.....what a fool ur? alafu nasikia wahindi mnapenda kuwa identified kama white mkifika America hah ahaha aahaha ila mkishapata reality ndio mnatia adabu na shukuru brothers wakati tunayashikisha adabu ma KKK nyie mlikuwa mahouseboy mkijiita second class,FYI watu kama wewe huku mnajulikana kama colored na sisi usituchanganye na wewe sisi ni African American like irish American or Jew American lakini ulishasikia wapi calcuta or bombay American...hey colored!
..... kumbe objective spins nawe unaziweza. mara nyingi niliacha kujibizana nawe kwa mtizamo wako hasi na mambo ya IQ. Nevertheless, the above is a good counterattack.I think that means Sarah Palin has irritated enough liberal Democrat bowel movements in one speech to a point they are digging deeper in their pockets for Obama. I am not sure if Obama has attracted new supporters to give him $10 million or rather it his usual supporters digging deeper in their pockets. Either way Palin's speech seems to have given a major case of diarrhea.
Mjukuu Nyani,
Mbona umepotea kutupa straight talk na talking points baada ya hotuba ya Babu? Hakuna maelezo kutoka Ikulu ndogo?
Hapo awali nilkuwa sijui kama Republian ni chama kilichoanzishwa na Wapinga utumwa, kwa hilo nawapa two thumbs up. Leo kwa jinsi nilivyofuatilia hotuba mbali mbali hususan ya Cindy, kwamba miongoni mwa family members wa McCain ni adopted child kutoka bangladesh, kwa kweli hilo limenitouch sana na hii inaonyesha ni hisia za utu kiasi gani Cindy na McCain wanao, pia ishu kwamba Mccain alipokuwa prisoner of war alikataa kupewa favor ya kuachiwa huru ilhali wenzie bado wapo mateka, hii ni strong character ambayo kwa kiongozi anapaswa kuwa nayo.
Hapo awali nilkuwa sijui kama Republian ni chama kilichoanzishwa na Wapinga utumwa, kwa hilo nawapa two thumbs up. Leo kwa jinsi nilivyofuatilia hotuba mbali mbali hususan ya Cindy, kwamba miongoni mwa family members wa McCain ni adopted child kutoka bangladesh, kwa kweli hilo limenitouch sana na hii inaonyesha ni hisia za utu kiasi gani Cindy na McCain wanao, pia ishu kwamba Mccain alipokuwa prisoner of war alikataa kupewa favor ya kuachiwa huru ilhali wenzie bado wapo mateka, hii ni strong character ambayo kwa kiongozi anapaswa kuwa nayo.
....Republican ya leo ni yale ma KKK yaliyokimbia Dems 60s wakati wa civil rights,historically Republican ilikuwa very strong in Northern na hata weusi wengi zamani walikuwa Republican inasemekana hata Martin Luther King once aliwahi kuwa Republican,lakini during civil rights southern Dems walikuwa wabaguzi sana na walipinga sana civil rights na baada ya kupitishwa wengi walihamia Republican na Dems ikabaki na kina kennedys na Northern na wapenda haki na weusi wengi wakahamia Democrats,hata Reagan alikuwa Democrats na alihamia Republican in 60s,kuhusu maccain kukataa kuachiwa peke yake ni kweli lakini wengi wanasema it was more political maana baba yake unajua alikuwa ni mkubwa sana jeshini(mkuu wa Navy) na wanasema alijua atatoka tuu na alikuwa anakaa Hanoi Hilton wanavyosema na hiyo kuadopt mtoto mweusi(god bless him) lakini ukitaka kujua Republican ni mabaguzi 2000 wakati wa campaign walisema maccain ana black kid...Republican ni mabaguzi no doubt na hawana interest yeyote na mtu mweusi hujiulizi weusi almost 95% wanavote Democrats(they know better)
.
Back to Obama and why he does not seem to gain track with middle America. The obvious answer would be his race but I do not think that is the main reason. The problem is Obama has NOTHING in common with these people. Not his background and certainly not how he lives. Even though George Bush came from a privileged background, he was viewed by this voting block as someone they can identify with. Someone they could sit down and drink a beer with. Not Obama. He does not have this appeal because it is not who he is. No matter how hard he tries to appeal to this base he comes of as a phony because he insults them by saying they are clinging to their guns and religion.
