mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 23,255
- 9,174
Panga na gobole zote sumu [emoji106] utachagua panga au gobore [emoji47] [emoji4] [emoji15]sumu ni sumu tu ilimradi inaangamiza !!!
Panga na gobole zote sumu [emoji106] utachagua panga au gobore [emoji47] [emoji4] [emoji15]sumu ni sumu tu ilimradi inaangamiza !!!
dunia ya leo ukifanikiwa kumilki nuke weapon hakuna atakayekusogelea.
Urafiki wa Tanzania na Korea sio wa Leo, ni wa Zamani mno, tangu enzi za Kim Il Sung (Babu yake Kiduku) na NyerereNaamini ipo siku Tz tutafikia hata zaidi ya NK.
Maana tumeanza urafiki nao.
Akili za Usiku.
R.I.P N/KOREA
Sent using Jamii Forums mobile app
I[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona watu mnapigana mikwara kwa niaba ya NK na USA...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Mbona kakanusha mzee MaigaNaamini ipo siku Tz tutafikia hata zaidi ya NK.
Maana tumeanza urafiki nao.
Akili za Usiku.
R.I.P N/KOREA
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]WABONGO BANA MPO KWA MTOGOLE BLABLA KIBAO SIJUI NK USA WAKATI KWENU BARUTI TU WAMEPIGA MARUFUKU PACHA YA GARI TU MBIO ZAKE MIGUU INAGONGA KICHOGO
Inabidi ianzishwe battle USA vs N.KOREA tuone nani ni nani.Naona watu mnapigana mikwara kwa niaba ya NK na USA...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
Linaweza likakuua wewe na wanao..[emoji4]dunia ya leo ukifanikiwa kumilki nuke weapon hakuna atakayekusogelea.