US Navy Seal Training

hicho unachokiona hapo ni 20% ya mafunzo, kwa maneno yao wenyewe: 80% ni mental training zilizobaki ndio hizo unazoziona (physical training)
 
Sasa hivi wapo Class 309 hiyo naiona ni 279 Ki ukweli Unadanganywa Chanzo cha watu wengi kufeli ni Kwa sababu ya Mazoezi Makali ni Moja kati ya Vikosi Bora Duniani pamoja na SWATS
 
hicho unachokiona hapo ni 20% ya mafunzo, kwa maneno yao wenyewe: 80% ni mental training zilizobaki ndio hizo unazoziona (physical training)
Ni kweli kinachoonyeshwa ni kidogo sana ukilinganisha na mafunzo wanayoyapata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom