Pamoja na teknolojia ya hizoTELEPORTATION ndio itafunika zote hizo ingawa sio kizazi chetu watakao ishuhudia.Huu ni mpambano wa teknolojia ya uchukuzi. Huku USA wakijivunia uvumbuzi/ubunifu wa bwana Elon Musk ambaye anakubalika sana kwa sasa duniani, Mtu huyu anafanya uvumbuzi mwingi wa kisayansi kama vile magari ya umeme, kusafirisha watu kwenda sayari ya mars kwa mfupi na linalo vitia zaidi ni ubunifu wake wa treni ya mwendo kasi mithili ya mwanga, hii ni Teknolojia ya Hyperloop inayo kusudia kufanya trein isafiri katika tube lenge vacuum/ombwe. Hii ni kufanya trein isafiri bila ukinzani wa hewa toka katika angahewa hii yetu(atmosphere) na itakapo kamilika itakua na mwendo kasi wa km1200 kwa saa. Hii ni sawa na kusafiri toka Kigoma mpaka Dar wa Salaam kwa saa moja.
Wakati hayo yakisherekewa na Wamarekani , hiko China Chini ya Shirika la Sayansi na Teknolojia ya usafiri wa Anga, Wamekuja na mkakati kabambe kabisa kabisa. Wachina wanabuni teknolojia ya usafiri wa haraka zaidi kwa kuchanganya teknolojia ya Trein ya umeme/sumaku na Teknolojia ya ndege na hivyo kuunda Trein inayo paa/ruka"The Flying Trein" Trein hii inatarajiwa kuwa na mwendo wa KM4000 kwa saa, Sasa kwa Trein hii ya Mchina unatoka Kigoma Mpaka Dar es Salaam kwa dakina kumi na tano tu (robo saa).Yaani ukikaa kimya chai basi Unapo maliza watu wanakua tayari wamefika Dar toka Bukoba.
Tuombe uzima ili Tuone mwisho ya yote nani ataibuka Mshindi.
Hata wakienda huko wakajifunza vitu vizuri, wakirudi huku wanateuliwa kuwa makatibu wakuu wa vyama vya siasa then taaluma zao na ujuzi wao wanauweka mifukoni wanaanza kula matapishi ya wanasiasa.Inapendeza sana...
Nilitaka kushauri na sisi tupeleke wasomi watakoiba huo ujuzi na kirudi nao hapa Tanzania tuunde vya kwetu...
Nimekuja kukumbuka hata wakifanya hivyo na wakarudi na huo ujuzi hawatapewa support yoyote...
Cc: mahondaw
Miaka bukuNgoja sisi tumalizie ule usajili then tutaanza kupambana na USA/CHINA
ova
Sent using Jamii Forums mobile app
The idies iliyopo ni kuipindua upinza tuko vizuri kwenye hii tecnologia huko bado sanaInapendeza sana...
Nilitaka kushauri na sisi tupeleke wasomi watakoiba huo ujuzi na kirudi nao hapa Tanzania tuunde vya kwetu...
Nimekuja kukumbuka hata wakifanya hivyo na wakarudi na huo ujuzi hawatapewa support yoyote...
Cc: mahondaw
Duu mwanangu acha kuwazalilisha wakwe zangu hivyoAnakuwa akitambulishwa mchina ndiye mmliki lakini nyuma ya pazia wapo wenye umiliki halisi.Hivi kwa kumtazama tu mchina kweli anaweza kuvumbua kitu cha maana zaidi ya mabakuli ya udongo?
Duh ila hii ni kama vile ulozi fulani japo sio official in public reformPamoja na teknolojia ya hizoTELEPORTATION ndio itafunika zote hizo ingawa sio kizazi chetu watakao ishuhudia.
Hata wakienda huko wakajifunza vitu vizuri, wakirudi huku wanateuliwa kuwa makatibu wakuu wa vyama vya siasa then taaluma zao na ujuzi wao wanauweka mifukoni wanaanza kula matapishi ya wanasiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
The idies iliyopo ni kuipindua upinza tuko vizuri kwenye hii tecnologia huko bado sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaa!Nimefuta kauli kwa shingo upande mkuu.
Hata hiyo ya sumaku nadhani ni teknolojia ya wajapani kama sijakosea sana
Mkuu hiyo Tecno ya sumaku ni wajep wanayo bullet inaitwa Meglev 603 km/h
Hata kama teknolojia siyo yake lakini anaweza kumagnify ideas za wengine to the maximum bado anastahili ShikamooUmepoteza shikamoo yako bure aisee!