STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Mimi ni mkristo. Sina udini wala u race. To me i always see humans regardless of their religion,color of their skin,where they come from.
Marekani hawezi kuingia kwenye vita na Iran kirahisi kwa sababu anajua uwezo wa Iran kivita na ndio maana Iran inajiamini. Kule North Korea aliitisha kwa kupeleka warships na hakufanya lolote, Iran wameshusha drone yake mpaka sasa umesikia response yoyote kutoka US? Marekani labda aunganike na NATO ndio aende vitani ila mwenyewe sijui anakwama wapi
Iran,wakapige pale Newyork kabisa. Siwapendi Marekani.
Nonsense.
Kichaa kupongeza Mwehu si ajabu!!!Safi sana dada kwa majibu
Mkuu kuna ugomvi?Kichaa kupongeza Mwehu si ajabu!!!
Kichaa kupongeza Mwehu si ajabu!!!
Hii ilikuwa Zama zile za Sadamu Hussein wa Irak na haikutokea.Kuna mastori Fulani ya kijiweni kuwa kuna reli inatengenezwa kutoka south Africa Hadi misri,reli hii itakuwa na matawi na kila upande utaunganishiwa hapo,halafu itafika Zama kutatokea vita kubwa mashariki ya Kati,vita hiyo italazimika afrika watoe majeshi Yao yote na watumie reli hiyo kufika hapo misri.
Kila leo sioni uwelekeo wa hili. Sijui lipo au halipo.walionisulia ni Wana dini Sana .
Huyu ana stress za maisha siyo siri. Kitu kimoja haujui hoja hujibiwa kwa hoja.Mkuu kuna ugomvi?
Hakuma ugomvi wowote bali nawaelimisha tu hawa vijana!!!Mkuu kuna ugomvi?
JF si mahali pa kutolea stress bali ni sehemu ya kuelimisha!!! wenye stress zao hawamo humu labda mihemko yako tu inakusumbuaHuyu ana stress za maisha siyo siri. Kitu kimoja haujui hoja hujibiwa kwa hoja.
Hoja hujibiwa kwa hoja.Hakuma ugomvi wowote bali nawaelimisha tu hawa vijana!!!
Huna hoja wewe,unaniita mwehu kisa naongea fact.Jiulize nani aliekuita names hapa ? Huna hoja.JF si mahali pa kutolea stress bali ni sehemu ya kuelimisha!!! wenye stress zao hawamo humu labda mihemko yako tu inakusumbua
Hakuna hoja yoyote iliyotolewa hapo bali chuki tu zisizo na sababu ndiyo maana ukajibiwa hivyo kama chuki zako zina sababu eleza hapa tukujibu!!!Hoja hujibiwa kwa hoja.
Lete hoja yako kama ina mashiko tukujibu si kusema tu unachukia watu bure!!!!!!Huna hoja wewe,unaniita mwehu kisa naongea fact.Jiulize nani aliekuita names hapa ? Huna hoja.
Wewe kwanza ulikuwa na prejudgement uliamini mimi ni Muislam kutokana na hoja zangu kwenye huu uzi. Nilipokujibu mimi sio muislam. Kwanza una udini nimeenda kukusoma unavyochangia miaka nenda rudi. Upo prochristian. Unaongonzwa na Udini. Hivyo basi nimeshakusoma. Nitakupa fact juu ya fact. Again Iran ni moto wa kuotea mbali. US kama US peke yake hawaiwezi Iran. Si unaona walivyowavua nguo kwa kuitungungua Drone ambayo iliaminika haitaonekana kwa recent technology walotumia US.Lete hoja yako kama ina mashiko tukujibu si kusema tu unachukia watu bure!!!!!!
Unaposema wewe ni Mkristo labda mfuasi wa Nabii Tito,Unaposema US peke yake yake haiwezi Iran lete fact zako ni nchi ipi inaweza kupigana na nchi nyingine bila msaada toka nchi nyingine??Lete fact zako tuzione!!!Wewe kwanza ulikuwa na prejudgement uliamini mimi ni Muislam kutokana na hoja zangu kwenye huu uzi. Nilipokujibu mimi sio muislam. Kwanza una udini nimeenda kukusoma unavyochangia miaka nenda rudi. Upo prochristian. Unaongonzwa na Udini. Hivyo basi nimeshakusoma. Nitakupa fact juu ya fact. Again Iran ni moto wa kuotea mbali. US kama US peke yake hawaiwezi Iran. Si unaona walivyowavua nguo kwa kuitungungua Drone ambayo iliaminika haitaonekana kwa recent technology walotumia US.
Akili kijiko hiziThat will never happen,America is a super power