NICK2275
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 3,931
- 918
kivipi?Tatizo ni Wafilisiti
kivipi?Tatizo ni Wafilisiti
Israel to speed up settler homes after Unesco vote
The announcement comes a day after the Palestinians won full membership of the UN cultural organisation, Unesco.
Palestinian Authoirty President Mahmoud Abbas says the move will speed up the destruction of the peace process.
The BBC's Kevin Connolly in Jerusalem says the announcement will be seen as a punishment for the Palestinians and a warning to countries that backed their Unesco bid that Israel will react strongly if a similar application for Palestinian membership of the UN itself should prove successful.
Peace talks between the Palestinians and Israel broke down more than a year ago. The Palestinians are demanding an end to settlement building.
Almost 500,000 Jews live in settlements on occupied territory. The settlements are illegal under international law,
Poor Palestinians.....kila wanachojaribu kufanya Israel inakuwa imesha-move ahead of them.......
kwani jeshi limeenda wapi?????????I do not think so hii ni dalili ya kushindwa waisraeli. Kwanza makubaliano ya mgawanyo wa Israel na Palestina utakaotumika ni ule wa mwaka 1967. Waisrael wanachokitaka kukifanya kudai watu wanaishi hapo ili iwe a human rights saga. Hata hivyo watafail when it comes to international court of human rights kwasababu they were not supposed to be there in the first place. Na sheria ni kwamba colonialism ilishaishaga since after the second world war. Wabakiwa na option moja tu kufanya kila hila wakishirikiana na Marekani kuzuia Palestina wasiwe reinstated as a full member of UN. Wametumia kila hoja sasa hivi wamebakiwa na ubabe kwa kutumia mgongo wa marekani ila dunia ishamchoka marekani na unafiki wake ndio maana anaishia kutumia hoja za kibabe za kuzuia pesa ili afanikiwe anachokitaka.
ukitaka madaraka unaweza pewa ongea vizuri kuna kazi utafanyishwaHalafu wewe ndio mbunge unayetumia kodi zetu no wonder huwezi kugombea unasubiri wa kupewa. What makes you think palestina ni uzao wa magaidi? Unaweza kutupatia statistics zinazoweza kujistify your accusation kama sio udini tu unakusumbueni. Kwa taarifa yako US, na Israel wanatapata sasa hawana njia ya kuwazuia Palestina isiwe full member wa UN. Wanaishia kutumia karata yao ya mwisho nayo ni michango. Jumatatu tumeona wanawatisha Bosnia Hezgovina wasiwapigie kura wapalestina ili application yao ya full membership isipiti UN security council.
Ingelikuwa wapalestina na waarabu wanayafanya haya kwa waisraeli ungelisema maneno yako haya?
kwani jeshi limeenda wapi?????????
ukitaka madaraka unaweza pewa ongea vizuri kuna kazi utafanyishwa
This was not necessary at all. Ungem PM tu, hapa busara haijatumika!Halafu wewe ndio mbunge unayetumia kodi zetu no wonder huwezi kugombea unasubiri wa kupewa.
Just ignore it, it is emotional false accusation. Thre is no such a thing as uzao wa magaidi.What makes you think palestina ni uzao wa magaidi? Unaweza kutupatia statistics zinazoweza kujistify your accusation
Interesting, una maana dini gani imeandika hilo. Unaonekana kuwa on the same boat!kama sio udini tu unakusumbueni.
US have Veto, so think about that!Kwa taarifa yako US, na Israel wanatapata sasa hawana njia ya kuwazuia Palestina isiwe full member wa UN. Wanaishia kutumia karata yao ya mwisho nayo ni michango.
No Comment maana sikuiona hiyo. Let me check it!Jumatatu tumeona wanawatisha Bosnia Hezgovina wasiwapigie kura wapalestina ili application yao ya full membership isipiti UN security council.
Tatizo ni kuwa Uongozi wa wapalestina hawataki amani na Israel ndio maana kile kipengele cha kuifuta Israel hakijaondolewa ktk charter yao. Ungekuwa unahukumu kwa haki, Israel imefanya mengi kujaribu kuweka amani na wapalestina lakini wao hutumia kama ladder ya kutimiza kipengele tajwa hapo juu. so sometimes usiwalaumu kwa security measures wanazochukua. it is self defence!Ingelikuwa wapalestina na waarabu wanayafanya haya kwa waisraeli ungelisema maneno yako haya?
This was not necessary at all. Ungem PM tu, hapa busara haijatumika!
Just ignore it, it is emotional false accusation. Thre is no such a thing as uzao wa magaidi.
Interesting, una maana dini gani imeandika hilo. Unaonekana kuwa on the same boat!
US have Veto, so think about that!
No Comment maana sikuiona hiyo. Let me check it!
Tatizo ni kuwa Uongozi wa wapalestina hawataki amani na Israel ndio maana kile kipengele cha kuifuta Israel hakijaondolewa ktk charter yao. Ungekuwa unahukumu kwa haki, Israel imefanya mengi kujaribu kuweka amani na wapalestina lakini wao hutumia kama ladder ya kutimiza kipengele tajwa hapo juu. so sometimes usiwalaumu kwa security measures wanazochukua. it is self defence!