....blah blah blah... all BS kama kawaida yako na marepublican wako,is ahead in all polls for godsake,better pose the same Q kwa babu yenu ambaye yuko nyuma kwenye polls labda mtapata jibu why maccain is behind,American is divided na usitegemee any landslide from either side,Obama is doing just fine and he'll win bila watu kama wewe ambao mnaona the obvious lakini tatizo lenu mnalijua!
Na hao Democrats wamewasaidia nini weusi? Sehemu karibu zote zinazoongozwa na Democrats hapa Marekani ndio ziko hovyo kabisa!! Angalia Detroit au Chicago...weusi wa huko wanasota kaa nini....yaani hovyo kabisa. Mchawi wa weusi ni weusi wenyewe ingawa wako kwenye denial na kila siku kazi kulaumu wazungu tu. Yaani ujinga mtupu.
Hapa nilipo weusi wanahama county zinazoongozwa na Democrats na wanahamia kwenye county zinazoongozwa na Republicans...why? kwa sababu hakuna uhalifu, shule ni nzuri, neighborhoods nzuri, parks na recreational facilities ni bora kuliko, n.k. Angalia kwa mfano Detroit au New Orleans zilivyolosti....yaani hovyo kabisa. Watu wa New Orleans walimchagua tena mayor wao Ray Nagin mwaka jana licha ya kuvurunda wakati wa kimbunga cha Katrina. Sitashangaa Kwame Kilpatrick akimaliza adhabu yake na kuamua kugombea tena umeya akishinda.
Ingekuwa hizi polls unazozi-cite hapa ndio uamuzi wa mwisho basi huyu Obama angekuwa raisi tokea zamani sana. Kwa bahati mbaya, hivyo sivyo mambo yalivyo.....too bad..
...sit back & relax,kwanza hujawahi kutuambia kwanini unasupport mcCain? tupe sababu maana huwezi leo kuwa kwa Hillary then kesho ni mccain maana platform zao ni kama maji na mafuta...why mccain?
.............McCain because he shares my values. I'm pro-life so is McCain-Palin. I believe marriage is btn one man and one woman so do McCain-Palin. I believe in a smaller govt. so do McCain-Palin.
... Republican slogan of Govts keep off my business is all rhetorical,u guys need to live people alone for who to love or what to do with their bodies,kama kawa ya wingnuts hawana data zaidi ya kusikiliza Limbaugh na Hannity then unatuletea hapa,angalia miaka yote mwenye smaller govts wakichukua Washington,Dubya ndio kavunja records of all time,cha ajabu Dems wakimwaga pesa kusaidia public mnawaita socialist lakini Repubs wakitumia hizo hizo pesa kuwarudishia top 1% thats fine...believe me hizo cuts za dubya nilizipata sana lakini sihitaji bora akasaidie senior citizen,inner city & poor kids in Education na nina uhakika hukupata kitu kutokana na bracket yako...sasa mbona ulikuwa una support hillary wakati yote hayo unayoamini hamkubaliani? mwongo mkubwa wewe!
The rock group Heart has sent a message to John McCain and Sarah "Barracuda'' Palin: quit playing our 1977 hit ''Barracuda.''
Soon after the presidential nominee finished his acceptance speech late Thursday and running-mate Palin joined him on the Republican National Convention stage in St. Paul, the sound system pumped the throbbing introductory guitar licks to "Barracuda.''
It seemed the cleverest musical choice of both conventions. Heart's Ann and Nancy Wilson, like Alaska Governor Palin, are outspoken products of the Pacific Northwest, and the sisters's tune also could refer to Palin's Dazed-and-Confused-Era nickname of Sarah Barracuda, given for her intense high-school basketball play.
But the Wilsons condemned the usage, adding that Universal Music Publishing and Sony BMG have sent a cease-and-desist notice to the McCain-Palin campaign, according to CNN. "We have asked the Republican campaign publicly not to use our music,'' the group said in a statement.
.............McCain because he shares my values. I'm pro-life so is McCain-Palin. I believe marriage is btn one man and one woman so do McCain-Palin. I believe in a smaller govt. so do McCain-Palin.
Nyani, basbu yako na Pitbull wameshushuliwa! Sasa hata hajui jinsi ya ku-respect copyright law:
And what about HRC??????????????
I just have to conclude that you have a pea-sized brain. Haya mambo ya kutumia wimbo wa mtu/ kundi flani kwenye kampeni au gathering za kisiasa halafu mtunzi au mwimbaji anakuwa kulalamika na kusema waache kutumia wimbo wake ni jambo la kawaida. Hata kampeni ya Obama wameshaambiwa waache kutumia baadhi ya nyimbo