USA na mkakati wa kuivamia Iran

nashangaa kuna watu natetea ujinga eti iran ni moto marekani akivamia atakiona cha moto, watu wakishaanza kupigika ndo haohao utawaona wanaanza kulalamika, wakat marekani anasema ataivamia iraq watu walikua wanacheka kua mbona unasema tu nenda ukachapwe, walipoenda kila mtu alianza kulia apa kichapo kilichokua kinaendlelea
 
iran haina ubavu wa kupigana na usa,itawapa usa pockets resistance kwa muda mchache tu then watamalizwa
 
U.S. naval strike group arrives in Arabian Sea as tensions continue to rise with Iran

  • Pentagon said deployment was 'not unusual'
  • U.S. denies role in killing of nuclear scientist
A new aircraft carrier strike group has been sent to the Arabian Sea - as U.S. tensions with Iran continue to escalate.
The move comes as Iran threatens to close the world's most important oil shipping lane, the Strait of Hormuz, if sanctions over its nuclear programme cut off its oil exports.


The U.S. military said it will stop any blockade of the strategic strait, and the top U.S. naval officer said preparing for a potential conflict there was something that 'keeps me awake at night'.

Another carrier strike group, led by the aircraft carrier USS Abraham Lincoln, concluded a port visit to Thailand on Tuesday and was now in the Indian Ocean.

It is on track to join the Vinson in the Central Command area of operations, which begins in the neighboring Arabian Sea.
A second U.S. military official added: 'It is not unusual to have two carriers in the CENTCOM theatre at the same time.
'I don't want to leave anybody with the impression that we're somehow (speeding) two carriers over there because we're concerned about what happened, you know, today in Iran. It's just not the case.'

- U.S. Captain John Kirby

Read more: http://www.dailymail.co.uk/news/article-2085553/U-S-naval-strike-group-arrives-Arabian-Sea-tensions-continue-rise-Iran.html#ixzz1jEdMjO8B
 
Hpo juu kuna mwan Jf,amenukuu hvi..New world order in progress : tht right ndg,mtu yoyte anayfaham mwisho wa gme hii ya sera hii alyoo tangaza baba yake na Bush 1990 akifungua bunge la marekani anajua mwisho wke ni kufikia kwa ONE WORLD GOVERNMENT,,yaani tutake tusitake,lazima hlo litatimizwa,sasa njia la kulitimiza hli mara nyingi vita ndvyo vilivyo harakisha kufnikisha uundaji wa tahasisi muhimu zitakazo fanikisha kufikiwa kwa hyo serikali mja ya kidunia,angaria wht hppen after wwi and wwii tumepata,Israel, UN,natahsisi nyngine nyingi zinazo andaa serikali hyo..mwaka huu 2012 ni mwaka muhimu sana kwa wapagani kufanikisha marengo yao ikiwemo hli muhimu kwao sanaa la serikali mja ya dunia,kabla ya mwisho wa mwaka wa mayan carelanda inayoishia tarehe 21 dec 2012,..hii ni conspiracy bt let wait and see wht will hppen drng ths tme ya yr ,Ron paul ni mtu anayejua mipango mingii hii ya wapagani ndyoo maana hpati coverage kubwa ya media za marekani kama hao wenzie.Wapagani wanamini kama jia hzii ztee wanazofanya hzita fankiwa kufkiwa kwa kuunda hyoo serikali mja bsi ww3 ni lazima ilikutimiza hlo lengo lao..Mtu unaweza jiuliza kvpi?Kwakweli kwa kiasi kikubwa wapagani ndyoo wamiliki wautajiri wte wa dunia tia ndani makampuni makubwa ya mafuta,viwanda vy silahaa dunia both russia,chna,jpani,german,france,italy,spain,north korea,Uk and usa,..media,wana ma agent kwenye taasisi zote za mahamuzi za dunia and individual country both rich na hzi za kwetu zinazoendelea tia ndani maraisi karib wte wa dunia hii kwa sasa, ..vikundi hvi vidogo vidgo kma boko haram,hzebolla na alqaedar,ni vkundi vya kipropaganda vinavyo saidia kupush sera zao na agenda zao za siri.thta is true a NEW WORLD ORDER IS IN PROGRESS. Theory ya synthesis na untsynthesis ndyoo inayofanya kzi kutimiza marego hyaa..hyoo jmaa yko uptodate sanaaa na yanayoendelea duniani.
 
unajua tatizo sio nguvu za kivita kati ya iran na US. Hebu angalia jinsi RUSSIA NA CHINA walivyo invest iran. Sasa unategemea nini endapo china and russia interests zao zikiwa interfered?.

Na ulisha jiuriza kwanini hizi nchi mbili huwa zinazuia iran kuvamiwa kijeshi kwa kura ya veto?. Hebu jaribu kubalance infos kwa ku-google neno press tv.
Usijidanganye ndugu, Iran ikishaanza kupigwa hakuna china wala Russia atakayeingilia. Umeshajiuliza kuwa mbona Russia na china walitumia veto kupinga uvamizi dhidi ya Iraq lakini bado Iraq ilipigwa na sadam amebaki historia, na nadhani unakumbuka jinsi Iraq ilivyoaminiwa sana na watu kuwa ingeonesha upinzani lakini ilikuwa aibu kubwa maana ndani ya siku 21 sadam akaikimbia ikulu na hakuna aliyejitosa kumuokoa.
 
Nimemsikia Panneta akidai kuwa kitendo tu cha Iran kuchimba biti kuhusiana na Strait of Hormuz hakitaendelea kuvumiliwa, sasa sijui alimaanisha kitu gani kwasababu kama ni vikwazo tayari washawekewa.
 
New "Word" Order ndio nini? Wala hakutakuwa na WWIII asikudanganye mtu! Mbona Libya mambo yalienda shwari? Iran iache kiburi, itapata kichapo cha mbwa mwizi!
Haaa, siamini labda unafanya mzaha. Hivi ni kweli mambo yameenda shwari Libya? Unamaana hakuna watu waliouawa? Hakuna miundo mbinu iliyobomolewa, ubora wa huduma za kijamii kama maji, tiba, elimu na nishati havijaathirika? au Libya hakuna ilichopoteza. Kama kuna watu wanamawazo kama hayo sitashangaa siku Tanzania ikishambuliwa na kuona watu wanashangilia. Bahati mbaya tena unashangilia Iran kushambuliwa!!! Itakumbukwa kwamba baadhi ya watu wanaopenda kuona damu inamwagika bila ya sababu walishangilia Iraq iliposhambuliwa kwa sababu za uongo. Matokeo yake zaidi ya raia 500000 wa Iraq waliuawa na vita vile, kwa sasa Iraq ni maskini na zaidai ya 50% ya watoto wana utapia mlo!!!
Eee baba Mungu wabalidishe mioyo yao hawa wasitamani tena kuona damu ikimwagika kwa ukatili wa wachache.
 
Iran ships approached U.S. vessels in Gulf

WASHINGTON (Reuters) - Small Iranian military motorboats approached U.S. vessels passing through the Strait of Hormuz twice last week but the Pentagon said the interactions were not seen as hostile, even at a moment of heightened tensions between the two countries.


Video released by the Pentagon showed the armed boats with the Iranian Revolutionary Guard Corps' navy approaching within several hundred yards (meters) of the USS New Orleans, an amphibious transport ship, on January 6, a U.S. military official said.
The same day, a similar incident occurred with the U.S. Coast Guard cutter Adak, with the Iranian boats seen riding in its wake, guns visible.

"This interaction between U.S. naval vessels and the Iranian vessels is commonplace," said Captain Jane Campbell, a Pentagon spokeswoman. "There is nothing in these that shows any kind of hostile intent."
U.S. officials say it is routine to take video of such incidents and the U.S. military decided to release imagery at the request of news organizations.

2012-01-14T010351Z_1_BTRE80D02YH00_RTROPTP_2_CNEWS-US-IRAN-USA-MILITARY[2].jpg

Nine American vessels have passed through the strait since the start of the year. It was not immediately clear whether any of the other seven had been approached in this manner by Iranian vessels.

The approaches come at a time of concern about the possibility of a clash between the United States and Iran in the Strait of Hormuz, the world's most important oil shipping lane.

MORE INFORMATION,cheki hapa
Iran ships approached U.S. vessels in Gulf
 
Nitajibu hapo penye nyekundu, NI NGUVU YA PESA NDUGU YANGU, IRAN ATATANDIKWA VIZURI TU NA KIRAHISI SANA PENGINE KULIKO HATA LIBYA, NA HAKUNA CHA WW111 WALA NINI:eyebrows: YA KWETU MACHO!

Umenichefua kwa hoja yako ya kipuuzi. Hata hivyo endelea maana ndivyo ulivyojaliwa; ila ujue hili beef lilianza miaka ya 80 na Marekani bado anahangaika nalo.

Naomba nitangaze wazi wazi Marekani kwangu ni sawa na nguruwe kwa muislam, ni sawa na laana inayotawala na kusumbua dunia, kidogo kidogo tunaizoea na kudhibiti vibaraka wake, wakiwepo tulionao hapa nchini.
 
Back
Top Bottom