Watanzania tunaelekea wapi? Soma habari hii
http://www.dvidshub.net/?script=news/news_show.php&id=41063
Tunajua kweli wanafunzi wetu wengi wanahitaji msaada lakini pia kuna jinsi nyingi tu misaada hii ingeweza kuwafikia walengwa. Kulikoni?
Waswahili wanasema, "Kidogo kidogo hujaza kibaba" na "Mwenye macho aambiwi tazama"