elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
NEW WORD ORDER is in progress.
Hawa US na westerns wanataka kuanzisha WORLD WAR THREE. kuna new sunction bill ilipigiwa kura july mwaka jana(ambayo kuna kipengele kinataka "any country that will trade with IRAN, automatically it will not trade with US").
hizi sunctions wamezitangaza mwishoni mwa mwaka jana(lakini kwa kuficha hicho kitu). HEBU ANGALIA RON PAUL anavyojaribu kueleza ubaya wa hiyo sunction bill
JULY 2010 - US HAS DECLARED START OF WORLD WAR 3 - YouTube
New "Word" Order ndio nini? Wala hakutakuwa na WWIII asikudanganye mtu! Mbona Libya mambo yalienda shwari? Iran iache kiburi, itapata kichapo cha mbwa mwizi!
swali nalo jiuliza nan kampa mamlaka marekan kuchagua nani wa kumiliki na kutomiliki siraha za nyuklia?
India ina siraha hizo na u.s.a ilimpa support kubwa katka mradi wa kutengeneza siraha hizo.
Na kama hazifai kutumika kwanini kila yenye hizo siraha isiziharibu kwanini uhifadhi kitu ambacho hutokitumia kamwe.
Kiburi cha irani ni kipi? Kupinga ubeberu wa marekani dhidi ya nchi changa?
New "Word" Order ndio nini? Wala hakutakuwa na WWIII asikudanganye mtu! Mbona Libya mambo yalienda shwari? Iran iache kiburi, itapata kichapo cha mbwa mwizi!
Wapigane wasipigane, mapigano yao hayana faida kwangu.
simple minded....................u've to think big.Wapigane wasipigane, mapigano yao hayana faida kwangu.
Wapigane wasipigane, mapigano yao hayana faida kwangu.