Ability yako kusoma the murky Arabic geopolitics ni ndogo sana unajaribu kujificha kwenye Google search ili ikufanyie analysis, kwangu naona kama kitu ninachokielewa nakigeuza kuwa ubi shi wa yanga na Simba. Siwezi kufundishwa Ujinga na kariri , mimi nime soma properly kiasi wewe huwezi elewa, nashangaa tena mmerudi kwenye reference ya MEMRI TV mnayoichukia kuwa in asema uwongo, nyie unafiki hauwaumizi matumbo?Mkuu hiyo katika last 2 photos ni lugha ya picha tu!
Haya nakuwekea Video kabisa & then you tell me
Meaning, nyie baada ya kusema Mission Accomplished in Iraq -what happened next there? - nchi ikawa distabilised na multitude Terrorist organisations ambapo ikabidi muongeze tena idadi ya askari ili kudhibiti hali hiyo ... then what did mission achieved? - labda kama ilikuwa ni destabilization of a country!
Haya come Libya & Sysria, mkawatumia Alkaeda wenu kumtoa Qaddafi
Qaddafi alikuwa analilalamika kuwa wanaofanya fujo Bengazi ni AlQaeda nyie mkakataa huku mnadai eti ni peaceful protesters - haya what happened baada ya kumuua Qaddafi! - si nyie wenyewe mmewaona Alqaeda wenu mliowa-fund na kuwatrain ndio wanarun hiyo Libya?
Video Qaddafi akilalamika mnampelekea Alqaeda kumtoa
Haya come Syria mkawapa training & silaha hao hao Alqaeda ili wamtoe Asad, Asad akawa analalamika kuwa mnamletea Alqaeda ku-destabelise his country nyie mpaka leo mnakataa eti mnawaita ni Moderate Islamist! - wewe niambie "moderate Islamist yupi anachinja na kula moyo wa binadamu mwenzie?
Mkaambiwa kuwa ni Alqaeda mkakataa, matokeo yake mpaka Alqaeda wenyewe wakawa disown hao jamaa kutokana na violence yao ndio mnakuja kushtuka baada ya kusema wanataka kuanzisha Islamic State mnaanza kuwapiga mabomu =- Mission relaunced!
Je kama mngemsikiliza Gadafi alipowaambia kuwa wale ni Alqaeda kulikuwa na haja ya watu wote hao kupoteza maisha yao? - na Gadafi alikuwa siku zote alalilia dialogue lakini nyie kwa sababu mlijifanya vichwa vigumu mlikataa!
Sasa bila hata aibu mnasema "we need Russia partnership in defeating ISIS/Alqaeda" kwani Russia ndio walitengeneza ISIS & Alqaeda? - mmelikorega wenyewe sasa msubiri mlinywe!
& For your info tu ni kuwa baada ya hao jamaa kutoka Middle East kifuatatacho ITV ni Terrorism katika miji yenu wenyewe Europe na US as ndio raia wenu wenyewe wanarudi nchini mwao.
cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato .
Kama kusoma kwako bado huelewi geo-politics basi hiyo elimu yako haikusaidii kitu bado utaendelea kurudia mistakes of the past.Ability yako kusoma the murky Arabic geopolitics ni ndogo sana unajaribu kujificha kwenye Google search ili ikufanyie analysis, kwangu naona kama kitu ninachokielewa nakigeuza kuwa ubi shi wa yanga na Simba. Siwezi kufundishwa Ujinga na kariri , mimi nime soma properly kiasi wewe huwezi elewa
Kwa hiyo unaingia JF kwa ajili ya kubishana na kugeuza ukweli kuwa uongo? - Basi ngoja niache ku-argue na wewe.kwangu naona kama kitu ninachokielewa nakigeuza kuwa ubi shi wa yanga na Simba
Arabic countries have never been states since their formation in the early 1900's they constituted an agreement between tribal leaders under the aegis of either an imposed dictatorial leader or a military leader who came into power within the Arabic Renaissance led by Nasser, boumediene and other socialist leaders who were greatly influenced and supported by China and Soviet Union of the time, as time went by, the need of creating democratic institutions was always been suppressed by the same ageing leaders who either instituted their relatives in power ( the Assad, Gadhadfi family , saddam hussein family, Jordan ) and actually created a hotbed of radicalism not against the west, but against their leaders, that was the start of radical al quaeda . The biggest issue for the west was how can you transist the leaders ship of the Arab world without creating political vacuum, in areas where the needs of more than 60% of world energy power lies. Whatever decision taken, it did not satiate the needs of Arabic tribal politics and especially considering the brutality of past dictactors and leadership style present, This was the start of radical islam, hatred to the west and culminated with the Arab spring , basically the boiling of the pot had popped up to release steam. All in all the problem is how can the world reverse the trend to which Arabic culture and life is basically tribal and very very tunnel visioning , especially considering the fact the borders have been drawn and cannot be reversed easily, Yemen (the two countries) tried to reverse that , the results are known. You see hakuna you tubeKama kusoma kwako bado huelewi geo-politics basi hiyo elimu yako haikusaidii kitu bado utaendelea kurudia mistakes of the past.
