Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,542
- 28,712
Je, meli yoyote inayoelekea kwenye bandari za Urusi au yenye bendera ya Urusi inamilikiwa na Urusi?inadaiwa ilikuwa inaelekea bandari ya Murmansk Russia. Na kuwa inapeperusha bendera ya Russia.
Siyo 100% sahihi. Ila kama meli inapeperusha bendera yako ni kama eneo lako. Na wewe ndiye unailinda na sheria zako ndiyo zinatumika ndani yake. Na nchi zingine zikiona meli ina bendera yako zinakuwa kama zimeona nchi yako. Kuiteka ni kama kuteka eneo lako.Hapa sasa umesema vyema, kwa hiyo mleta uzi anaposema meli ya Urusi imetekwa yuko sahihi?
Siyo lazima, nchi kama Liberia inapiga biashara kwa kusajili meli.Je, meli yoyote inayoelekea kwenye bandari za Urusi au yenye bendera ya Urusi inamilikiwa na Urusi?
Hiyo tunaita country of registration sio lazima mmiliki awe wa hiyo nchi ijapokuwa itafuata sheria za nchi iliposajiliwaSiyo 100% sahihi. Ila kama meli inapeperusha bendera yako ni kama eneo lako. Na wewe ndiye unailinda na sheria zako ndiyo zinatumika ndani yake. Na nchi zingine zikiona meli ina bendera yako zinakuwa kama zimeona nchi yako. Kuiteka ni kama kuteka eneo lako.
Hizo nuclear ni za kutishia vinchi vidogo vidogo tu sio kwa taifa ambalo nalo lina mzigo hadi wa kuonja.Putini kamwambia mkuu wa kitengo Cha nyukilia akae MKAO wa kula.ngoja tuone mbabe ni nani
Uko sawa.Siyo lazima, nchi kama Liberia inapiga biashara kwa kusajili meli.
Huo nimekupa ni ushahidi wa kimazingira tu. Ila meli inayopeperusha bendera ya Urusi ni kama eneo la Urusi. Sheria zinazotumika ni za Urusi na inalindwa na Urusi.
Bado haina tofauti kubwa, nchi ikibeba bendera ya nchi fulani, hiyo nchi (country of registration) ndio inayohusika na suala lolote la kiusalama la hio meli.Sawa, thanks I stand to be corrected
Kasome habari Sky News inasemwa kuwa ni stateless ship
Wapi imesemwa kuwa hiyo meli ni ya Warusi? Twende kwa fact
Ili meli ibebe bendera ya nchi lazima ijiliwe na usajili unaweza kuwa open registry au closed registry. Kwa ufafanuzi uliotoa, baada ya Urusi kujua ishu za hiyo na uhusika wa Iran, je waliifutia usajili? If so, basi Urusi hana cha kulalamika kwa kuwa meli haijasajiliwa kwake.Uko sawa.
Hiyo meli mwanzoni ilipokuwa ina mzigo (mafuta) ilikuwa ikipeperusha bendera ya Guyana.
Baada ya kutambua kuwa Marekani yaifuatilia (na imegundua kuwa meli na mwenye meli wapo kwenye orodha ya vikwazo) mwenye meli akaomba Russia isaidie kuhakikisha meli hiyo yarudi ilikotoka salama. Baadae wiki mbili zimepita Marekani walijaribu kuikamata lakini wakashindwa. Meli hiyo ikapoteza mwelekeo na kuomba msaada (stress calls) lakini yasemwa ilizimwa ile (transmission signal).
Russia wakatuma nyambizi ili kuisaidia meli hiyo iweze kuondokana na majaribio na wakabadilisha bendera kuwa ya Russia kwa maana kwamba meli ikiwa na bendera ya nchi husika inakuwa kwa sheria za kimataifa haiguswi.
Hivyo vyambizi ya Russia ikawa yaisindikiza meli hiyo lakini wakati huohuo Kremlin wakataka facts mezani kuhusu meli hiyo na kwanini Marekani waitaka. Marekani ikatoa facts hizo 1. meli imetumiwa na Iran hapo mwanzo kubaba mafuta kutoka Venezuela na pili meli hiyo imetumika sana na jeshi la Iran la RGC.
Hivyo baada ya Russia kupata facts hizo imeona iachie meli hiyo na iendelee na shughuli zake za SMO kule Donbass.
Meli mwanzo iliitwa Bela One na ilionyesha imesajiliwa Guyana.Bado haina tofauti kubwa, nchi ikibeba bendera ya nchi fulani, hiyo nchi (country of registration) ndio inayohusika na suala lolote la kiusalama la hio meli.
USA baby 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸Je, meli yoyote inayoelekea kwenye bandari za Urusi au yenye bendera ya Urusi inamilikiwa na Urusi?
Anguko la America lipo karibu....labda kama silaha zake anashushiwa na Mungu,ila kama ni za kuunda tu kama za wenzieHabari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa.
US wanadai meli hiyo inahusika na kubeba mafuta yaliyowekewa vikwazo, japo inadaiwa kuwa wakati wa kukamatwa kwake haikuwa na mafuta. Russia atakubali bila kulipa kisasi?
View attachment 3526720
Mkuu, kwa yanoendelea sasa hivi Duniani hatuwezi kuhitimisha jambo lolote maana kuna ujasusi wa hali ya juu na mambo mengi yasoeleweka.Ili meli ibebe bendera ya nchi lazima ijiliwe na usajili unaweza kuwa open registry au closed registry. Kwa ufafanuzi uliotoa, baada ya Urusi kujua ishu za hiyo na uhusika wa Iran, je waliifutia usajili? If so, basi Urusi hana cha kulalamika kwa kuwa meli haijasajiliwa kwake.
Kwa hiyo inamilikiwa na Russia?Bado haina tofauti kubwa, nchi ikibeba bendera ya nchi fulani, hiyo nchi (country of registration) ndio inayohusika na suala lolote la kiusalama la hio meli.
Hoja ya meli kupeperusha bendera ni kama ubalozi, huchukuliwa kuwa ni sehemu ya nchi ambayo bendera yake inapeperushwa.Je, meli yoyote inayoelekea kwenye bandari za Urusi au yenye bendera ya Urusi inamilikiwa na Urusi?
Umiliki sio kigezo ila inahitaji protection ya Urusi, ndio maana ya hiyo bendera.Kwa hiyo inamilikiwa na Russia?
Russia anapenda kutishia manuklia utafikiri wenzio hawanaPutini kamwambia mkuu wa kitengo Cha nyukilia akae MKAO wa kula.
Kwa hiyo sio lazima wawe wamiliki wa hiyo meliHoja ya meli kupeperusha bendera ni kama ubalozi, huchukuliwa kuwa ni sehemu ya nchi ambayo bendera yake inapeperushwa.