exburnny
Senior Member
- Jun 17, 2014
- 186
- 203
Na izi ndio zana ambazo mmarekani anafanyia kazi au kuzitumia kwa kweli yup vzuri
wale wa Nk mpooo
Sent using Jamii Forums mobile app
za kawaida sanaaaa
susi eiluma mwene bhulili
HIZO ZANA NI ZA KUULIA WANYAMA AU BINADAMU????KWELI DUNIA SIO SEHEMU SALAMA TENA YA KUISHI
Hii linanifaa sana kupambana na wasio julikana
nyingne hii hapa na izi ni kwa field ya ardhin bado anga na majini
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiduku atanyoa watu bila ganzi.
naona hapo quantity sio quality
sumu ni sumu tu ilimradi inaangamiza !!!naona hapo quantity sio quality