USA has more fighter planes than Russia and China Combined

USA has more fighter planes than Russia and China Combined

Mr. President
Waliinunua toka Urusi ikiwa haijakamilika kujengwa ikawa towed mpaka China. Wachina wanategemea engines za Ujerumani kwenye submarines zao.
 
Last edited by a moderator:
Military spending,american wanaongoza~its obvious watawazidi wengine kwa mbali sana
 
Ndo maana sina ushabiki wa kitoto

I think you're arguing and not saying something critical.

Mifumo ya ulinzi ya marekani iko juu kuliko nchini yoyote duniani.

Inayokuja kukaribia ni China. Kuhusu ubora US takes a lead.

Simple facts kama hizi hazihitaji reference.
We soma fuatilia internet utapata taarifa.
Informations are everywhere.
Pamoja na tofauti hizi Bado mataifa haya yanategemeana kisayansi. Na kiteknolijia kwenye baadhi ya mambo: na lengo kuu ni kujiweka updated na dunia.
Ndio maana kuna intellectual theft, brain drains. Espionage. Etc
 
Hawana wehu wa akili kiasi hicho wakaeleza ukweli mti alichonacho. Inabaki ni siri tu ya wahusika wawawezi kueleza ukweli no siri ya jeshi husika
Mkuu ukae ukijua siri ina darja > .3!1.Secret2.Top Secret3.Tabookwenye darja hizo ndizo zinawezesha ni Nani ajue siri gani!
 
Nyani Ngabu

Sasa mkuu source unazotoa ni za kwao huoni kama ni propaganda tu? unaweza kutudhibitishia ukweli wa hayo maelezo kwenye link? sioni kama una hoja zaidi ya ushabiki tu usiopambanishwa na upande wa pili.
 
Last edited by a moderator:
It's because American economy is largely based on military industry. Military industry lobby for wars so that it could sell military weapons to the US administration or sell to other foreign countries.

I dont mean to be disrespectiful ila ckujua kama kuna watanzania wengine wanajua huu ukweli, its more than true kwamba kuna watu wana lobby vita na conflict ziendelee sehem mbali mbali duniani ili silaha zinunuliwe na hasa wana lobby kuweka hofu kwa jamii ya wamarekan ili congress ipitishe uamuz wa serikali ya marekan kununua silaha zaid!!!

china na urusi hawajivunii uwing wa expensive jet, wao wanateknolojia ya kuproduce maelfu ya cheap interceptors kama mig and sukhoi na wachina wana zile cheng du, f5 tulizonunuz sis nk ili vitan marekan akiwa na ndege 1 kama f18 wao wanapeleka 20 so hata iwe modern vip haitaweza shinda iyo vita kwa issue ya idadi tu

pia warus wao wanategemea zaid zile air defence system kama iskander ect kuzuia hizi ndege na ndo mana warus wana tanks nyingi sana ili us wakisema ok twenden ground basi ndo wakakutane huko!!!

so urusi and china wako more than capable ku make account of themselves kwenye vita na us usijidanganye kabisa!!!
 
Sasa mkuu source unazotoa ni za kwao huoni kama ni propaganda tu?

Kwa hiyo kama hizo 'sources' ninazozitoa zingekuwa ni za North Korea au Russia ungezikubali? Zisingekuwa ni propaganda?

unaweza kutudhibitishia ukweli wa hayo maelezo kwenye link?

The proof of the pudding is in the eating.

Hivyo sina haja ya kuwathibitishia chochote.

Mimi nimeweka hapa. Hutaki unaacha.

sioni kama una hoja zaidi ya ushabiki tu usiopambanishwa na upande wa pili.

Hata mimi naona dhahiri shahiri kabisa kuwa nawe huna hoja zaidi ya chuki na wivu tu ulionao dhidi ya Marekani.
 
udogoni nilikuwa najiuliza vita ya dunia ilikuwaje? nini kilitupata dunia nzima mpaka tukaanza kupigana... kumbe ni ushabiki kama huu ndo ulisababisha yote...... napenda kufuatilia mambo ya russia maana mengi yamefichika.... napenda kufuatilia mambo ya korea maana hayaeleweki.... napenda kufuatilia mambo ya china maana mengi siyajui,,, napenda kufuatilia mambo ya marekani maana mengi ni ya kusadikika
 
Kwa hiyo kama hizo 'sources' ninazozitoa zingekuwa ni za North Korea au Russia ungezikubali? Zisingekuwa ni propaganda?



The proof of the pudding is in the eating.

Hivyo sina haja ya kuwathibitishia chochote.

Mimi nimeweka hapa. Hutaki unaacha.



Hata mimi naona dhahiri shahiri kabisa kuwa nawe huna hoja zaidi ya chuki na wivu tu ulionao dhidi ya Marekani.

Unachokifanya hapa hakina tofauti na kile ulichokipondwa DPRK kwa kudai kuwa kwa propaganda hawana mpinzani. Kama ni kweli hata wewe unachofanya hapa ni propaganda tu.
 
Duh! sasa wasiyapeleke madude hayo huko Syria & wakawamenye ISIS?

Inauma sana Mbwa kama wale wanaua Wakristo na watu wengine wasio na hatia. Tena kinyama.

As long as there is no Russian air defence systems. In Belgrade simple russian SAM brought down a sophisticated American high tech stealth jet.
 
the so called raptor F22 - with all the qualifications claimed by american propagandist it has never tested combat, infact it cant turn, it cant climb, its too heavy and its vulnerable even to small hand carry fire arm sasa hadi programme imekatishwa kwan haina faida!!! ni sifa tu za kipuuz si kila kitu ghali ni bora!!!
 
Back
Top Bottom