Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,577
- 38,169
F-35Hizo za Serie ha F5 ni za karne gani.
F-35Hizo za Serie ha F5 ni za karne gani.
Kwahio hapa US anapowavutia kwamba wanunue kwake inakuaje wakati hawana pesa yakuzinunua!?Ni kwa sababu ya gharama.
Ni kwa sababu ya gharama.
WARUSI weusi na wa MAREKANI weusi wanabisha
Gharama z Kati but ni effective Sana hizi birds.Ni kwa sababu ya gharama.
Syria hakuna S400kama s300 na s400 za kule syria 😎
Kuna kitu kinaitwa umaarufu hiki kitu ndicho anachopambana nacho marekani abaki nacho ila c ubora ukishakua maarufu utaaminika kwahiyo lazima utafanya tu biashara ndio maana kila kukicha anapambana na nchi zingine kuziwekea vijwazo vya silaha kwasababu nchi zikinunua siraha za nchi zengine kwa bei nafuu Zaid zikaona huduma ya hizo silaha hazina tofauti na za marekani watu wataacha kununua marekani .mfano madogo wewe unaweza ukawa fundi umeme mzur unanaliza kaz kwa waketi ila unatafuta kazi kila kukicha na kazi zipo ,unakuja kumpata kijana yeye anajua kufanya kaz ila hakufikii wewe kwa ujuzi lakini yeye ndio kashakabidhiwa jengo anskuchukua wewe mun anapiga kazi anakulipa yeye anakula mkwanza mlefu kwa kua anajulikana wewe mpaka ufikie kama yeye itakuchukua muda Sana. Mambo ndio yapo hivyo ukiwa mbishi bc umeamua kuonyesha mahaba. Mfano mwengine wa hili ndege ile ya marekani ile ya kipelelezi ya gharama kubwa kuliko zote wenyewe wanaipeleka Iran wakiwa wanaamini haionekani lakin mwisho wa siku ilidunguliwa kwa kombora moja tu kwa silaha za Iran na ndipo wakafunuliwa macho kwenye dhana yao kua haionekani,sasa kama unaamua kununua mfumo wa makombora wa Iran hautakusaidia ktk vita ?Ndege za Russia huwezi kulinganisha na za Marekani hilo liko wazi, anayebisha ni ushabiki tu na mwisho anaweza hata akadai kuwa za North Korea na Iran pia ni nzuri kuliko za Marekani na wala haishangazi.
Hata wakipewa F 35, India hamuwezi Mchina, Mchina yuko mbali sana kiteknolojiaWASHINGTON, (BM) – The conflict between New Delhi and Beijing over the Himalayan stretch claimed by both countries is forcing India to acquire new fighters, as we reported yesterday.
The American columnist of Forbes, David Ax, recalls that recently it became known about the death of 20 Indian soldiers in a shootout along the disputed Indian-Chinese border, passing through a towering mountain range. He also notes that, according to media reports [Forbes – ed.], forty-three Chinese soldiers were injured in the clash.
“It is not surprising that India this week allegedly placed an order with Russia for $780 million for 33 fighters with Russia, which is enough to equip or re-equip two squadrons,” the publication says.
It is known that New Delhi plans to acquire 21 MiG-29 fighters and several Su-30.
The Indian Air Force has long planned to purchase additional aircraft to strengthen the existing arsenal of service, consisting of about 230 Su-30s and 60 MiG-29s. New Delhi also plans to acquire 83 local Tejas light fighters, as well as 144 foreign medium-sized fighters, in the coming years.
David Ax notes that all new fighters are part of the effort to increase the air force from 28 front-line squadrons to 40, the number of which New Delhi considers sufficient to fight simultaneously with Pakistan and China.
“These 28 squadrons fly on a stunning variety of fighters, including Indian and Russian types, the French Mirage 2000s and Rafales, and European Jaguars,” recalls an observer for the American publication.
Tom Cooper, an author and aviation expert, expressed his surprise that the Indian Air Force wants the Su-30 and MiG-29 to meet the extraordinary requirements for a pair of aircraft squadrons. Su-30, although it seems impressive on paper, in comparison with Western models does not have performance and combat efficiency.
David Ax explains that Cooper’s point of view is this: for decades, the Mirage 2000 was a more effective fighter in the Indian service than the Su-30. Rafale, the successor to the French-made Mirage, is also one of India’s finest fighters. However, the Indians ordered a total of 36 Rafale.
“The Su-30 not only does not have the latest high-precision air-to-ground ammunition, but also does not work well with high-altitude air bases supporting Indian operations along the so-called border,” the Forbes publication says.
The lighter MiG-29 is better suited for the Indian Air Force than the Su-30. However, this does not mean that the old MiG is the right choice for New Delhi.
“So why, faced with the advancing Chinese army, the Indian Air Force wants to get Russian fighters?” – the observer of the American edition wonders.
The Indian company HAL is building a Su-30C under license in India, that is, New Delhi, buying “drying”, sends money to Indian companies.
***
BulgarianMilitary.com
Kumbe China wamepoteza askari 40 kwa India. Vita sio mchezo.Hata wakipewa F 35, India hamuwezi Mchina, Mchina yuko mbali sana kiteknolojia
Zipo bwana usibishe, warussia wanadai ni za kuwalinda.Syria hakuna S400
Asiependa dunia Iwe na amani kwa sababu ya kutaka mapato ya kuuza silaha Ni Nani Kati ya Urusi na Mmarekani?Hawawezi kupenda dunia iwe na amani kwa sababu itawafanya wasipate mapato.
Hakuna hata moja ambayo ni 5th generation hapo huwezi pata wateja na midege ya tangu cold warWakala wa Warusi nipo hapa.we chagua nikutajie beiView attachment 1487380View attachment 1487381View attachment 1487382View attachment 1487383View attachment 1487385View attachment 1487386View attachment 1487387View attachment 1487388View attachment 1487389View attachment 1487390View attachment 1487391View attachment 1487392View attachment 1487393View attachment 1487394
Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
Duniani nchi mbili tu ndio zina 5th generation tech ( stealth fighters) USA 🇺🇸 F-22 na F-35 mchina ana huyu Black Eagle 🦅 chengdu j -20, mrusi bado yuko chimbo anatengeneza Su- 57 anategemea kumtoa mwaka huu aanze majaribioView attachment 1486478
Chengdu J20 stealth fighter,,made in china
Source?Ni nzuri sababu zinapigiwa chapuo na media za west,,ukija kwa ground,ndege za russia zinapiga kazi kuliko za US,
Kwanza zinaweza kufanya mashambulizi mengi ndani ya saa 24 kuliko ndege za US
Hiyo ni mig 29 su su 29. Haijawahi tokea ndege yenye jina Hilo .. flankers ni familia ya ndege Vita zinazotengenezwa na sukhoi!Huyo Su 29, nuclear capable flanker bado ni hatari,
USA mwenyewe alinunua kwa siri kutoka Meldova, nadhani india ananunua upgraded