Tariq Aziz amejitahidi kuwa mkweli..anaamini pasi na shaka kupigana na Taifa kama Marekani huwezi tegemea kushinda. Hata Iran inapayuka tu duniani. USA sio Rika la Iran. Iran itafute dagaa wenzake sio United States of America.
Talk Talk Talk.....Hizo bunker buster zitapita anga gani? Maana hizi ordance zinabebwa na ndege hasa zile kubwa kidogo km B52 nk lakini ata B52 Ambayo inapaa anga za mbali it s nt worth against Iran air defence system....War planners na wataalam wa pentagon waneona ugumu kuivamia Iran pia ISRAEL ambae hua anavamia tu bila ata ya go ahead ya US mpaka sasa nae kelele tu....So lazima tujue vita dhidi ya IRAN ni mziki mwingine na kinachowaogopesha jamaa wamedili na precision missiles kibao na zingine ni long range missile....So hizi bunker buster ni show off tu ya kuilazimisha Iran wasaini mkataba
2013
Saddam hakuwa na silaha za maangamizi (kavamiwa) mkaharibu nchi ya Iraq into stone age ... haya sasa Israel anayo mabomu ya nyuklia zaidi ya 100 - nendeni basi mumvamie Israel mumnyang'anye hizo silaha za maangamizi basi tuone kweli.
Kuna nchi gani ambayo ni kiini cha Uovu duniani zaidi ya Marekani? - inavamia sovereign nations bila ya kuwa provoked!
Ina wakusanya & ku-train Terrorists (Alqaeda + ISS & ISIL) all over the world wakaanzishe machafuko katika sovereign nations kwa ajili ya regime change!
Kama mliivamia Iraq & Afghanistan kwa ajili ya AlQaeda - mbona si Sadam alieshambulia US sept 11?
Najua you know kuwa the hijackers in the September 11 attacks were 19 men affiliated with al-Qaeda, and 15 of the 19 were citizens of Saudi Arabia. The others were from the United Arab Emirates (2), Egypt and Lebanon.
90% ya Terrorists walioshambulia sept 11 walitoka Saudia Arabia sasa kwa nini msiende kushambulia Saudia Arabia ambapo ndipo wapo wengi tu mnaenda Iraq ambapo prior to Invasion there was no Alqaeda in Iraq! Ila baada ya uvamizi ndio mkawaleta Alqaeda wenu pale na wapo hapo mpaka leo.
.
- Una uhakika gani kuwa Gadafi alitaka kumrithisha mtoto wake madaraka? -
- OK fine hata kama ingekuwa hivyo kwani kuna ubaya gani? - mbona Kongo imefanyika baada ya kufa Kabila Baba,
- Haya huko nchi za Uarabuni niambie ni nchi gani ambayo viongozi wanatoka madarakani kwa njia ya kura? (au Saudia kwa washkaji zenu?)
Kuhusu Gadafi kuifanya nchi kuwa personal property yake una ushahidi? - anyway vipi kuhusu Saudia na ma-Princes wa Saudi or The House of Saudi? - nchi nzima si ni mali za Familia? - hamjaona ubaya?
Kuhusu maandamano ya Bengazi, wewe watu wanaamndamana na silaha alafu unataka polisi waende na virungu kutuliza fujo? . Ilishajulikana toka mapema kuwa CIA alishaleta watu wake (Alqaeda) Libya ndio waandamane na kuingia katika makambi ya kijensi ili ku-provoke
Kama ni maandamano - nini mawazo yako juu ya maandamano ya Ferguson (US)?
"Peaceful Police" - je wanatumia virungu?!
- Kwa hiyo Je Marekani walitumia virungu?
- Au International Community wangeanzisha sanction juu ya exessive use of force au No fly zone?
- Au Marekani ingeanza kushambuliwa ili kuzuia government kutumia exessive for against cililian?
Acheni double standards - kawadanganyeni wengine!
& Lastly how about this? - Wamarekani walimuomba Putin wa Russia atume Troops za Kirusi kuwaokoa! (peaceful protesters)!
.
Sikuwa na mpango WA Ku log in lakini imenibidi ili nikupe hongera yako big upKwanza mimi sio Muslim mimi ni Christian - (si lazima uwe Muslim ndio uhoji why mayhem in Middle East).
Alafu wakati wa Sadam kulikuwa na angalau fursa sawa kwa wote hata kulikuwa na viongozi wa juu wakristo (eg Tarik Aziz) na wengineo, Iraq kulikuwa na makanisa na Wakristo wenzetu walikuwa wasali kwa uhuru na amani.
