Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,615
- 20,525
Unatumia nguvu kubwa sana kuidogosha hii aibu.Meli kupeperusha bendera ya taifa fulani haimaanishi kuwa inamilikwa na taifa hilo
Changamoto kubwa ya Watanzania ni lugha ya Kiingereza vyanzo vyote vinasema:Unatumia nguvu kubwa sana kuidogosha hii aibu.
Mkongwe, hili suala limeshtua Dunia nzima, sio Tanzania tu.Changamoto kubwa ya Watanzania ni lugha
Kwanza umeelewa hizo heading?Mkongwe, hili suala limeshtua Dunia nzima, sio Tanzania tu.
Hili suala ndio hot topic kwasasa, Dunia nzima wanaicheka Russia, labda kama unamaanisha dunia nzima hawajui lugha ya Kiingereza, sawa!
Ni Guyana siyo Guam. Guam ni teritory ya Marekani. Itakuwa uchizi na kujihujumu kusajili meli yq hivyo Guam.Meli kupeperusha bendera ya taifa fulani haimaanishi kuwa inamilikwa na taifa hilo
Hakuna reliable source inayosema kuwa Russia walituma submarine kuilinda meli hiyo.
Meli yenyewe ilipewa kibali cha kutumia bendera ya Russia Desemba 24 mwaka jana kabla ya hapo ilikuwa inatumia bendera ya Guam
Vyanzo vinavyotegemeka vinasema ni 'stateless ship'
Ni miongoni mwa meli zilizokuwa zinatumiwa kusafirisha mafuta kutoka Venezuela kimagendo
Kabla ya kupost muwe hata mnafanya kautafiti kwanza
Sawa, thanks I stand to be correctedNi Guyana siyo Guam. Guam ni teritory ya Marekani. Itakuwa uchizi na kujihujumu kusajili meli yq hivyo Guam.
Meli haiwezi kuwa stateless, ndiyo maana zinapeperusha bendera. Na hakuna aliyesema ikipeperusha bendera ndiyo inamilikiwa huko, kilichopo ni kuwa majority ya hizi shadow fleet ni za Warusi.
Hii ni developing story hakuna atakayesema ni chanzo cha kuaminika.
Haijasemwa wazi ni ya Urusi au kampuni ya Urusi. Ni kukamatwa North Atlantic inadaiwa ilikuwa inaelekea bandari ya Murmansk Russia. Na kuwa inapeperusha bendera ya Russia.Sawa, thanks I stand to be corrected
Kasome habari Sky News inasemwa kuwa ni stateless ship
Wapi imesemwa kuwa hiyo meli ni ya Warusi? Twende kwa fact
Hapa sasa umesema vyema, kwa hiyo mleta uzi anaposema meli ya Urusi imetekwa yuko sahihi?Haijasemwa wazi ni ya Urusi au kampuni ya Urusi.