US officials confirm Israel air raid in Iraq

US officials confirm Israel air raid in Iraq

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,730
Reaction score
47,006
Iran anaendelea kupata kipigo kuanzia Syria mpaka Iraq.View attachment 1188323
Screenshot_20190823-155328.jpeg
View attachment 1188325View attachment 1188324
 
frank,sasa hii ina tofauti gani na mashambulizi ya al shabab,halafu baada ya hapo wanatangaza sisi ndo tumeshambulia?,

hata hivyo,israel hajashambulia pale,ile ni collabo,marekani ndo kashambulia na ili kujikosha asifukuzwe iraq anamtupia lawama israel,ili kumaintain plausible denialbility,
 
Hahahahaha Mkuu unachekesha sana,umekuwa kama Al-Sahaf wa Iraq ya Saddam Hussein.
 
@frankwanjiru,sema mi sio mwanzisha nyuzi,hizi ishu huwa nazijua dakika chache tu zinapotokea,au unataka nikuwekee satelite image za shambulizi la drone huko iraq juzi?,
wewe unazikuta habari mimi makazi yangu twitter huko kuna vijana smart vichwani balaa wa haya mambo ya open source intelligence(OSINT) na kila dakika masaa yote wako macho,ishu ikitokea ndani ya dakika tano wanajua na kuna zingine kabla hazijatokea wameshaona ndege,manowari zikienda kushambulia,
hili kwako hulijui kwasababu haufuatilii,
kiufupi hakuna ushahidi wa ndege za israel kuingia juzi kushambulia kambi ya PMU,
kuna drone za israel ziliingia kwa siri siku nyingi zikafichwa na wamarekani pale Al assad airbase,
sasa hizi toka mwezi jana wamarekani wanazirusha kwenda kupiga magodown ya silaha ya wanamgambo wa PMU kule iraq,
wanafanya hivyo ili hata ikiangushwa ionekana ni ya israel na hivyo marekani wasionekane na kosa ,
sasa jana kuna drone ilikuwa ikijiandaa kupiga tena mida ya saa tatu usiku,
wairaq wakaiona na kuirushia kombora,drone ikakimbia,
iraq wakaanza kulalamika marekani anashambulia mgambo wa pmu,
marekani wakasema hatuhusiki,wakaambiwa inakuaje israel aingize ndege iraq marekani asijue?,
Netanyau akaona deal limebumburuka sasa ndo akajitokeza na kusema,
"israel act in iraq against iran"
Netanyahu akajiuma uma kuconfirm kwamba ni wao ndo wameshambulia,akajibu swali kiujumla tu kuwa israe act in iraq,yemen,syria agaisnt iran
 
Wamarekani walikwambia wao ndo wameshambulia au mawazo yako Mkuu tupe link
frank,sasa hii ina tofauti gani na mashambulizi ya al shabab,halafu baada ya hapo wanatangaza sisi ndo tumeshambulia?,

hata hivyo,israel hajashambulia pale,ile ni collabo,marekani ndo kashambulia na ili kujikosha asifukuzwe iraq anamtupia lawama israel,ili kumaintain plausible denialbility,
 
Ali
@allushiii
An unidentified drone was targeted
after it was flying over 12th brigade base of
PMU near Bagdad
9:51 AM - 22 Aug 2019
19 RETWEETS 50 LIKES
TheTruth
@hili1
23h
Replying to @allushiii
What does “targeted” mean?
View conversation ·
Duckford AFC
@duckford10
23h
Replying to @hili1 @allushiii
Taken out
View conversation ·
Ali
@allushiii
23h
Replying to @hili1
It was shot down
View conversation ·
Ali
@allushiii
23h
Replying to @allushiii
To clarify, it was shot down
View conversation ·
Artephius
@al_haafez
23h
Replying to @allushiii
If they manage to bring down a drone
that is not declared to the Iraqi
authorities, it would be irrefutable proof
of who is responsible for the attacks on
PMU.
View conversation ·
Skahyv
@DuncanSydney1
23h
Replying to @allushiii
Damn, I’m really curious to know what
kind of drone it was and who operate it
View conversation ·
Ali
@allushiii
23h
Replying to @DuncanSydney1
US or Israel
View conversation
Skahyv
@DuncanSydney1
23h
Replying to @allushiii
Well I guess it was obvious thx for the
answer I hope the pmu will give more
detail about it
View conversation ·
carl drysdale
@wileecarlote
23h
Replying to @allushiii @GeromanAT
Please find and show any remnants of
this drone
View conversation ·
TheTruth
@hili1
23h
Replying to @allushiii
Other sources report that it wasn’t shot
down but that it “returned and didn’t
complete its mission”. Where did it
return to?
 
