Usa green card-dv2013

MFYU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
505
68
Banduguz! Umu ndan kuna m2 amekua selected kwa GREEN CARD 2013,kuna ishu mekwama kidogo...any1 plz msaaada
 
Daima Mtanzania sintachukua URAIA wa nchi nyingine kwa kuwa sintabadilika kuwa mkitu kingine za ya MTANZANIA
 
Banduguz! Umu ndan kuna m2 amekua selected kwa GREEN CARD 2013,kuna ishu mekwama kidogo...any1 plz msaaada
Umekwama sehemu gani mzee??? pia wale ambao hawajachaguliwa matokeo yalipotoka May 1, bado kuna nafasi nyingine August. Mmeambiwa mrudi tena August kutazama tena.

2013 Entrant Status Check

https://www.dvlottery.state.gov/

DV-2013 entrants may now enter their confirmation information through the link below, as of noon (EDT) May 1, 2012. The DV-2013 registration period was from October 4, 2011, until November 5, 2011. DV-2013 entrants should keep their confirmation number as it is possible that more entries may be selected on October 1, 2012 at noon (EDT).

Case number yangu ni kubwa kidogo..2013AF0076,***! Want to predict lini watanita ktk intavyuu,maana naskia the lower the#,the earlier waitwa! Ila so far nsharudsha form zao to kentucky thru DHL! Waiting fo 2nd NL..
 
Sasa ndugu unapoweka hiyo thread isiyojitosheleza, unataka tuwe watabili wa shida yako? Funguka ili kama kuna mwenye kukusaidia na akusaidie.
 
Case number yangu ni kubwa kidogo..2013AF0076,***! Want to predict lini watanita ktk intavyuu,maana naskia the lower the#,the earlier waitwa! Ila so far nsharudsha form zao to kentucky thru DHL! Waiting fo 2nd NL..

Umelipia bei gani so far?
 
Nchi yenyewe imejaa ufisadi hii ya nini? nchi inaongozwa na watu dhaifu.. ukipata nafasi ya kusepa unasepa tu kubaki hapa ni kujipunguzia siku za kuishi

kweli maana huko marekani kunaongozwa na watu madhubuti wa akina Andersson Cooper
 
Wanaohama nchi zao ndiyo wanazidisha umasikini. Kaeni nyumbani mjenge nchi.

Last edited by a moderator:

Uchumi gani huu unaotaka mtu afungwe kamba nyumbani kwake kama mbuzi wa hitima?

Uchumi wa dunia hii ya teknolojia au wa mwaka 1947?
 
Last edited by a moderator:
Acha kuukana uraia wa nchi yako. Njaa itakuua.

Nawashangaa sana watu ambao mpaka leo wana mawazo mgando kama haya,inaonyesha kabisa jinsi wasivyojua maana ya Diaspora,labda niulize tu,hawahawa mnaowapinga wakiamua kujenga wanajenga wapi kama sio kwao,na inakuwaje kila mara tunapowapigia simu wimbo wenu wa Taifa ni umasikini na kuomba mtumiwe hela.Acheni unafiki,hata hao walioendelea kiuchumi wameendelea baada ya kutoka na kufanya biashara na mataifa mengine,sasa ndugu zangu mnakalia utanzania mnaficha nini huko mpaka msitoke au mnafuga fisi?Watazame jirani zetu Warundi awalivyokuwa wanajidai kutojua nchi nyingine walipofikia?Twende mbele turudi nyuma ili tuendelee tunahitaji changamoto toka katika mataifa yaliyoendelea na sio kwa kuwasubiri waje nyumbani kwani wakija wao wanakuja kuvuna,ni kwa wenye nafasi kuwafuata hukohuko kwao na kuchukua kilichopo kurudisha nyumbani.Mwisho nikuulize tu,hivi leo hii ukipewa Green Card utaikataa..
 
Afrika ilitawaliwa na wageni kwa sababu watu wake hawakuweza/taka kutoka nje.

leo tushajifunza historia na kuona hili bado kuna watu wanang'ang'ania kujifungia Afrika tu? Hata katika zama hizi za telecommuting, dual nationalities na mobile banking?
 
Back
Top Bottom