US firm pulls out of Dar housing project! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US firm pulls out of Dar housing project!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdondoaji, Sep 26, 2010.

 1. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  By Tom Mosoba and Alvar Mwakyusa

  An American real estate development company has decided to pull out of a multi-billion shilling housing project for Dar es Salaam and Dodoma, following a bitter fallout with the government.The impasse, blamed on state bureaucracy, could now see the country lose out on an investment worth over Sh30 billion, which could have gone a long way in easing the housing shortage in the two cities.

  The company had intended to build modest, affordable houses for the middle class in the urban centres, where demand by far outstrips supply.

  Colom Investment (T) Limited's vice-president (operations), Dr Gaidi Faraj, confirmed that they had discontinued the plan to build some 212 mortgage housing units.Some 90 houses were to be built in Dar es Salaam and 122 in Dodoma.


  Yesterday, the Capital Development Authority (CDA) director, Mr Martin Kitila, said they had held talks over the Dodoma project, but he was not aware of the US firm's withdrawal.

  Dr Faraj had said the board of directors had made the decision after the authorities failed to offer the company a letter of allotment for a 15-acre plot in Dar es Salaam's Bunju suburb, despite having paid Sh288.2 million ($211, 000) last April.
  The Dar project was to be implemented first.

  "We have cancelled the deal and are demanding our money from the ministry of Lands... (Housing and Human Settlement) who have refused to give us the title," said Dr Faraj.


  He said efforts to seek assistance from the Tanzania Investment Centre (TIC) and the investors' complaint bureau based at State House, Dar es Salaam, had failed.

  The firm's lawyers wrote on September 17, to the Attorney General and the Lands ministry's Permanent Secretary about their intention to sue the government to recover the money.


  Dr Faraj also wrote on August 18, to the American embassy in Dar es Salaam, seeking intervention. In the letter, he appealed to the US Government to issue an alert against Tanzania to all American investors over what he termed "potential fraud."


  Contacted to confirm if they had received such a letter, a spokesperson at the embassy said they did not wish to comment on the matter.

  But in a rejoinder, the Permanent Secretary for Lands, Mr Patrick Rutabanzibwa, and the TIC executive director, Mr Emmanuel Ole Naiko, sought to exonerate their respective offices from blame.


  Mr Rutabanzibwa said the ministry was waiting for an okay from State House to vest the piece of land to the TIC, which would in turn issue derivative user rights to Colom, as required of any foreign investor.


  "We are only waiting for procedures to take their course. We can't just give out land without following laid down procedures," said the PS, adding that the ministry wanted to ensure that people were not wrongly evicted or that there was double allocation.


  He clarified that once the President declared the land general, meaning it could be taken away from the villagers, other procedures would follow before it could be made available to the investor for the housing development project.


  Mr Ole Naiko told The Citizen on Sunday in Dar es Salaam that the investor did not follow the right channels in his endeavour to acquire the land. He said the American company had by-passed the TIC, contrary to the law.


  According to the TIC boss, the Land Policy of 1995 does not permit foreigners to directly own land, as Colom tried to do. However, he said, the Land Act of 1999 gives authority to the TIC to lease land to foreigners for a period of 99, 66 or 33 years, which can be renewed.

  "In Tanzania, the land system is based on lease-hold rather than free-hold…the investor just decided to go on his own to obtain the land, which is not right," said Mr Ole Naiko.

  He said the process to create a land bank, in which land earmarked for investments would be clearly allocated would be completed by the end of the year.


  It was not immediately clear why the ministry accepted payment for the plot in the Mabwe-Pande area before all the technicalities could be completed.

  According to the regulations, the Commissioner for Lands can only enter into any agreements after the presidential consent.

  The TIC boss said the agency was trying to resolve the matter and he was optimistic the project would go ahead if the investor would abide by the procedures.


  He said the snag was the use of derivative rights that could not allow the investor to transfer the land to a third party without seeking fresh approval.

  Colom, we learnt, was opposed to this arrangement because it wanted the buyers of its housing units to get individual rights to own the plots.

  The TIC boss said he was concerned that the investor had written to the US embassy, asking it to issue an alert to prospective American investors.

  Dr Faraj said though the company had cancelled the housing project, it would retain its other investments, including interests in the hospitality industry.


  Source: Citizen.

  Mtazamo: Hapa kweli tutafika safari yetu ya ahadi CCM? Hapo hapo JK anasema anataka kuweko na watu wa pato la kati na makazi mazuri ana nia kweli ya dhati kufanya hilo? Pia hawa wawekezaji hawasemi ukweli ila tatizo sio kuwa hawawezi kusubiri bali ni unnecessary delays zenye mianja ya rushwa zinazofanywa na wizara zetu kitu ambacho wenzetu hawafurahishwi nacho.

  Halafu tunahofia asiwaambie ubalozini unategemea nini kama project kubwa kama hii mnaboa?? Miafrika ndio tulivyo!!!
   
 2. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Tatizo hapa lipo kwa wizara kwa nini walichukua fweza bila procedure zote kukamilika? Je waliwaambia Investors kwamba taratibu hazijakamilika? Au hawa ndio wale investors wanaotaka kupitia shortcuts bila kufuata utaratibu uliowekwa. Hata Europe na marekani kwenyewe wanafuata utaratibu kama kazi imewashinda waende zao bwana wasitutishe na fweza zao kwanza ziko overvalued.

  Tukumbuke wasije wakawa wale wanaokimbia USA lilikoanzia sokomoko la sub-prime morgages.
   
