US sanctions leave four Iranian cargo ships stranded without fuel in Brazil

dont worry,venezuela will sortout that problem Asap
Venezuela mwenyewe yupo kwenye sanctions. Pia unadhani ile operation Car Wash ya corruption nchini Brazil ilikuwa na lengo gani,lengo ni kuwaondoa wale leftist wakina Lula na Dilma maana wangekuwepo wao Serikali ya Brazil na hiyo Petrobas wangeisaidia Iran.
 
Mmmh hii mpya kabisa na naiona ni ya moto kweli kweli
 
meli si kwamba zimeishiwa mafuta kiasi haziwezi kumove toka hapo bandarini brazili,bali zinataka mafuta ya kutosha kurudi iran,alternative zitasogea venezuela kujaza mafuta ama tanker kutoka venezuela itazijazia high sea
 
Wewe Muirani wa kwa Mtogole uliepo maelfu ya kilometa kutoka Brazil ndio unaona hivyo lakini Captain wa Meli halioni hilo.
 
@Frankwanjiru,kila siku nakuambiaga huwa unanishangaza mkenya gani ana IQ ndogo hivyo,naweza kuwa mtogole lakini nikatract movements za meli au ndege popote duniani,au huko taveta hii teknology haipo?
 
Kama kawaida yako unakimbilia personal attack badala ya kupangua hoja. Hizo meli zimekaa Brazil two months now wewe unasema eti sio kwamba hazina mafuta ya kutoka hapo,are you insane?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…