BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Sio ubinadamu kabisa!!..
yaaani wangewanyea kabisa...siwapendi sana hao waarabu maana wana roho ya kinyama sana
Ficha ujinga wako usifiche hekima yako. Are you a human? Or an animal.
Ficha ujinga wako usifiche hekima yako. Are you a human? Or an animal.
Alikuja kufanya nini nyumbani kwako mkuu?Wamarekani wana laana na siku zote hawa sio watu ni mashetani mimi nawachukia kabisa hata juzi mmoja alikuja kwangu nilipojua ni mmarekani haraka nikamwambia i hate you!!! will you please leave my house hakuamini!!! nikamtimua...ni wajinga sana hawa mambwa..
..hayo yote ni madhara ya kuwa vitani.
..i think ppl r asking for too much frm these kids[us marines].
..kungekuwa hakuna VITA haya yote yasingetokea.
Kweli kabisa mkuu! haya mambo hutokea sana kwa watu walio vitani. Angalia walivyotendewa Gaddafi, Sadam na hata ktk jela za Abu Gharib, Abu salim na Guantanamo; watu wamefanyiwa mambo ya ajabu sana huku wakiwa hai, sembuse maiti? Sioni mantiki ya watu kushangaa walichokifanya wanajeshi wa US kukojolea maiti kama wakati wanapokuwa hai hawaheshimiani.Wanajaribu kupunguza hasira baada ya misukosuko waliyoipata wakiwa kwenye harakati za mapambano, matukio ya ukatili dhidi ya adui pale unapommudu yapo sana, sema mengi yanafichwa..
Jibu lako hariridhishi. Ni propanga zao hao sio kids BALI ni jeshi. Na kama hao ni kids basi ni kids wa KISHETANI
NO EXCUSE FOR SUCH BEHAVIOR WORSE THAN ANIMALS.
Kuhusu Vita madhali wana budget ya billion 400 KILA MWAKA KWA JESHI wataendelea kuonyesha mabavu yao. Wamekuwa walipigana vita tangu mie mdogo vianzia Asia mashariki Japan, Korea,Vietman,N icaragua etc na vikahamia masharishi ya kati usisaport ushenzi huo huwezi kujua vita vya kesho witakuwa wapi? Africa?. Vita lazima viheshimu adabu za kijeshi.
NI unyama tu. Mtu yeyote mwenye akili tamamu lazima asitetee unyama huo
Mbona watu mnakuwa waajabu? inakuwaje mnaona ajabu kukojolea maiti wakati kuna watu wananyanyaswa sana wakiwa hai lakini hamchangii kwa ukali? mbona hamshambulii sana US kuanzisha vita, Kenya, Ethiopia, Boko haram, alshabab, Israel na hata Iran kuunga mkono vikundi vya kigaidi vya hezbullah na hamus? Humo mote si ubinadamu unadhalilishwa? iweje watu mchangie kwa nguvu maiti kudhalilishwa kuliko binadamu aliye hai! Au mnataka kuniambia maiti inastahili heshima kuliko binadamu aliye hai.Jibu zuri. Hongera. Lakini alieyandika na aliyemsapoti nwote wanaonekana hawana Elimu maana Afghanistan si nchi ya Kiarabu.
Kwa matokeo yake huko Iraq,Afghanistan, Vietman na kwingineke Jeshi la Marekani limeonesha picha yake ya kweli - hali heshimu ubinadaamu wowote huko wa Hai au Maiti. Most unclivilized actions. Je hao bughamu wanasaporti unyama? Ndiyo maana hilo jibu lako nimelipenda
Safi sana wewe ndio nakuelewa. tunatakiwa kulaani vita na sio kushupalia matokeo ya vita.Mkabera,
..majority ya hao askari ni miaka 18 mpaka 22.
..wanamaliza sekondari, wanajiunga na jeshi, na baada muda mchache wanapelekwa mstari wa mbele.
..maadamu wako ktk VITA/BIASHARA YA KUUA, basi usitegemee wakawa na heshima yoyote to their victims.
..sasa mimi nadhani tuelekeze nguvu zaidi kulaani vita kuliko matokeo/madhara ya vita.
Mkuu culture nyingi zinaheshimu maiti kuliko watu walio hai.Mbona watu mnakuwa waajabu? inakuwaje mnaona ajabu kukojolea maiti wakati kuna watu wananyanyaswa sana wakiwa hai lakini hamchangii kwa ukali? mbona hamshambulii sana US kuanzisha vita, Kenya, Ethiopia, Boko haram, alshabab, Israel na hata Iran kuunga mkono vikundi vya kigaidi vya hezbullah na hamus? Humo mote si ubinadamu unadhalilishwa? iweje watu mchangie kwa nguvu maiti kudhalilishwa kuliko binadamu aliye hai! Au mnataka kuniambia maiti inastahili heshima kuliko binadamu aliye hai.
............... hivyo wewe umeamua kusupport kudhalilishwa maiti eenh !?................. haya tumekuelewa !Mbona watu mnakuwa waajabu? inakuwaje mnaona ajabu kukojolea maiti wakati kuna watu wananyanyaswa sana wakiwa hai lakini hamchangii kwa ukali? mbona hamshambulii sana US kuanzisha vita, Kenya, Ethiopia, Boko haram, alshabab, Israel na hata Iran kuunga mkono vikundi vya kigaidi vya hezbullah na hamus? Humo mote si ubinadamu unadhalilishwa? iweje watu mchangie kwa nguvu maiti kudhalilishwa kuliko binadamu aliye hai! Au mnataka kuniambia maiti inastahili heshima kuliko binadamu aliye hai.
Sio hivyo Mr. Ally kombo, ninachoshangaa ni kuwa watu mbona hawalaani kwa nguvu vita na wanaovianzisha badala yake wanalaani tukio la kuidhalilisha maiti! Kipi kinaathirika na udhalilishaji kati ya walio hai na maiti? Kinachoonekana ni uchizi wa aliyekuwa anakojolea maiti otherwise maiti haithiriki kabisa na tendo hilo lakini wafungwa ktk jela wanaathirika sana na udhalilishaji wanaofanyiwa maana wana akili zao timamu................ hivyo wewe umeamua kusupport kudhalilishwa maiti eenh !?................. haya tumekuelewa !
Kwa kawaida watu humuishimu adui haswa yule anaesimama kiume kwa kuwa anakuonyesha yeye ni timamu, anaelewa haki zake na pengine kuna suala la kuombana suluhu (peace negotiation) kama ilivyo sasa. Amerika wameomba kukaa na Taliban Meza ya mazungumzo !
Sio hivyo Mr. Ally kombo, ninachoshangaa ni kuwa watu mbona hawalaani kwa nguvu vita na wanaovianzisha badala yake wanalaani tukio la kuidhalilisha maiti! Kipi kinaathirika na udhalilishaji kati ya walio hai na maiti? Kinachoonekana ni uchizi wa aliyekuwa anakojolea maiti otherwise maiti haithiriki kabisa na tendo hilo lakini wafungwa ktk jela wanaathirika sana na udhalilishaji wanaofanyiwa maana wana akili zao timamu.