US election: Obama and Romney deadlocked for final push

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Posts
1,484
Reaction score
372
95245163-american-poll-race.jpg

The US presidential candidates are in the thick of the final two days of campaigning, with the outcome still too close to .
 
Wewe kama mtu mwenye akili timamu jiulize, hii election ya Marekani inawahusu nini watanzania? Marekani has nothing to do with Tanzania mnakazania upuuzi tu. Leteni mjadala wa maana unaowahusu watanzania na jamii yake.
 
Bro pole, thinkin in a box. Oh God grant Barack Hussein Obama, Usain Bolt's legs.
 
Election haiko deadlocked, hizi ni jitihada za media ya Marekani kuleta excitement kwenye hii election.

Popular vote iko deadlocked, lakini Presidential election Marekani haziamuliwi na popular vote, ndo maana Gore alishinda popular vote (Alipata kura nyingi) lakini akapoteza uraisi kwa Bush. Kinachomater Marekani ni electoral college (Umeshinda states zipi) na Obama ana lead kubwa kwenye electoral votes. Romney ana wakati mgumu sana kushinda jumanne.
 
Wewe kama mtu mwenye akili timamu jiulize, hii election ya Marekani inawahusu nini watanzania? Marekani has nothing to do with Tanzania mnakazania upuuzi tu. Leteni mjadala wa maana unaowahusu watanzania na jamii yake.

ni muhimu sana kwa mandeleo na usalama wa dunia,elimu yako haikusaidii kujua tunakokwenda?vita ya tatu inakuja na utakuwa bado unawaza tanzaniadunia imekuwa kijiji bro!
 
  • Thanks
Reactions: UKI
ni muhimu sana kwa mandeleo na usalama wa dunia,elimu yako haikusaidii kujua tunakokwenda?vita ya tatu inakuja na utakuwa bado unawaza tanzaniadunia imekuwa kijiji bro!

Naomba urudie kusoma tena haya uliyoandika mara 10 ama zaidi. Kama ni kweli ni muhimu sana kwa usalama wa dunia, je Marekani wanafanya nini katika kuleta usalama wa afrika na watu wake? Marekani has no interest in Africa ila wanapiga kelele tu ili wasionekane kuwa hawajali Africa. Wangekuwa wanajali Africa kama nchi za kiarabu unafikiri wangeshindwa kuwang'oa madikteta hapa Africa? Usilete masuala ya Bongo fleva hapa kusifia vitu usivyovijuwa.
 
duh mkuu unasema usa haina interest in africa?? kweli?? kaka karibu duniani na hata hiyo mikono yako inabofya hiyo keyboard ni mmarekani ndio kakufanya hivyo so bidhaa zake huzitumii?? dunia nzima inautizama uchaguzi wa marekani kwa macho mawili, kila pande anyway mleta mada kaleta picha so jadili picha tuache siasa.
 
Acha upuuzi wewe, una miaka mingapi? Kwani kutumia bidhaa za marekani ndo kunaipa marekani interest in Afrika? Si tunazinunua hizo bidhaa? Yes, dunia inatizama uchaguzi wa marekani because most of those countries biggest trade patner wao ni marekani haswa nchi za Ulaya na Asia. Sisi biggest trade partners wetu ni nchi za Ulaya na Asia pia ila siyo marekani na ndiyo maana unakuta marekani hawa-emphasize sana mipangilio yao kwa afrika because to them africa is still a mystery place and will always be a dark continent to them. Siku zote katika good governance unajali kile kinachokuhusu. Congo kuna internal conflicts ambazo zinasababishwa na nchi jirani yake. Sudan kuna shida kati ya Khartoum na Southern Sudan na rais Bashir amebainika kuwa ni muuaji. Mali pia kuna matatizo....je, umesikia marekani imeingilia kati? Na ulishawahi kujiuliza kwa nini waliingilia kati Libya na nchi za kiarabu? Jibu ni kwa sababu kwa nchi za kiarab kuna makampuni ya mafuata ya marekani huko yanayolipa ushuru mkubwa serikali ya marekani na yanalindwa na serikali yao. This is one of the interest. Mali, Tanzania, Congo, na nchi nyingine hapa afrika kuna makampuni gani ya kimarekani? Umeshanipata hapa? America has no interest in africa, usijichanganye.
 
Back
Top Bottom