Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,311
- 37,824
Alilia lia sababu hata yeye alikubali matakwa ya ussr kama asingekubali matakwa ya ussr angepinga matakwa yao yakutaka silaha za masafa ya kati za nyuklia kuekwa ulaya (shida unadhani historia unafatilia pekeako)Hakulialia, alizuia Soviet kuweka silaha Cuba. Na Soviet Union ilimtii Marekani, kama ingebisha ingelazimika kupigana na meli za Marekani zilizoizuia isipeleke silaha pale.
Marekani alileta ubabe na USSR ikaufyataView attachment 2866087
Nimesema kwa sasa, tafuta mtu ufundishwe tofauti ya past, present na future tense.
Hapa sasa unaleta ubishi wa kijinga kama jobless usiye na majukumu ya kufanya. Umetolewa kwenye reli unaanza kuandika pumba.
Kwani kuna sehem uliekwa mpaka kama inaongelewa sehem mojaMara hii umekimbilia kuizungumzia Syria tena. Na ulitoka Syria ukaenda Cuba. Vipi ya Yemen umeona yanakushinda?
Heheeeeee acha kumshambulia mtoa hoja shambulia hoja mzeeeJifunze kupangilia maneno na hoja kisha uje kunibishia. Hata kupangilia maneno hujui, hujui unabisha nini, wala hujui unachokiandika.
Hata username yako umekosea jina utajulia wapi mambo ya kijeshi na geopolitics.
kila mtu na timing zake,,,,,,kama kweli anataka kuichukua taiwan atashindwa??? kama hao jamaa hapo ukraine tu wanapata shida na hapo israel kakikundi kanawapa shida huko kwa mchina si ingekua balaakipind cha sakata la Taiwan , si lilisogezwa mchina akakaa kimya , kwann akuendelea kelele zake
Wewe elewa tu kwenye marathon ya technology China yupo front US anafuata nyumaTechnology ni kitu kipana...analimbiza upande upi wa Technology
Vumbi la kongo limekuwepo enzi na enziPole kijana vumbi la kongo ni hatari kwa afya yako
Ijapokua mzayuni wa jf ila nakupa tu kama ushauri wa bure
Mkuu si tunasoma kwenye Media.Aiseee na wewe uliona kabisa wajerumani wakichanganyikiwa?
Hii habari imetrend sana kwenye mitandao. Labda kama wewe si msomaji wa habari za kimataifa ndio utakuwa hujakutana nayo Mkuu.Unataka kusema kwamba hilo kombora lilipita kusalimia NATO kwanza ndo likaenda kulipuka
Hizi strungi za leo naomba mniache hapo mbele nyie nendeni tu😂😂
China akili kubwa wewe. China atakuja kuichukua Taiwan bila vita vyovyotekipind cha sakata la Taiwan , si lilisogezwa mchina akakaa kimya , kwann akuendelea kelele zake
Hata alkasus sinywi niliwahi kunywa siku moja nikaachana nayoVumbi la kongo limekuwepo enzi na enzi
Mpaka mnalitumia kwenye alkasus
Naunga mkono hoja hapaChina akili kubwa wewe. China atakuja kuichukua Taiwan bila vita vyovyote
kuna sehemu nimesema wamekataa au kukatazwa kuyaunda?? malizia kiporo na maji ya kandoroHiyo Mchina unayesema yeye mwenyewe yuko anaunda aircraft carrier nyingine. Yani wewe ujue kuhusu hatari ya makombora alafu walioyagundua wasijue hatari yake?
Unajua ulinzi unaoenda na Carrier Strike Group?
Kwamba majeshi yasiunde ndege kisa zinapigwa na anti aircraft missiles, sasa silaha na wanajeshi watasafirisha kwa ungo. Ni sawa na kusema tusizae watoto sababu huwa wanakufa au wanakuwa majambazi.
Unaweza tupatia scenario ni namna gani aircraft carrier inaweza pigwa hayo makombora.
[emoji3]kuna sehemu nimesema wamekataa au kukatazwa kuyaunda?? malizia kiporo na maji ya kandoro
Nilikuwa sijaona vizuri mkuuAliyoweka hapo ni Ford class. Ni leading Gerald R. Ford ndio CVN 78
Sijafuatilia zaidi kuhusu capabilities ya hizo hypersonic missile mkuu, ninachojua tu mpaka sasa US hajaanza kuwa nazo.Hypersonic missile unaicounter na defensive measures zipi?
Unaongea kishabiki sana mkuuImepunguzwa au haina
Maana huko beto alipoenda United Shits Of Americant na hizo ngarawa zake alipigana nanani
Maana tumeona pale houthi tu kaunda muungano halafu kakimbia zake
Hizo ngarawa zingezamishwa kama vidagaa ila kastuka
Ndivyo unavyojidanganya, USA hawezi kuzipeleka hizo aircrafts zake karibu na wa Houthi anajua muziki wake. Hata hizo alizozipeleka hapo gaza atazikimbiza mafichoni kama Israel na hizbollah watapigana vita kamiliSiku ya mwaka mpya US Navy iliua wanamgambo wa Houthi 10 wakiwa kwenye viboti vyaoView attachment 2866058
Meli za US zimekuwa zikifanya interceptions kadhaa za missiles na suicide drones, najua unajua ila inakuuma kukubali. Houthi hawana level za kupelekewa ca, rrier, hao ni watoto unless US iwe inataka kuwafuata kuwashambulia
Alokwambia mi nahitaji kuyajua ni nani? Yajue wewe unayetokwa povu kisa unaemshabikia hajielewi.Jifunze kupangilia maneno na hoja kisha uje kunibishia. Hata kupangilia maneno hujui, hujui unabisha nini, wala hujui unachokiandika.
Hata username yako umekosea jina utajulia wapi mambo ya kijeshi na geopolitics.
Mkuu unaweza nipa chanzo cha hii habari?Kwenye military Urusi ni kiboko amerusha kombora/drone limeenda hadi poland kwenye Kambi za Jeshi za NATO, Air Defense za NATO zikashindwa kutambua na kuidungua vilevile, halafu likageuza safari kurudi kushambulia Ukraine. Hiyo cha Mtoto; nyingine kapeleka drones Ujerumani zinazunguka kwenye anga la Kambi za Jeshi za Mafunzo ya Wanajeshi wa Ukraine huko Ujerumani. Wakitaka kuzitungua wanashindwa. Mpaka sasa Wajerumani wamechanganyiwa namna ya kudeal na hizo drones.
Ushabiki uko wapUnaongea kishabiki sana mkuu