Nyie kwa ujinga wenu mmetibua kila kitu, niambie sasa yalipo makanisa Iraq? kila siku yanakuwa targeted na mabomu ila wakati wa Sadam no one bothers them - sasa niambie wewe unaoniambia mimi nakariri Koran - was the invasion of Iraq worth it kwa ukristo wako?
Pili mimi siongelei au kujenga hoja kwa misingi ya kidini ili nina base katika Situation on the ground, Facts, International Law, Historical, Geopolitical or SITREP
Tatu katika hio article ulio-quote ya Rosemary Hollis hakuna kipya hapo - vyote vilikuwa vinajulikana hata kabla ya Invasion of Iraq & Americans walikuwa warned kuhusu repercussion of their actions lakini Bush administration waliweka pamba masikioni kwa kuwa they had their own agenda other than democracy ambapo pamoja na mambo mengi ila hapo katikati of which very few Americans even those in high offices knew what was all about!
Kwanini walivamia Iraq?
- Je? did the United States na its various partners invade Iraq to combat Saddam Husseins evil?
- Je? ... ilikuwa some kind of revenge for his plotting against George H.W. Bush?
- Je? ... ilikuwa as it supposed stockpiles WMD and the threat of terrorism?
- Je ilikuwa ni ku-deter all would-be state authors of terrorism?
- Au je ilikuwa ni ku-bring democracy to the Middle East?
- Je ilikuwa to end US post-Vietnam hangover?
- .. Au je was it all about oil na mikataba ya Halliburton?
Je wewe bwana mkubwa unaesema unajua history ya middle East - can you answer those questions?
Mimi binafsi I doubt kama hata George Bush W ana majibu kamili ila ukiniuliza nani ana majibu kamili ya why Iraq mimi naweza kukuambia kabisa wa kwanza ni Dick Cheney na Karl Rove really knows what it was all about, though few tulisha-suspect main it was to fight forDollars dominance & US Hegemony
You see the problem. Even mpaka leo, the wars biggest supporters and intellectual authors offer no real insights. Thats understandable, labda theyre hoping history will someiday be kind. But what are we to make of it
Saddam alianza ku-challenge dollar hegemony by selling oil in Euro ambapo ingeanza ku-challenge dollar reserve currency status across the world na pia as you know kuw Dollar is FIAT currency & no longer backed by Gold toka alipoiondoa Richard Nixon miaka ya mwanzo wa 70 so inakuwa backed by OIL thats why you see Saudia protected by US.
Sababu hizo hizo ndio zilizosababisha Gadafi kushambuliwa alipoanzisha masuala yake ya single currency in Africa backed by gold (Dold Dinar), sahau watu wa Benghazi .. it was not about them. Sasa kama ilikuwa about them kuwa wanauwawa mbona sasa hivi ndio wanauwana sana zaidi ya mara kumi kuliko and yet no one gives a f..uck.
Twende Syria, Iran, Venezuela, Sudan, and recently Russia
You see the problem. Even mpaka leo, the wars biggest supporters and intellectual authors offer no real insights.
Eti to bring democracy! ... Democracy?! ... f..ck democracy! ... kama ingekuwa democracy mngeanza kwa rafiki yenu mkubwa Saudia Arabia m-bring ... democracy!! & angalau mwaka mmoja tu wafanye General Election!
cc: sodoliki .2013 Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial
Mkuu DotWorld samahani nilikuwa offline kidogo, mkuu nikweleze kitu: majibu ya baadhi ya members yanaonyesha wazi wazi uelewa wao katika nyanja za Geopolitics ni borderline kabisa - hapa watu tunaelemishana na kubadirishana mawazo - wengi wao ukichunguza majibu yao ni kwa ajili ya kubishana na kugeuza ukweli kuwa Uongo, ukijaribu kuwapa facts and figures wanakwambia majibu hayo umeyapata kutoka kwenye search engines in other words huna akili za kuona mbali!!!
Hapa chini ntajaribu kujibu hoja zako ingawa zilikuwa zinaelekezwa kwa member mwingine, lakini nimeona na mimi nichangie kidogo kwa yale ninayo yajua ili members tuwekane sana katika masuala yanayo husu usalama wa Dunia yetu.
Mkuu DotWorld hawajui kwamba mchochezi mkubwa wa vita kati ya Iran na Iraq alikuwa ni Merikani, walifanya hivyo kilipiza kisasi:
kwanza:
Kutokana na Iran kumuondoa madarakani Shah Reza Palvi ambaye alikuwa puppet mkubwa wa US Govt, si hilo tu makampuni makubwa ya Merikani/Uingereza yalikuwa yamewekeza IRAN hasa hasa sekta ya mafuta na gesi na kuhuzia silaha karibu zote zilizokuwa zinatumiwa na jeshi la IRAN - IRAN iligehuzwa shamba la Bibi na makampuni haya ya magharibi!