haya swali ni kuwa kama jana hiyo drone haikuangushwa ilikimbilia wapi?,bado kuna report inasubiliwa,drone za masafa marefu za mashambulizi za israel zote ni kamikaze,yaani ni one way ticket,sasa hii drone ilirudi wapi?kama iliangushwa jibu litapatikana mda si mrefu, shambulio la juzi nalo ni drone,PMU wanadai ziko drone za israel katika kambi za jeshi la marekani kwenye jangwa huko iraq,wamarekani ndo wanazi operate
 
IRAQ GURU
@GuruIraq
Aug 21
#Iran backed paramilitary force #PMU at
#Iraq says US allowed #Israel to put four
drones in its bases at Iraq, after
transferring them via #Azerbaijan. These
drones were in latest strikes against
PMU bases
 
@MTOTOWAKUKU,
mkuu mi mhemko wa dini utoke wapi?,nangekuwa namuhemko si leo ningesharukwa na thread ya waisrael watatu kulipuliwa huko westbank leo,
au makomandoo wawili wa kimarekani kuuliwa huko afaghnistan juzi,
mimi sio kama huyo wanjiru,akiona waislamu wamepigwa mbio kuja jf kufungua uzi huku kwake akimpigia simu my wife achinje kuku,
mimi hapa nafanya kuhabalisha tu,na nikiona upotoshaji kama nafahamu basi naeleza nijuavyo,
na sinaga presha kuona watu wameumizwa eti nikimbia kufungua uzi wa kusherehekea,eti watu wa dini nyingine wameuliwa,
hebu mfuate na huyu steven yuko huko iraq ,sikia nae anasema nini kuhusu drone iliyoonekana leo tena ikizengea zengea kambi ya PMU,
hiyo ni drone ya leo sio jana,halafu niambie tena hiyo drone nayo imetoka israel direct mpaka iraq kuja kuzunguka kambi za pmu,
Steven nabil
@thestevennabil
20h
Iraqi PMF posted a video depicting their
attempt of taking down what they called
a “drone” flying over their base earlier
today
 
Bila mapigano hawata Acha vita...na Amani huletwa kwa ncha ya panga hivi huu msemo bado unakidhi kweli
 
Hakuna wa kuizuia Israeli kumbuka walibomb Sudan hakuna wa kuwazuia wa houth wa Yemen wajiandae !
 
Uwepo wa PMU pale Iraq ni big threat kwa USA interest , na Us walishawapa onyo serikali ya Iraq kuwa iwaondoe PMU La sivo USA it will act on self defense.

Hapo israel anafanywa kama kava tu ili marekani atimize malengo yake bila ya kuharibu uhusiano wake na Iraq sababu ikijulikana kua hayo mashambulizi ni ya US watamfukuza mara moja nchini kwao .