Haya kusoma kwako wala hukumbuki/ hujui vita ya Iran & Iraq kuwa Aggressor alikuwa ni nani?!
Je unafikiri unajua siasa za Amerika & Middle East kuliko hao walioianzisha hiyo vita? ulishajua ni kwa nini? - unafikiri vitu hivi unafundishwa shule?
Talk Talk Talk.....Hizo bunker buster zitapita anga gani? Maana hizi ordance zinabebwa na ndege hasa zile kubwa kidogo km B52 nk lakini ata B52 Ambayo inapaa anga za mbali it s nt worth against Iran air defence system....War planners na wataalam wa pentagon waneona ugumu kuivamia Iran pia ISRAEL ambae hua anavamia tu bila ata ya go ahead ya US mpaka sasa nae kelele tu....So lazima tujue vita dhidi ya IRAN ni mziki mwingine na kinachowaogopesha jamaa wamedili na precision missiles kibao na zingine ni long range missile....So hizi bunker buster ni show off tu ya kuilazimisha Iran wasaini mkataba
Iran lazima ipigwe ili islaer iwe huru kununua maeneo ya waarabu inavyotaka na kukamilisha neno.na kwa sasa duniani kote ni kama vile waislam hawahitajiki kwani ni wa kupigwa tu mpaka masil dajal atakapokuja.
tulishuhudia afrika ya kati wakistro wakiwauwa kinyama waislam na kuhama miji na polisi wakiangalia tu.
hii ni Ndefu, lakini itakusaidia kutoa tongo tongo, na kukuepusha na kariri za Koran au you tube
Fragmentation presages popular awakening
Rosemary Hollis
The Arab system is in crisis, but it was never broadly secure or unified. It was externally imposed three generations ago and has been evolving ever since. Now it is on the verge of a more profound transformation.
The US appears to have misjudged the Iraqis as well, anticipating the cooperation of a predominantly secular population. Now the US wants to counterbalance the Shi'ite victory at the polls in January with a policy of outreach to the Sunni and secular Arab minority. Meanwhile, the Kurds have been told to abandon aspirations for separate statehood.
The reordering of sectarian fortunes in Iraq need not spell the break-up of that country, but it does signal the transformation of the existing Arab system. If replicated, popular Arab nationalism and Islamist radicalism will come into their own. So fragmentation there may be, but only as a prelude to a broader Arab awakening.- Published 3/3/2005 (c) bitterlemons-international.org
Rosemary Hollis is professor of Middle East Policy Studies at City University London.
Kwanza mimi sio Muslim mimi ni Christian - (si lazima uwe Muslim ndio uhoji why mayhem in Middle East).hii ni Ndefu, lakini itakusaidia kutoa tongo tongo, na kukuepusha na kariri za Koran au you tube
Mkuu hiyo katika last 2 photos ni lugha ya picha tu!
Haya nakuwekea Video kabisa & then you tell me
Meaning, nyie baada ya kusema Mission Accomplished in Iraq -what happened next there? - nchi ikawa distabilised na multitude Terrorist organisations ambapo ikabidi muongeze tena idadi ya askari ili kudhibiti hali hiyo ... then what did mission achieved? - labda kama ilikuwa ni destabilization of a country!
Haya come Libya & Sysria, mkawatumia Alkaeda wenu kumtoa Qaddafi
Qaddafi alikuwa analilalamika kuwa wanaofanya fujo Bengazi ni AlQaeda nyie mkakataa huku mnadai eti ni peaceful protesters - haya what happened baada ya kumuua Qaddafi! - si nyie wenyewe mmewaona Alqaeda wenu mliowa-fund na kuwatrain ndio wanarun hiyo Libya?
Video Qaddafi akilalamika mnampelekea Alqaeda kumtoa
Haya come Syria mkawapa training & silaha hao hao Alqaeda ili wamtoe Asad, Asad akawa analalamika kuwa mnamletea Alqaeda ku-destabelise his country nyie mpaka leo mnakataa eti mnawaita ni Moderate Islamist! - wewe niambie "moderate Islamist yupi anachinja na kula moyo wa binadamu mwenzie?
Mkaambiwa kuwa ni Alqaeda mkakataa, matokeo yake mpaka Alqaeda wenyewe wakawa disown hao jamaa kutokana na violence yao ndio mnakuja kushtuka baada ya kusema wanataka kuanzisha Islamic State mnaanza kuwapiga mabomu =- Mission relaunced!
Je kama mngemsikiliza Gadafi alipowaambia kuwa wale ni Alqaeda kulikuwa na haja ya watu wote hao kupoteza maisha yao? - na Gadafi alikuwa siku zote alalilia dialogue lakini nyie kwa sababu mlijifanya vichwa vigumu mlikataa!
Sasa bila hata aibu mnasema "we need Russia partnership in defeating ISIS/Alqaeda" kwani Russia ndio walitengeneza ISIS & Alqaeda? - mmelikorega wenyewe sasa msubiri mlinywe!