Wairan na Ayattola Khomeni aliyekuwa huamishoni huko Ufaransa wakaona they've had enough za jamaa hawa, wakafanya mpango kabambe wakafanikiwa kuwazidi kete American Govt na Anglo-Amerikani Companies , Shah akajikuta anatimkia uhamishoni na ndio ukuwa mwisho wake na makampuni aliyokuwa ameyakaribisha kuwekeza IRAN.
Pili:
Kutekwa nyara Wanadiplomasia wakiwemo wafanyakazi ndani ya jumba la Ubalozi wa Merikani huko Iran, walishikiliwa mateka ndani ya Balozi karibu kwa kipindi cha mwaka mzima, Rais Carter aliwahi kujaribu ku-rescue mateka hao under Operation Eagle Claw lakini jaribio hilo lilishindwa baada ya main rotor ya Helicopter kugonga Verticle Stabilizer ya ndege ya kijeshi ya mizigo iliyo sheheni mafuta wakati walipo kuwa wametua jangwani kijipanga jinsi ya kuvamia Ubalozi, katika ajali hiyo wanajeshi wanane walipoteza uhai wao hivyo Operation nzima ikawa aborted - mateka walikuja kuwa-freed wakati wa utawala wa Reagan na inasemekana wakati wa kampeini Reagan alimuomba Ruhollah Khomeini hasiwachilie mateka ili Reagan apate kete ya kumshinda Cartert kirahisi kwa kumshindiria kwa raia kwamba rais Carter ni mwoga ndio maana alishindwa kuwaokoa mateka huko IRAN, Reagan alifanikiwa sana kumdhoofisha mwenzake na kushinda Urais kiulaani -ndio michezo ya siasa ilivyo.
Who created Saddam Hussein:
Hapa namaanisha wanadamu sio his MAKER, Saddam alikuwa rafiki mkubwa wa Administration ya US Govt especially Ramsfield wakati wa enzi za Reagan vile vile Ramsfield ndiye alim-recruit Chenny akiwa kijana mdogo tu na kumfundisha mambo ya ukatili na kiburi kapewa kazi kwenye ofisi ya Ramsfield wakati wa utawala wa Reagan au Bush Sr sikumbuki vizuri - je katika utawala wa Bush Jr Dunia ilishuhudia nini kwenye mixed grill ya Ramsfield, Chenny, Conddi Rice na Bush Jr? Si walikuwa ma Monsters tu hawa - imagine familia ya Bush na ma-bedfellows wake bila aibu wanaleta vita mara ya pili mashariki ya kati eti anataka kumuondoa Saddam Hussein kwa kuwa alijaribu kumuua Baba yake huko Kuwait - visingizio tu! Nilimsikia kwa masikio yangu akisema "Saddam Husein wanted to kill my father" ndio maana alihamuru wamunyonge kwa kamba kulipiza kisasi, anafanya u-barbalism huku akijifanya ni Mkristo kwa kwenda kanisani kila J2.
Tukirudi kwenye mada kuhusu Saladin a.k.a Saddam Hussein - Ramsfield ndiye alifundisha wataalamu wa Iraq kutengeneza Chemical/Biological bombs ili wahangamize Wairan, Wamerikani ndio walikuwa wanatumia Satellite zao ku-monitor mwenendo wa majeshi ya IRAN alafu wanampa taarifa hizo Saddam na jeshi lake ili makombora na ndege za kijeshi zilenge sehemu ambazo jeshi la Iran limejichimbia, si hilo tu Wamerikani walikwenda mbali zaidi kwa kushauri jeshi la Iraq liwashe majenerator ya umeme waweke live wires kwenye Marshes ili wanajeshi wa IRAN wawe electrocuted kwa wingi!!
