VITA YA UKRAINE&URUSI: Majeshi Ya Urusi Yashambulia Miji Zaidi Ya 40 Ya Ukraine https://m.scoopernews.com/share?newsId=27610155&shareChannel=WhatsApp Download Scooper app to get latest news & Save data: Scooper News:Trending & Viral - Apps on Google PlayFact ni kuwa Russia walikimbia Kyiv,hizo nyingine ni blah blah
Bado sana. Mwisho wa hii vita mrusi atajitwalia Donbas region, Ukraine atabakia upande wa West. Wananchi wasiokuwa na hatia wa Ukraine watarudi kwenye magofu wataanza kulishwa kama kuku wa broiler na wazungu na kudhalilishwa kwenye media.
Tamaa ya US ilikuwa Urusi ishindwe kabisa, na Ukraine warejeshe eneo la Crimea ili US aweke kambi zake pale. US failed in its mission kitu kitakachomkosesha Urais Biden na wademocrat wenzake. Ukraine atajikuta anajitibu majeraha ya kugeuzwa kifusi baada ya kudanganywa na CIA kuwa ni mmarekani atakayekuwa anapigana. Urusi naye atakuwa kapoteza kwa kubakia na vikwazo, pamoja na kupoteza wanajeshi na vifaa vitani.
Pro Russia in denial,supapawa anatolewa kijasho cha kwapa na Ukraine.Hapo anaendesha operation safisha NAZI!!!
Hakuna vita ya kubembelezana namna hio.
Si mpaka watoe hiyo sim card kama hata huo uwezo wanao.Endelea kutoa povu hapa huku ukilipia huduma ya Internent kwa US baba lao.Halafu hiyo pesa ndiyo inakwenda kumtandika Boss wako kiumbe mfupi mzito pale Kremlinsio hoja simcard ikitoka najiunga nao
Ha ha ha , endelea kulipia huduma ya kwenda kumtandika sawa sawa kiumbe mfupi pale Kremlin.Kutokuitumia haina maana kama wao hawana
Natumia hii ya us kumchangia maana anahali mbaya kiuchumi
RUSSIA anatumia mwenyewe hana shida napesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maoni binasfi ya Pro Russia military analyst ambae hajawi hata kushika gobole kutoka KilongawimaBado sana. Mwisho wa hii vita mrusi atajitwalia Donbas region, Ukraine atabakia upande wa West. Wananchi wasiokuwa na hatia wa Ukraine watarudi kwenye magofu wataanza kulishwa kama kuku wa broiler na wazungu na kudhalilishwa kwenye media.
Tamaa ya US ilikuwa Urusi ishindwe kabisa, na Ukraine warejeshe eneo la Crimea ili US aweke kambi zake pale. US failed in its mission kitu kitakachomkosesha Urais Biden na wademocrat wenzake. Ukraine atajikuta anajitibu majeraha ya kugeuzwa kifusi baada ya kudanganywa na CIA kuwa ni mmarekani atakayekuwa anapigana. Urusi naye atakuwa kapoteza kwa kubakia na vikwazo, pamoja na kupoteza wanajeshi na vifaa vitani.
hagusikiSi mpaka watoe hiyo sim card kama hata huo uwezo wanao.Endelea kutoa povu hapa huku ukilipia huduma ya Internent kwa US baba lao.Halafu hiyo pesa ndiyo inakwenda kumtandika Boss wako kiumbe mfupi mzito pale Kremlin
Bundle likiisha weka tena jingine pesa inaingia kwa US Babalao huku ukimsupport Putin kwa maneno matupu.hagusiki
Marekani inaogopa vita na urusi huo ndiyo ukwelieti Marekani inageuka majivu ... Hahahahaha unatia aibu tu humu.
Basi waache pro-Russia nao kujiachia, usiwashambulie kwa maneno wakati wewe unayo mahaba na West, waache nao wenye mahaba na Russia waseme wanacho kiaminiYes mimi ni Pro West kwani hili nalo ni siri? Au umeanza leo kunijua msimamo wangu[emoji846]