Iraq gvmt wamesema bado wanafanya uchunguzi kuhusiana na hizo mysterious attack
 
@frankwanjiru,sema mi sio mwanzisha nyuzi,hizi ishu huwa nazijua dakika chache tu zinapotokea,au unataka nikuwekee satelite image za shambulizi la drone huko iraq juzi?,
wewe unazikuta habari mimi makazi yangu twitter huko kuna vijana smart vichwani balaa wa haya mambo ya open source intelligence(OSINT) na kila dakika masaa yote wako macho,ishu ikitokea ndani ya dakika tano wanajua na kuna zingine kabla hazijatokea wameshaona ndege,manowari zikienda kushambulia,
hili kwako hulijui kwasababu haufuatilii,
kiufupi hakuna ushahidi wa ndege za israel kuingia juzi kushambulia kambi ya PMU,
kuna drone za israel ziliingia kwa siri siku nyingi zikafichwa na wamarekani pale Al assad airbase,
sasa hizi toka mwezi jana wamarekani wanazirusha kwenda kupiga magodown ya silaha ya wanamgambo wa PMU kule iraq,
wanafanya hivyo ili hata ikiangushwa ionekana ni ya israel na hivyo marekani wasionekane na kosa ,
sasa jana kuna drone ilikuwa ikijiandaa kupiga tena mida ya saa tatu usiku,
wairaq wakaiona na kuirushia kombora,drone ikakimbia,
iraq wakaanza kulalamika marekani anashambulia mgambo wa pmu,
marekani wakasema hatuhusiki,wakaambiwa inakuaje israel aingize ndege iraq marekani asijue?,
Netanyau akaona deal limebumburuka sasa ndo akajitokeza na kusema,
"israel act in iraq against iran"
Netanyahu akajiuma uma kuconfirm kwamba ni wao ndo wameshambulia,akajibu swali kiujumla tu kuwa israe act in iraq,yemen,syria agaisnt iran
Mkuu inaonekana kuangushwa kwa Saddam lilikuwa kosa la karne maana alikuwa anabalance Sana ukuaji wa Iran naona Sasa Iran amekuwa mwamba kweli kweli maana anamiliki makundi makubwa yenye nguvu Tena mengi ndani ya Iraq ,Yemen,Lebanon,Syria na baadhi ya vikundi vidogo wenyewe wanaita Iran expansionism hawa wanaweza weka hata raisi sehemu zote hizo maana major population ni sect yao shiite na wote wanamheshimu Ayatollah.
 
Elungata mrusi wa mwanza shamaliwa
IRAQ GURU
@GuruIraq
Aug 21
#Iran backed paramilitary force #PMU at
#Iraq says US allowed #Israel to put four
drones in its bases at Iraq, after
transferring them via #Azerbaijan. These
drones were in latest strikes against
PMU bases
 
@Nashika,kumtoa saddamu walibugi,na kitu kingine wakabugi wakati ISIS wamekaribia lango la jiji la Baghdad ili waweze kuliteka,mwaka 2014,iraq iliomba marekani isaidie marekani wakawa wanajivuta,karibu wiki mbili zote,wakati huo ISIS wameteka karibu iraq yote na wanakaribia kuchukua mji,
marekani alitaka iraq iyekwe na isis ili baadae sasa waje waingie na kujifanya kuleta amani na hatimae iraq igawanywe kuwa nchi tatu,Kurdistan,sunni dominated iraq na shia dominated,
iran ndo waliingia kusave hali dakika ya mwisho,
wakishirikiana na kina ayotolah Ali sistan ndo walikusanya wananchi kutoka tabaka mbalimbali,shia,sunni,armenia,asyria,wakalidayo,christians etc wakaunda sasa kitu kinaitwa Popular Mobilisation Force,
huu ni muunganiko wa vikundi mbalimbali vya jamii ya iraq,hawa ndo walipewa silaha na iran,wakapambana na ISIS na kuwarudisha nyuma,
marekani baada ya kuona isis wamerudishwa nyuma ndo wakanza kuja kujifanya wanatoa msaada lakini asilimia kubwa marekani ndo wanawasaidia makamanda wa isis wasitekwe na serikali ya iraq kwa kuwahamisha kwa mahelcopter pale wanapokuwa hatarini kukamatwa na pia kuwahifadhi katika sehemu salama,
kwa ufupi PMF isipokuwepo marekani anaweza kufanikisha lengo la kuigawa iraq,
ndo maana serikali ya iraq inataka kuwa intergrate wawe sehemu ya jeshi la iraq,
ukichunguza popote pale iran alisaidia ,alikuwa kaegemea kwenye haki,kuanzia lebanon,yemen,syria na iraq,
hii kitu wamarekani hawataki,wanataka hizi nchi ziwe weak miaka yote ili zisiwe tishio kwa maslahi yake
 
  • Thanks
Reactions: RTI
Back
Top Bottom