TAREHE 23 JANUARI, 2026.
WASHINGTON—U.S. Seneta Jim Risch (R-Idaho), Mwenyekiti wa Kamati ya Seneti ya Mahusiano ya Kigeni.
Uchaguzi wa Uganda - kama ulivyokuwa uchaguzi wa hivi majuzi nchini Tanzania - ulikuwa uchaguzi wa hovyo usio na maana, ulioandaliwa ili kuhalalisha muhula wa saba wa Rais Yoweri Museveni na miongo minne madarakani.
Lakini zaidi ya Tanzania, Uganda ni mshirika mkuu wa Marekani kwa usalama wa Kikanda. Hata hivyo, utawala wake unatanguliza udhibiti wa ndani kupitia vurugu za kisiasa, utekaji nyara, kufungwa jela, vitisho dhidi ya wapinzani, na matumizi mabaya ya rasilimali za serikali ili kuendelea kushikilia madaraka.
Uganda na Tanzania zinaenda njia inayofanana zinahusishwa na kuzorotesha shughuli za usalama wa Kikanda, zinahusika pia na kuzorota wa usalama wa ndani wa serikali ya Sudan Kusini.
Serikali ya Tanzania na Uganda zinaibua wasiwasi mkubwa kwa nchi nyingine katika chaguzi zijazo, zikiwemo Ethiopia na Kenya.
PUBLISHED:JANUARY 23, 2026
WASHINGTON—U.S. Senator Jim Risch (R-Idaho), chairman of the Senate Foreign Relations Committee, released the statement below on Uganda’s recent elections.
“Uganda’s elections – like the recent elections in Tanzania - were a hollow exercise, staged to legitimize President Yoweri Museveni’s seventh term and four decades in power.
“But even more so than Tanzania, Uganda is a key regional security partner to the United States. Yet, its ruling regime prioritizes domestic control through political violence, abductions, imprisonment, intimidation of opponents, and the misuse of state resources to maintain its grip on power.
Uganda is also linked to destabilizing regional activities, including in South Sudan—making the regime an increasingly problematic exporter of instability. Tanzania and Uganda are moving along similar paths, raising serious concerns about what this portends for other countries with upcoming elections, including Ethiopia and Kenya.

======For English Audience=======