabomuAnakuwa akitambulishwa mchina ndiye mmliki lakini nyuma ya pazia wapo wenye umiliki halisi.Hivi kwa kumtazama tu mchina kweli anaweza kuvumbua kitu cha maana zaidi ya mabakuli ya udongo?
Ndio walioanzisha mpira wa miguuAnakuwa akitambulishwa mchina ndiye mmliki lakini nyuma ya pazia wapo wenye umiliki halisi.Hivi kwa kumtazama tu mchina kweli anaweza kuvumbua kitu cha maana zaidi ya mabakuli ya udongo?
Ndio walioanzisha makaratasiAnakuwa akitambulishwa mchina ndiye mmliki lakini nyuma ya pazia wapo wenye umiliki halisi.Hivi kwa kumtazama tu mchina kweli anaweza kuvumbua kitu cha maana zaidi ya mabakuli ya udongo?
umeathiriwa sana na ukoloni wa mzunguAnakuwa akitambulishwa mchina ndiye mmliki lakini nyuma ya pazia wapo wenye umiliki halisi.Hivi kwa kumtazama tu mchina kweli anaweza kuvumbua kitu cha maana zaidi ya mabakuli ya udongo?
Kwa taarifa yako nchi za South East Asia jamaa wanaakili sana hata USA wanawaheshimu wanajua sana kufanya innovation ya technology, we jiulize kwann kila anachofanya mmarekani, Mchina au Mjapan au Mkorea anakiiba na kukifanya vizuri zaidi. Acha kuwazarau hao watu wakati wewe nchi kwako hata kiwanda cha baiskeli hunaWachina ni matapeli tu.Hawajawahi kuwa na teknolojia yao hasa inayoeleweka.Sanasana wanategemea wageni wanaotorosha teknolojia kutoka USA na Ulaya.
huyo elon musk sio muafrika kusini kweli!!Mkuu hapo sio Us vs CHINA, ni Elon vs China. project ya train china ni project ya goverment ya china kiujumla na Hyperloop ni project ya kampuni binafsi kabisa US haina hata share moja
Hahhhaaah!! Hiyo ishawahi kunitokea, demu mzuri kinoma nimepiga story njia nzima tunafurahi nikajua nishamaliza kazi,,, kuja kushtuka tupo Ubungo ndani halafu bahati mbaya zaidi stendi alikuwa anasubiriwa na father wake, aliposhuka tu akapanda x-trail... Yaani siku hiyo niliujua umuhimu wa business card!Tunaopenda kutongoza mademu njiani nzima ya safari wametuweza! Demu hata namba ya CMU hajakupa kutahamaki mshafika!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Teleportation ni fiction au ni uchawi kamili. Haiwezekani mavyumavyuma ama nyama zikayeyuka halafu kubebwa na mionzi na kwenda kutokezea upande wa pili, let say kilometers kadhaa ikiwa katika umbo lake halisi na kuendelea na hamsini zake bila shida yoyote.Pamoja na teknolojia ya hizoTELEPORTATION ndio itafunika zote hizo ingawa sio kizazi chetu watakao ishuhudia.
Tehe teheheheeer!Anakuwa akitambulishwa mchina ndiye mmliki lakini nyuma ya pazia wapo wenye umiliki halisi.Hivi kwa kumtazama tu mchina kweli anaweza kuvumbua kitu cha maana zaidi ya mabakuli ya udongo?
Umewatetea mno lakini umewabainisha kuwa ni tujizi twa teknolojia.Kwa taarifa yako nchi za South East Asia jamaa wanaakili sana hata USA wanawaheshimu wanajua sana kufanya innovation ya technology, we jiulize kwann kila anachofanya mmarekani, Mchina au Mjapan au Mkorea anakiiba na kukifanya vizuri zaidi. Acha kuwazarau hao watu wakati wewe nchi kwako hata kiwanda cha baiskeli huna
Umejaribu kuwatetea ila umerudi palepale kuwa hawana chao ila wizi wa teknolojia unawasaidia.Si kwamba wana akili sana bali ni wajanjawajanja fulani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona weye umeathirika na mauongouongo mimi sijamwambia MTU yeyote na bado ni siri yangu hadi hivi sasa?umeathiriwa sana na ukoloni wa mzungu
Halafu nasikia kwa jinsi walivyo advance inapokuwa kwenye mwendo haigusi reli, kwa maana hiyo hata uchakavu wa reli na magurudumu ni wa kiasi kidogo sana
Wewe umetorosha nini ndugu. Unajua kuwa baada ya USA, China ndo inafuatia kwa kuwa satellite nyingi angani. Kupambana na USA lazima uwe vizuri mzee, kama kuna nchi USA wanaiogopa kwa sasa basi ni China. Huwezi kupiga hatua za kimaendeleo kama China iwapo unategemea imported technology. Niambie kile ambacho USA wanafanya halafu China hawakifanyi.Wachina ni matapeli tu.Hawajawahi kuwa na teknolojia yao hasa inayoeleweka.Sanasana wanategemea wageni wanaotorosha teknolojia kutoka USA na Ulaya.
Bado ni yaleyale na weye umerudia.China hawana teknolojia yao kubwa waliyoibuni kwa uwezo wao kushinda USA. Ni wezi tu na weye umekiri hilo. Kwamba afanyacho USA na China anafanya?Vema.Vipi kuhusu umahiri na ubora?Wewe umetorosha nini ndugu. Unajua kuwa baada ya USA, China ndo inafuatia kwa kuwa satellite nyingi angani. Kupambana na USA lazima uwe vizuri mzee, kama kuna nchi USA wanaiogopa kwa sasa basi ni China. Huwezi kupiga hatua za kimaendeleo kama China iwapo unategemea imported technology. Niambie kile ambacho USA wanafanya halafu China hawakifanyi.
You are less informed ndugu.Bado ni yaleyale na weye umerudia.China hawana teknolojia yao kubwa waliyoibuni kwa uwezo wao kushinda USA. Ni wezi tu na weye umekiri hilo. Kwamba afanyacho USA na China anafanya?Vema.Vipi kuhusu umahiri na ubora?