Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,224
Mchina yuko more advanced kuliko india,Wamarekani bwana wote India na China wanatumia silaha za kirusi either wanazalisha wenyewe kwa kibali maalum au wamezinunua kutoka Russia eg India ana ndege Kama su 30 wakati China ana jf 11 coppy ya su 27,
India ana mig 29 na China nao wanazo bila shaka.
China ana su 35 ambayo pengine no advanced zaidi kuliko su 30 . Na unaambiwa katika dog fight ukiwa na ndege Kama su 35, su 27, su 30 skills za pilot ni za muhimu zaidi koz hizi ndege zote ni za kizazi Cha nne. So Huwa na sifa zinazokaribiana Sana.
Kwa hivyo Basi rubani asiye skilled ni rahisi kudondoshwa na rubani skilled wa kwenye ndege hata ya kizazi Cha tatu eg rejea katika operation ya NATO dhidi ya Iraq 1991 ndege ya kizazi Cha nne ya Marekani g 18 ilishushwa kirahisi na rubani wa kiiraq akiwa na mig 25 ndege ya kizazi Cha tatu.
Sasa je Mmarekani anaaminije kwamba India itafeli kirahisi
Dhidi ya China?
Cheki huyu mdudu,made in china,