Ujinga ujinga kujisifu kwa vitu vidogo vidogo kama
1.Kuishi ulaya i.e.USA
2.Kupanda Ndege.
3.Kupiga picha na watu maarufu.
Haina tofauti na wanafunzi waliojàa face book wanapiga picha sahani za chips kuku.
Hayo mambo ya kitoto...mtu mzima kuyafanya shows ur retard
Ahahahahaha! wee jamaa ni mwehu huna hata akili ahahahahaaaaaa nimecheka sana kwa kweliMsalimie Obama.Mwambie movies za Hollywood kama Olympus has follen na nyingine nyingi za kumtusi hazimteteleshi safi sana.Aendelee kuwapa watu uhuru.
Cherokee d a** jirani yako?Mwambie ameniharibu kisaikolojia
***** la USA katika ubora wake
Mkuu unataka kuniambia kuwa hapa napo ni America.....!!??
Hiyo ni USA baby!!!