LebronWade
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 1,615
- 1,510
He thought he was smart than US intel! Instead he was caught red handed with both of his hands in the jar!
Upuuzi mtupu, wanazidi kujidhalilisha tu. Kwanza ieleweke kwamba wanachodaiwa kudukua ni email za Democratic na sio kucheza na mfumo wa matokeo uliopelekea kumpa ushindi Trump. Tuhuma za Clinton kutumia personal email zilitosha kumfanya asiwe credible za kuwa mgombea urais, mbona hill hawalisemi?
Ikumbukwe Trump alipoulizwa kama atakubali matokeo alijibu itategemea....tulishuhudia Obama na Clinton walivyomshambulia Trump kwamba anafedhehesha na kuvunjia heshima mfumo imara wa uchaguzi was US na democrasia ya nchi hiyo kwa ujumla.
Sasa hizi sarakasi na ngonjera zinatoka wapi?
Umeiweka vizuri.Sio Russia waliofanya inquiry na kuunda tume kuchunguza tuhuma hizi, Assange(bila kujali kwamba alisaidiwa na Russia au yoyote yule) alitoa tu kile ambacho tayari kilikuwa kinajulikana na Wamarekani. Wengi walishangilia kura za maoni just a week before election...
Nashindwa kuelewa kwanini wengi hawataki kuamini kuwa ballot box imeamua!
Who will regret Mr Trump or Mr Putin ? You are lost dude ! Up to this occasion madam Hillary is one who regrets.He thought he was smart than US intel! Instead he was caught red handed with both of his hands in the jar!
Big time miscalculation that he'll regret for the rest of his life.
Umeiweka vizuri. Wengi walishangilia kura za maoni just a week before election...
Nashindwa kuelewa kwanini wengi hawataki kuamini kuwa ballot box imeamua!
Unaziexpose source kivipi?
Sasa ukishindwa kuonesha huo ushahidi nani ataamini madai yako?
Na BbcDemocrats wakubali wameshindwa,deal with it..
Haya mademocrats ni ma-warmongers
CNN sio credible media too,i discredited all traditional medias as collection of doo-doos kipindi cga uchaguzi...i will never trust em again
Mkuu kama walimshika kwanini wasingezuia hizo hacks from day one? Huoni kama wanatapatapa?? Huoni russia kawazidi uwezo??He thought he was smart than US intel! Instead he was caught red handed with both of his hands in the jar!
Aliita hiyo ni chicken diplomatic alivyofanya Obama, yeye akawakaribisha kuukaribisha mwaka mpya kiroho safi na billionea Trump ameshampongeza kwa uamuzi huo wenye akili na busara.Putin anajua kama wamemkamata, baada ya Obama kuwafukuza 35 Russian Diplomats, Putin naye akatunisha msuli akasema na yeye atawafukuza Wamarekani kwa namba ileile! Mbona baadae aliamua kuwa mpole tu akasitisha zoezi!
Mkuu Bak siyo hilo tu, amesema haaamini hata US National Intelligence Agencies (NSA) kitu ambacho ni kioja katika Historia ya Siasa za Marekani. Ameanzisha bifu na makampuni ya Marekani kama Boeing kwa sababu ambazo anazijua mwenyewe. Ni dhahiri kwamba kutokana na hizi habari toka Russia, kwa mara ya kwanza Russia wamepata kikaragosi ambaye ni Rais wa Marekani. Swali linakuja je Establishment ya USA itaruhusu huyu bwana aendelee kuwa Rais ?Uchaguzi hautarudiwa Pakawa lakini kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani Rais mteule haafikiani na Masenate wengi kwenye chama chake katika issue yenye umuhimu mkubwa katika kuhakikisha Democracy ya Marekani. Sijui hali hii ya kutoafikiana na masenators wa chama chake itaendelea vipi akishaingia madarakani. Kama kutoafikiana kutaendelea basi kuna uwezekano mkubwa wa utawala wake kutokuwa na mafanikio na hivyo kupunguza uwezekano wa yeye kuchaguliwa tena kwa awamu ya pili. Ngoja tuangalie hili sakata litakavyojidhirisha katika uso wa dunia hasa kwa wale wanaopenda kufuatilia international affairs.
Mkuu Bak siyo hilo tu, amesema haaamini hata US National Intelligence Agencies (NSA) kitu ambacho ni kioja katika Historia ya Siasa za Marekani. Ameanzisha bifu na makampuni ya Marekani kama Boeing kwa sababu ambazo anazijua mwenyewe. Ni dhahiri kwamba kutokana na hizi habari toka Russia, kwa mara ya kwanza Russia wamepata kikaragosi ambaye ni Rais wa Marekani. Swali linakuja je Establishment ya USA itaruhusu huyu bwana aendelee kuwa Rais ?
Kula Tano [emoji109] [emoji109] [emoji109] mkuuAliita hiyo ni chicken diplomatic alivyofanya Obama, yeye akawakaribisha kuukaribisha mwaka mpya kiroho safi na billionea Trump ameshampongeza kwa uamuzi huo wenye akili na busara.
Kichaa akikupiga konde tu majiani kwani wewe utaanza kumlipiza kisasi?
Na ukimrudishia kwa konde tena ni nani ataonekana kichaa zaidi hapo
Haya maneno ya mkosaji tarehe 20 Mr Trump will sworn to be the president of USA and no body will refuse this. Kwani wale wa California walikuaje waliandamana wakaja na Caltex wameishia wapi ? Siasa za Amerika siyo za huko mavumbini . Jipe moyo.
Who will regret Mr Trump or Mr Putin ? You are lost dude ! Up to this occasion madam Hillary is one who regrets.
I think the whole saga was well planned from the time Edward Snowden obtained political asylum in Russia. No body knows how much information he has provided to them and how much he knows. During cold war era we could say Russia 2 USA 0.