Amesema Kweli jengeni chumi zenu acheni kwenda kudandia uchumi wa marekaniHuyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA!
Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu shetani atakuwa salama?!
Binafsi naamini huyu atakuwa mtawala wa awamu moja.Hata wao wana USA wanajutia kabisa kuwa na mtawala km yule!
Na nyinyi waafrika achaneni na huyo mtu wa ajabu. Utakutana viwa na siasa uchwara kutwa kuchwa kazi kujipendekeza kulaumu Africa yetu ili tu vipate maslahi yao ya siasa!
Haya sasa jamaa kawaita ninyi choo.Rudini tena Nairobi mkaongee na vyombo vya habari mmuombe msaada!
Yuko sahihi kabisa ni mda muafaka nchi za Africa kuboresha nchi zao ili watu wabaki kwenye nchi zao.kila MTU anataka kwenda ulaya na marekani.Huyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA!
Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu shetani atakuwa salama?!
Binafsi naamini huyu atakuwa mtawala wa awamu moja.Hata wao wana USA wanajutia kabisa kuwa na mtawala km yule!
Na nyinyi waafrika achaneni na huyo mtu wa ajabu. Utakutana viwa na siasa uchwara kutwa kuchwa kazi kujipendekeza kulaumu Africa yetu ili tu vipate maslahi yao ya siasa!
Haya sasa jamaa kawaita ninyi choo.Rudini tena Nairobi mkaongee na vyombo vya habari mmuombe msaada!
Good Comment.Yuko sahihi kabisa ni mda muafaka nchi za Africa kuboresha nchi zao ili watu wabaki kwenye nchi zao.kila MTU anataka kwenda ulaya na marekani.
Tatizo mkiambiwa ukweli hamtaki.
AsanteNikwasababu hamtazami mwelekeo Wa Dunia ndo maana watu wanahangaika.
Dunia imerudi ktk wakati Wa "Nationalism".kila mtu na chake !!.
Ni kweli kabisa; tuachane na mtu huyu wa ajabu tuwe upande wa huyu: GABON: Wabunge wabadilisha katiba na kuondoa ukomo wa Rais kwa mihula huku upinzani ukipinga Mkiambiwa "shithole" mnang'aka! That's the reality! Matendo yenu yanawafanya muwe hivyo.Huyu D.T anafikiri Africa na nchi zingine anazo zitusi pengine hakutakuwa na madhara kwake-ANAJIDANGANYA!
Hawa hawa anaowatusi Leo je wakiamua kuwa upande wa China na Russia kwa kila kitu huyu shetani atakuwa salama?!
Amesema Kweli jengeni chumi zenu acheni kwenda kudandia uchumi wa marekani