Kibaya zaidi kinahusu mbinu chafu za jamaa hawa kumlaghai Saddam Hussein avamie Kuwait, archtect/Engineer wa njama hizo alikuwa ni Margret Thatcher kwa kibali cha Merikani - ni hivi: Wamerikani na Waingereza pamoja na Israel waliogopa sana influence/ushawishi wa Saddam katika nchi za Kiarabu vile vile waliona anajimarisha sana kijeshi pamoja na masuala ya utafiti wa kisayansi na kupendekeza kwake kwamba dhahabu ziwe zinatumuka badala ya dollars nk - nchi za magharibi zikamuona Hussein amehanza kuwa tishio kwa maslahi yao, sasa nini kilicho fatia - Thatcher siku moja kampigia simu Saddam na kumkumbusha kwamba actually IRAQ ilikuwa ni nchi moja hapakuwepo Taifa linalojulikania kama Kuwait sisi Waingereza ndio tuli-buni Taifa la kuwait wakati wa Ukoloni kwa lengo maalumu hatukutaka utajiri wa mafuta ubaki ndini ya IRAQ peke yake, sasa kwa kuwa hivi sasa una mgogoro na Kuwait wanaonekana wanawaibia mafuta kwa kuchimba chini kwa chini wanavuka mipaka na kuawibia mafuta - Bwana Saddam unaonaje ukirudisha Kanchi ka Kuwait kwenye greater Iraq kama ilivyo kuwa zamani, we fanya hima u-annex Kuwait sisi na Merikani tutakuhunga mkono!! Saddam ndivyo alivyo ingizwa mkenge - baada ya Hussein kutekeleza ushauri wa Thatcher Uingereza ndio ikawa Taifa la kwanza kumlahumu Saddam Hussein, kumbe Margret na Merikani walikuwa wanamtega Hussein ili wapate sababu ya aidha kumuondoa madarakani au kudhoofisha jeshi lake na influence aliyo kuwa nayo Mashariki ya kati.
Well said mkuu lengo lao ndilo hilo hasa! It is saddening indeed!
Splendid indeed DotWorld, vitu hivi havifundishwi shuleni - cha muhimu hapa ni kuwa endowed na a-mega smart analytical mind na kuwa mkweli bila ya ku-entertain ushabiki husio na tija, taifa lolote linalo leta wasi wasi karibu Dunia nzima litajwe na kukemewa bila ya kuogopa ushawishi wao wa kifedha na ujuma zao za kudumaza mataifa mengine kwa maslahi yao yasio na utu.
Mkuu mengi umeeleza nayakubali. But kuna mambo napenda kuweka sawa kutokana na upeo wangu.
Kwanza chanzo cha ugomvi kati ya sadam na USA ulichokieleza kwenye analysis yako kinachotaja Gold na Mafuta. Sidhani kama ni kweli. Japo Sijui aina gani ya media umesoma ili kujustify hili. Ukweli ni kuwa sadam aliiteka Kuwait na mfalme wa Kuwait walikimbilia Saudi kupata hifadhi.
Kwakifupi Tafuta ni nchi ngapi zikiongozwa na USA zilishiriki ile vita dhidi ya sadam nwaka 1991 na sababu ya wao kuingia vitani.
Jambo la pili unafanya analysis ya kumkosoa Sadam katika kipindi cha uongozi wake alipokuwa na mahusiano mazuri na USA, lakini inapofika wakati kuelezea ugomvi wake na wamarekani unaonekana kama unaye msapoti ni Sadam dhidi ya wamarekani. Kwa lugha nyingine regardless of Sadam lakini wewe umelenga kumpondea mmarekani.
Interestingly unajaribu kukosoa wamarekani kama watu waliomtengeneza Sadam. May be your right on ..Who created sadam Hussein.
But Hata Chadema walimtengeneza Zitto. Je Chadema wanahaki ya kulaumiwa kwa kumtengeneza Zitto eti kwakuwa tu amebadilika na kuwa kinyume nao?
Je Edward Snowden asamehewe na wamarekani? Kwasababu tu USA, ndio waliomfundisha ujasusi?
Kwa Osama kupiga WTC 09/11/2001 je kulikuwa na haja ya USA kumwacha Osama aendelee kwasababu USA wametengeneza?
Ukitazama maswali haya utaona yana jibu moja la hapana.
Kwasababu unaweza kupita miaka tukaja kusikia kuwa sadam alinunuliwa na Russia, ku-serve kama double agent lakini kwa maslahi ya KGB.
Kama wamarekani walimsuka Osama ili kuidhohofisha USSR, itakuaje tukija kusikia kuwa osama alifadhiliwa na familia ya kifalme ya saudia
Ili amageuke mmarekani na kidhohofisha nguvu ya mwamerika na israel pale middle east?
Je tutakuwa na haja ya kuwasifu ukoo wa kifalme wa saudia kwa kum-fund Osama ili aeneze ugaidi duniani?
Mkuu mengi umeeleza nayakubali. But kuna mambo napenda kuweka sawa kutokana na upeo wangu.
Kwanza chanzo cha ugomvi kati ya sadam na USA ulichokieleza kwenye analysis yako kinachotaja Gold na Mafuta. Sidhani kama ni kweli. Japo Sijui aina gani ya media umesoma ili kujustify hili. Ukweli ni kuwa sadam aliiteka Kuwait na mfalme wa Kuwait walikimbilia Saudi kupata hifadhi.
