US likely to deploy Missile Defense System in Iraq after Iranian attack.

Frank Wanjiru

Platinum Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
25,748
Reaction score
47,057
Wale mliokuwa mnasema kuwa Missile Defense System za US zilikuwepo Iraq na zikashindwa kuzuzia missile za Iran,njooni hapa.
Screenshot_20200124-102018.jpeg
Screenshot_20200124-102101.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... Iran asiruhusu kabisa hizi systems ziwe deployed huko Iraq; anachoweza kufanya ni kuhakikisha misafara yote ya US itakayokuwa inabeba hiyo mizigo anaisambaratisha kwa makombora fasta kabla haijafika destination point. Yaani asiruhusu kabisa msafara wa US kukatisha ardhi ya Iraq! Aipige makombora ya haraka haraka hadi makafir wakimbie au awauwe wote.
 
Vifaa vyote vinashushwa ndani ya kambi kwa kutumia C 25

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akiiweka atamtishia nani [emoji16][emoji16][emoji16]
... Iran asiruhusu kabisa hizi systems ziwe deployed huko Iraq; anachoweza kufanya ni kuhakikisha misafara yote ya US itakayokuwa inabeba hiyo mizigo anaisambaratisha kwa makombora fasta kabla haijafika destination point. Yaani asiruhusu kabisa msafara wa US kukatisha ardhi ya Iraq! Aipige makombora ya haraka haraka hadi makafir wakimbie au awauwe wote.
US PAPER TIGER

Lol
 
Yaan ww mkenya tangu Trump ameufyata unaweweseka sana .
Dah ila Trump aliwa dhalilisha sana maana tangu akumbane na mtiti wa Iran hata mipasho yake ya dharau dhidi ya Iran huko twiter kwisha kabisa.
 
Patriot haijaanza Leo kufail ,tangu 1991 enzi za Vita vya ghuba scud za saddamu zilitinga Tell Aviv,wakati scud Ni kombora la enzi za ukomunist,
Juzi Hapa zilifail kule Saudi Arabia na Mara nyingi zinafail Saud,
 
Na ndicho kilimfanya Trump kunywea kwa Chairman Kim wa Korea ya Kaskazini.
 
Yaan ww mkenya tangu Trump ameufyata unaweweseka sana .
Dah ila Trump aliwa dhalilisha sana maana tangu akumbane na mtiti wa Iran hata mipasho yake ya dharau dhidi ya Iran huko twiter kwisha kabisa.
Na akaambiwa ilo nikofi tu kohoa uone!!
 
Back
Top Bottom