US launched Cyber attack on Iran weapons systems

Trump aiseee trump hajanishawishi na hii kituu badoo na maumivuu bado kama naona wazee wako tatu sisi tuko bilaaa....!! #USAbaby [emoji111]
 
Fake News at it again to save Trump face! Iran tokea ikumbane na Stuxnex sio wajina waconnect sensitive infrastructure kwenye internet! US kusema eti AME hack missile control systems ya Iran wakati Iran yenyewe haijasema ni itoto tu ambao ulianzia Yahoo....Hivi US km anauwezo huo kwann asi disable kwanza then apeleke ndege zake? Kwann aingie hasara km kweli anauwezo huo siunazima mitambo ya adui ako then unaenda unafanya yako then unaondoka! US amekua akipata hasara sana uko Iran kwakupeleka ndege zake za upelelezi sizizoonekana kwenye rada kulingana na wao ila waIran wao wanaziona na kuziangusha! Ata Tanzania kwenye vita huwezi connect air defence zako kwenye internet nauku inafahamika sio salama sana! US angekua na uwezo huo nadhani angezima then angepeleka F-16 km 200 hivi ktk anga la Iran just kutuma salamu kua tunauwezo wakukufanya chochote na Leo hii nadhan Iran na US wangekua wamekaa mezani kwa ajili ya mazungumzo
 
Nawashangaa hawa majamaa

Iran katika miradi yake ya siraha hutumia wahandisi wa ndani yaani wazarendo na siyo wageni kitu kinachofanya miladi yake kuwa na siri kubwa hivyo hata nguruwe trumpet hajui vizuri nguvu ya lran kijeshi ndyo maana tumbo la kuhala halimponi tarampo ( trumple
 
Back
Top Bottom