Kwakifupi Tafuta ni nchi ngapi zikiongozwa na USA zilishiriki ile vita dhidi ya sadam nwaka 1991 na sababu ya wao kuingia vitani.
Will be back 4 a duel.
Mkuu usicheze na USA. Ile nchi ni nouma.. usipime.. Kwa uchache tunaweza sema pengine Iran iliwahi kuwaza kuishambulia Israel na Israel imewaza kuishambulia Iran..lakini..mpaka leo USA ndio wanawaza kuishambulia Iran na sio Iran inayowaza kuishambulia USA. Unajua ni kwanini?
USA has got military muscle
walitambua kuwa Mudi aliwadanganya hahahaMkuu africa ya kati waislamu ndo walianzisha chokochoko kwa mgongo wa jihad km ninavoona harufu yake tz,wakadhani watavumiliwa km walivozoea kuwa wakristu wamefundishwa kutolipa kisasi,kilicho wafika huko hawatarudia tena chokochoko ni bora wakakosa hyo pepo wanayoahidiwa wauao au kuuawa kwa jina la allah,
Iran ndiye mchokozi. Mpaka sasa wameshathibitisha hujuma kuu 7 na nyingine mbalimbali ambazo Iran imezifanya dhidi ya marekani na washirika wake.
Surf yahoo utaona Seven iran'smaster mind.
Iran ndiye mchokozi dhidi ya Israel, USA, Saudis, Iraq plus ngima inayoendelea ya Yemen.
Tena mmezoea kumsingizia mmarekani. Baba yenu wa kiroho-Saudis katamka live bila kumungunya maneno kuwa iran ndiyo inayoihujumu yemen.
Iran lazima ipigwe ili islaer iwe huru kununua maeneo ya waarabu inavyotaka na kukamilisha neno.na kwa sasa duniani kote ni kama vile waislam hawahitajiki kwani ni wa kupigwa tu mpaka masil dajal atakapokuja.
tulishuhudia afrika ya kati wakistro wakiwauwa kinyama waislam na kuhama miji na polisi wakiangalia tu.
Samahani mkuu.Hebu mjibu vizuri huyo jamaa aliyekuuliza itapita anga gani hiyo MOP kama inabebwa na B52 ambayo inaweza kutunguliwa huko huko anga za mbali na makombora ya Iran.
Ngoja nitoe maelezo. Nikikaa kwenye PC nitakuja na D-tailz zaidi. Manuari za marekani zinauwezo wa kupiga eneo lolote la nchi kavu kutokea baharini. Ndege za B52 Mara nyingi hazishiriki vita zaidi ya kutoa sapoti.
Zipo stealth bomber.F35, tornadoes, Unmanned plane, na aina nyingine za ndege hizi zinashiriki operation za kijeshi. Mara nyingi.
Lakini kabla sijaongea zaidi.. Tujiulize Iran inatechnolojia gani ya kuwabiti wamarekani. Jibu hakuna.
Kuhusu Iran kupata msaada wa kijeshi kwa Russia na China, inategea lakini sio rais wao kuinhilia us business.
Kwanza eneo lote la maji litakuwa upande wa obama. Nsio itakuwa get I la Amphibia kuingia Kwani ya Iran.
Satellite na overwhelming attack lazima zitamfanya Iran a-disarm mapema kwenye sekta ya anga. Nina uhakika hata rusha ndege hata moja. Hata tofautiana na Gaddafi.
Sehemu ngumu itakuwa ardhini. Ila tunavyo vifaru vya Abram vyenye satelite, laser, na madude mengine ambayo hatujayatumia yako kwenye research,
Uharibifu wa Miundo mbinu kama barabara, majengo ya serikali yataifanya wakuu wrote wa Iran wajenge makaburi ya kufanyia shughuli zao.
Kumbuka wakati wakina maywether wako kasino wanatengeneza pesa kwa kamari, Hawana habari ya vita.
Huku iran, Uharibifu wa viwanda vyake vya silaha utadhohofisha ufanisi wa yeye kuendelea kutengeneza silaha. Hapa itambidi ategemee AK-47 tu.
Idadi ya vifo vya askari wake, itamfanya abadili mbinu na kujiunga na vita za Guerillas war.
Ahsante kwa maelezo.Hivi wewe ni mmarekani? Naona umesema tuna vifaru mahali fulani!
Nime-act kama mmarekani. I put on their shoes...
Mchaga mnywa uharo leo awe mmarekani?
Teh teh teh.
Utaendelea kujifanya mpk ufunge goli.