 3. M

  Mkandara Verified User

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Kwa mtu mwenye kuelewa ukisoma maneno hayo hapo juu utaelewa wazi kwamba hawa jamaa wa US walitaka kununua mbuzi ndani ya gunia. Huwezi toa Usd 211, 000 for 15 acres za ardhi kabla hujapewa kibali. Kuna kamchezo na wameingizwa mjini ndio maana huwezi kupata mtu yeyote toka wizarani ambaye anaweza kujibu lolote kwani haikuwa halali toka mwanzo.

  Nakubaliana na majibu ya Ole Naiko kuhusiana na sheria:- According to the TIC boss, the Land Policy of 1995 does not permit foreigners to directly own land, as Colom tried to do. However, he said, the Land Act of 1999 gives authority to the TIC to lease land to foreigners for a period of 99, 66 or 33 years, which can be renewed.
  "In Tanzania, the land system is based on lease-hold rather than free-hold…the investor just decided to go on his own to obtain the land, which is not right," said Mr Ole Naiko.

  Sasa kama wao wamepindisha sheria toka mwanzo walitegemea kipi haswa?
   
 4. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,203
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Huyu Gaidi naye ni mtu wa kuangalia kwa makini kwa sababu ndiye aliyemwingiza mkenge dada yetu Nakaaya kwa kumpa mkataba feki wa Sony.
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Land grabbing ni sera inayoendeshwa na mabepari mbalimbali wakiongozwa na wazungu, China, n.k.
   
 6. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #6
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,921
  Likes Received: 12,113
  Trophy Points: 280
  Huwajui watanzania usikute hapo 10% imeshaliwa tayari halafu ndipo mambo ya procedures yanafuata baadae ni kaazi kweli kweli.
   
 7. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #7
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Inawezekana hawa jamaa wanataka kuvunja sheria kwa kigezo wao ni wawekezaji au wameingizwa mjini Bongo maskini ya mungu wakijua mambo yanafanyika kienyeji. Kubwa zaidi inabidi tufahamu hasa nini malengo ya hawa jamaa ndipo tuone ukweli uko wapi ila kama serikali imehusika kwa namna moja au nyengine si dalili kwa uchumi wetu mchanga unahitaji wawekezaji kutoka nje.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Binafsi sikubaliani na wageni wafanye uwekezaji kama huu..ni ujinga kwa weli kwamba ktk karne hii watz wanashindwa kuweka utaratibu wa kujijengea makazi yao wenyewe. Wageni wanatakiwa wapewe fursa kwenye nyanja ambazo wazawa hawana expertise kama mambo ya technology, uvumbuzi na mitambo..huu ujinga wa kukubali kila aina ya uwekezaji hautalisaidia taifa na tutaendelea kuwa viwete mpaka amri kiyama.
   
 9. M

  Mkandara Verified User

  #9
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu hapa sikubalinani nawe kwani hata miji mikubwa kama New York zimejengwa na wawekezaji wa kimataifa wenye kila rangi hata Sultan wa Saudia ana majumba pale kibao. Na ndivyo uchumi wa nchi unavyokua ktk mtazamo huu wa macroeconomics, waswahili tunasema uchumi wa puto (Bubble) moja ya dalili kubwa za maendeleo ya nchi huanza kwenye market ya nyumba.

  Tatizo kubwa ni kutokuwa na mfumo bora unawawezesha wananchi kufaidika na uwekezaji ktk ujenzi wa nyumba ikiwa ni pamoja na malipo mazuri kwa waajiriwa, utapeli wa ardhi na kutokuwa na thamani moja inayolingana na mazingira au akati..

  Ila nadhani kwa sasa hivi mwajiri mkubwa Tanzania inawezekana kabisa kuwa ni sekta hii ya Ujenzi wa nyumba.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  Sep 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Bado sikubaliani na wewe.

  Mojawapo ya fallacy kubwa ya mtu mweusi ni kuangalia copy and paste badala ya kuangalia wazo kwa mapana yake. Kuruhusu kila mtu (soma mgeni) aje afanye biashara anayoitaka Tz ndio iliotufikisha tulipo. Serikali yetu inajifanya mwinyi eti inaketi kitako bila kutoka jasho na inasubiria mwisho wa siku ati ipewe chake (kodi iliochakachuliwa) etc etc. Aina hii ya sera ndio imesababisha ufisadi wa mikataba, uchumi kudodora, viwanda kufungwa, ajira kuwa chache, resources extraction kutokwenda sambamba na ukuaji wa kipato cha mtu wa kawaida etc etc. Kuendelea kuruhusu bila udhibiti ndio kulipotufikisha kuwa taifa la wachuuzi na watumiaji (consumers) bila kuzalisha.

  Nachojaribu kusema hapa ni kwamba lazima kuwepo na mipango. Je ni kweli turuhusu mgeni aje kufanya kazi ambazo tunaziweza TUKITAKA?. Solution yetu sio shurti ilingane na ya Mmerekani. Sisi ni sisi na wao ni wao. Kuruhusu mathalan wachina washinde tenda za ujenzi wa majengo ya kawaida na hata kutengeza barabara za vumbi kule mawilayani tunajenga uchumi wa nani? Kuruhusu watu(soma wageni) watujengee nyumba wakati hatuna tunachokosa ktk nchi hii ni sawa? Kuruhusu mabenki ya nje yashamiri kiholela huku mabenki ya umma yakiwa hoi, tenajenga uchumi wa nani?

  At some point a man has to stop beating around the bush na kuchukua hatua. Huwezi kutegemea matokeo tofauti kwa kufanya vilevile siku zote.
   
 11. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #11
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Utandawazi umetanda. Hakuna kukwepa.
   
Loading...