Tatizo lako hata sisi wenyewe humu hatukujui na id yako hiyo feki, sasa hao wairaki ndio watakufahamu.... Iran asiruhusu kabisa hizi systems ziwe deployed huko Iraq; anachoweza kufanya ni kuhakikisha misafara yote ya US itakayokuwa inabeba hiyo mizigo anaisambaratisha kwa makombora fasta kabla haijafika destination point. Yaani asiruhusu kabisa msafara wa US kukatisha ardhi ya Iraq! Aipige makombora ya haraka haraka hadi makafir wakimbie au awauwe wote.
Majeshi ya Marekani yakiondoka Iraq basi Iraq haitakalika. Wairaki wanawahitaji
Wamarekani kuliko Wamarekani wanavyowahitaji Wairaki kwani wenyewe Wairaki ndio waliyowaomba Wamarekani wabaki Iraq.