Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,332
- 144,793
Vyovyote tu.
Naam, vyoyote tu.
Vyovyote tu.
napenda kufuatilia mambo ya marekani maana mengi ni ya kusadikika
I think you're arguing and not saying something critical.
Mifumo ya ulinzi ya marekani iko juu kuliko nchini yoyote duniani.
Inayokuja kukaribia ni China. Kuhusu ubora US takes a lead.
Simple facts kama hizi hazihitaji reference.
We soma fuatilia internet utapata taarifa.
Informations are everywhere.
Pamoja na tofauti hizi Bado mataifa haya yanategemeana kisayansi. Na kiteknolijia kwenye baadhi ya mambo: na lengo kuu ni kujiweka updated na dunia.
Ndio maana kuna intellectual theft, brain drains. Espionage. Etc
Kwa hiyo wewe hapa ndio umeandika fact na critical Issue? Watu wengine bwana...