US Marine soldiers urinating on dead bodies!

Russia Today wameitoa bila kuficha kitu. Hawa askari wa kimarekani wanaonyesha unyama uliokubuhu!

 
Last edited by a moderator:
Hivi mnategemea matendo ya namna gani kutoka kwa askari wa Marekani wanaotafutiwa upenyo wa kufanya vitendo viovu vya kushirikiana na wanyama kingono!!! Huku raia mwingine wa marekani anayegombea Urais akiahidi kuwa ataruhusu matumizi ya cocaine na mihadarati mingine akiingia madarkani?
 
This is just a tip in the iceberg.There is more human traficking to the US than any other country in the world.Why?Human flesh is a delicacy in the US.Isn't this worse.This is supported by huge numbers of human disappearances in the US.
Hii kitu itazua balaa.





U.S. Marines To Investigate Video of Soldiers Urinating on Corpses


The United States Marine Corps is launching an investigation into a video which appears to show Marines in full combat gear urinating on several dead bodies ... TMZ has learned.

In the extremely graphic video, which appeared on various websites this morning, at least 4 male Marines expose their genitals and urinate on the bodies.

The mystery person who posted the video included a caption that reads, "scout sniper team 4 with 3rd battalion 2nd marines out of camp lejeune peeing on dead talibans."

Now, Captain Kendra N. Hardesty -- a Media Officer for the USMC -- tells us, "While we have not yet verified the origin or authenticity of this video, the actions portrayed are not consistent with our core values and are not indicative of the character of the Marines in our Corps."

She adds, "This matter will be fully investigated and those responsible will be held accountable for their actions."

In the video, one of the urinating men can be heard saying, "Have a great day, buddy."

Another guy jokes about the situation ... saying, "Golden like a shower.

U.S. Marines to Launch Investigation into Soldiers Urinating on Dead Bodies | TMZ.com



 
Last edited by a moderator:
Hawa jamaa wanajua kueneza domokrazi. Cocain inafanya kazi yake.

 
Last edited by a moderator:
Wanajaribu kupunguza hasira baada ya misukosuko waliyoipata wakiwa kwenye harakati za mapambano, matukio ya ukatili dhidi ya adui pale unapommudu yapo sana, sema mengi yanafichwa..
Nani aliwatuma US waende kuwachokoza Taliban?

Taleban, mujahedeen know no surrender!!!! US wataua mpaka watachoka, ngoma kama ya Vietnam.
 
Jeshi la Marekani linachunguza video inayoonyesha watu wanne waliovaa sare za jeshi la majini wakiwakojolea kwa kile kinachoonekana kuwa ni maiti za wapiganaji wa kitaliban nchini Afghanistan. Msemaji wa wizara ya ulinzi ya Marekani, Pentagon ameelezea video hiyo kuwa yenye kukera na tabia isiyokubali

SOURCE:BBC NEWS
 
yaaani wangewanyea kabisa...siwapendi sana hao waarabu maana wana roho ya kinyama sana
 
kuna issue muhimu hapa imejificha, ukweli ni kwamba unatakiwa ujiulize kwa nini hii video imetolewa kipindi ambapo taliban wanataka kuanza mazungumzo ya amani ili waacha vita? ukweli ni kwamba kuna insiders ktk jeshi la marekani wao kukiwa na vita wanafaidi so hawataki majeshi yaondolewe pande zile hawa ndio waliotoa hii video ili taliban wakasirike watake kuendelea kupigana and by doing so majeshi hayataondolewa na wengine wanaendelea na contract zao mbalimbali wakat vita inaendelea! tayari wamekasirika baada ya majeshi kuondolewa iraq na sasa wanaona yanaondolewa afghanistan wakale wapi?
 
Wapuuzi hawa watu wanaitwa Wathungu..kwa wale wanaoshabikia watu hawa..shame on them!!
 
Hawa wameonyesha ukweli wa hisia zao. Wengi wao hawaheshimu kabisa watu wa mataifa mengine. Wanachonistaajabisha ni ile tabia yao ya kupenda kuweka kumbukumbu ya matukio ya kuaibisha (despicable) kiasi hicho kama vile hawafahamu madhara yake mara ushaidi huo ukivuja. Hapo ndipo napoona uelewa (intelligence) wao wa mazingira ya maisha ulivyo duni kabisa!
 
Back
Top Bottom