Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,730
- 47,006
Iran anaendelea kupata kipigo kuanzia Syria mpaka Iraq.View attachment 1188323
View attachment 1188325View attachment 1188324
Daaaah umenchekesha mno mzeeAyatolah akimbilie huku Tanzania tumpe hifadhi
Wayahudi watamnyoa ule udevu
Hahahahaha Mkuu unachekesha sana,umekuwa kama Al-Sahaf wa Iraq ya Saddam Hussein.frank,sasa hii ina tofauti gani na mashambulizi ya al shabab,halafu baada ya hapo wanatangaza sisi ndo tumeshambulia?,
hata hivyo,israel hajashambulia pale,ile ni collabo,marekani ndo kashambulia na ili kujikosha asifukuzwe iraq anamtupia lawama israel,ili kumaintain plausible denialbility,
frank,sasa hii ina tofauti gani na mashambulizi ya al shabab,halafu baada ya hapo wanatangaza sisi ndo tumeshambulia?,
hata hivyo,israel hajashambulia pale,ile ni collabo,marekani ndo kashambulia na ili kujikosha asifukuzwe iraq anamtupia lawama israel,ili kumaintain plausible denialbility,
Huyo anaendeshwa na mihemko ya kiitakadi na sio realityWamarekani walikwambia wao ndo wameshambulia au mawazo yako Mkuu tupe link
Mkuu inaonekana kuangushwa kwa Saddam lilikuwa kosa la karne maana alikuwa anabalance Sana ukuaji wa Iran naona Sasa Iran amekuwa mwamba kweli kweli maana anamiliki makundi makubwa yenye nguvu Tena mengi ndani ya Iraq ,Yemen,Lebanon,Syria na baadhi ya vikundi vidogo wenyewe wanaita Iran expansionism hawa wanaweza weka hata raisi sehemu zote hizo maana major population ni sect yao shiite na wote wanamheshimu Ayatollah.@frankwanjiru,sema mi sio mwanzisha nyuzi,hizi ishu huwa nazijua dakika chache tu zinapotokea,au unataka nikuwekee satelite image za shambulizi la drone huko iraq juzi?,
wewe unazikuta habari mimi makazi yangu twitter huko kuna vijana smart vichwani balaa wa haya mambo ya open source intelligence(OSINT) na kila dakika masaa yote wako macho,ishu ikitokea ndani ya dakika tano wanajua na kuna zingine kabla hazijatokea wameshaona ndege,manowari zikienda kushambulia,
hili kwako hulijui kwasababu haufuatilii,
kiufupi hakuna ushahidi wa ndege za israel kuingia juzi kushambulia kambi ya PMU,
kuna drone za israel ziliingia kwa siri siku nyingi zikafichwa na wamarekani pale Al assad airbase,
sasa hizi toka mwezi jana wamarekani wanazirusha kwenda kupiga magodown ya silaha ya wanamgambo wa PMU kule iraq,
wanafanya hivyo ili hata ikiangushwa ionekana ni ya israel na hivyo marekani wasionekane na kosa ,
sasa jana kuna drone ilikuwa ikijiandaa kupiga tena mida ya saa tatu usiku,
wairaq wakaiona na kuirushia kombora,drone ikakimbia,
iraq wakaanza kulalamika marekani anashambulia mgambo wa pmu,
marekani wakasema hatuhusiki,wakaambiwa inakuaje israel aingize ndege iraq marekani asijue?,
Netanyau akaona deal limebumburuka sasa ndo akajitokeza na kusema,
"israel act in iraq against iran"
Netanyahu akajiuma uma kuconfirm kwamba ni wao ndo wameshambulia,akajibu swali kiujumla tu kuwa israe act in iraq,yemen,syria agaisnt iran
IRAQ GURU
@GuruIraq
Aug 21
#Iran backed paramilitary force #PMU at
#Iraq says US allowed #Israel to put four
drones in its bases at Iraq, after
transferring them via #Azerbaijan. These
drones were in latest strikes against
PMU bases