Uchaguzi 2020 US Foreign Affaires: We call on Tanzanian security forces to immediately cease violence

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Engel Statement on Elections in Tanzania

Bronx, NY—Representative Eliot L. Engel, Chairman of the House Committee on Foreign Affairs, today made the following statement:

“It has been tragic to see Tanzania, once a promising democracy, slide into autocracy under John Magufuli’s leadership. Wednesday’s election to secure Mr. Magufuli’s second term was marred by fraud and the intimidation of the ruling party’s political opponents, in addition to disruptions to social media and other online communication platforms. I call on Tanzanian security forces to immediately cease violence against members of the political opposition attempting to peacefully protest the conduct of the elections."

 
Wanaua tu kila siku, zanzibar wametuulia Mazrui Nassor wetu tena usiku wa leo
 
Cha ajabu CCM wanawasikiliza mabeberu kuliko sisi Raia. Walikuwa wanawashikilia viongozi wa ACT kule Zenji. Hawakutaka kuwaachilia mpaka walipopigwa mkwara na balozi wa Marekani. Hata siasa huko Zenji yamkini wamesubiri mpaka wapigwe huu mkwara ndipo waache kujeruhi na kuua raia
 
Ila sindano imewaingia ki sawa sawa.
Sasa mmebaki kudandia matawi ndani ya maji
Mkiona kitaarifa kutoka popote mnadhani kitawasaidia.
Tukutane tarehe 2 ili mjue hii ni nchi yetu sote na sio ya CCM pekee.
 
Huy Huyu pumbafu kweli.Ngoja tuomba Corona iendelee kuwatandika. TUTAPAMBANA NANYI ANGANI,NCHI KAVU,NA KUZIMU.
 
Majina huwa yanaathari sana kwa maisha ya watu! Imagine mtu, tena kiongozi kabisa anaitwa hole, mna akili za kishoga sana aseeh...
 
Vibaraka na wasaliti tutawanyosha tu. No way na wasubiri jumatatu ndiyo watajua watz tunanguvu kuliko hao vibaraka wao.
 
Vikosi vya usalama hovyo kweli, yaan yanapita barabaran kutisha na kuua RAIA wasiokuwa hata na mawe mkononi huku wao wakiwa na silaha nzito nzito badala yaende huko kusini ambapo ndugu zetu wanateseka na waasi
Wewe kibaraka hao wapuuzi wenu kule Zanzibar walikuwa na mabomu. Lazima mdhibitiwe nyinyi vibaraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…