& For your info tu ni kuwa baada ya hao jamaa kutoka Middle East kifuatatacho ITV ni Terrorism katika miji yenu wenyewe Europe na US as ndio raia wenu wenyewe wanarudi nchini mwao.
cc: Bukyanagandi Elungata mng'ato .
Lengo kuu la iraq; lilikuwa iuiokoa dunia na silaha za maangamizi ambazo Sadam Hussein aliwahi kujitamba anazo. Bush alisema anaenda kumoiga na kumnyang'anya.
Kosa alilolifanya Gaddafi ninkuigeuza lobya kama Saccos yake. Pale mtoto wake aliposema atamrithi baba yake. Iliibua maandamano Makubwa nchini Libya. Ili kudhibiti maandamano Gaddafi akawa anawashushia mabomu raia. Ikapelekea sehemu ya jeshi lake kuhasi. Wakati huo ulaya walishamchoka wakawa wanafanya mkutano wa kuamua kumngo'a.
Jeshi lililohasi halikuwa na uwezo wa kumng'oa. Ndipo nchini za ulaya zikaja kusapoti. Wakati huo Obama alikuwa hajajiingiza.kule USA Ikatokea pressure kwa Obama kuwa umuhimu wa marekani duniani unapotea kwasababu hajishughulishi na mambo ya kimataifa. Ndio ikawafanya wajiingize.
Vita iliyopo pale ni Libya na Iraq zinatokana na makundi.
Na ni vizuri uka study hizi tofauti za haya makundi kuliko kutoa jibu la jumlamla.
2013Lengo kuu la iraq; lilikuwa iuiokoa dunia na silaha za maangamizi ambazo Sadam Hussein aliwahi kujitamba anazo. Bush alisema anaenda kumoiga na kumnyang'anya.
Kuna nchi gani ambayo ni kiini cha Uovu duniani zaidi ya Marekani? - inavamia sovereign nations bila ya kuwa provoked!Ukiunganisha na hoja kuwa Iraq ilitajwa kama nchini mhimili wa uovu duniani.
.Kosa alilolifanya Gaddafi ninkuigeuza lobya kama Saccos yake. Pale mtoto wake aliposema atamrithi baba yake.
Kwanza mimi sio Muslim mimi ni Christian - (si lazima uwe Muslim ndio uhoji why mayhem in Middle East).
Alafu wakati wa Sadam kulikuwa na angalau fursa sawa kwa wote hata kulikuwa na viongozi wa juu wakristo (eg Tarik Aziz) na wengineo, Iraq kulikuwa na makanisa na Wakristo wenzetu walikuwa wasali kwa uhuru na amani.
Nyie kwa ujinga wenu mmetibua kila kitu, niambie sasa yalipo makanisa Iraq? kila siku yanakuwa targeted na mabomu ila wakati wa Sadam no one bothers them - sasa niambie wewe unaoniambia mimi nakariri Koran - was the invasion of Iraq worth it kwa ukristo wako?
Pili mimi siongelei au kujenga hoja kwa misingi ya kidini ili nina base katika Situation on the ground, Facts, International Law, Historical, Geopolitical or SITREP
Tatu katika hio article ulio-quote ya Rosemary Hollis hakuna kipya hapo - vyote vilikuwa vinajulikana hata kabla ya Invasion of Iraq & Americans walikuwa warned kuhusu repercussion of their actions lakini Bush administration waliweka pamba masikioni kwa kuwa they had their own agenda other than democracy ambapo pamoja na mambo mengi ila hapo katikati of which very few Americans even those in high offices knew what was all about!
Kwanini walivamia Iraq?
- Je? did the United States na its various partners invade Iraq to combat Saddam Husseins evil?
- Je? ... ilikuwa some kind of revenge for his plotting against George H.W. Bush?
- Je? ... ilikuwa as it supposed stockpiles WMD and the threat of terrorism?
- Je ilikuwa ni ku-deter all would-be state authors of terrorism?
- Au je ilikuwa ni ku-bring democracy to the Middle East?
- Je ilikuwa to end US post-Vietnam hangover?
- .. Au je was it all about oil na mikataba ya Halliburton?
Je wewe bwana mkubwa unaesema unajua history ya middle East - can you answer those questions?
Mimi binafsi I doubt kama hata George Bush W ana majibu kamili ila ukiniuliza nani ana majibu kamili ya why Iraq mimi naweza kukuambia kabisa wa kwanza ni Dick Cheney na Karl Rove really knows what it was all about, though few tulisha-suspect main it was to fight forDollars dominance & US Hegemony
You see the problem. Even mpaka leo, the wars biggest supporters and intellectual authors offer no real insights. Thats understandable, labda theyre hoping history will someday be kind. But what are we to make of it
Saddam alianza ku-challenge dollar hegemony by selling oil in Euro ambapo ingeanza ku-challenge dollar reserve currency status across the world na pia as you know kuw Dollar is FIAT currency & no longer backed by Gold toka alipoiondoa Richard Nixon miaka ya mwanzo wa 70 so inakuwa backed by OIL thats why you see Saudia protected by US.
Sababu hizo hizo ndio zilizosababisha Gadafi kushambuliwa alipoanzisha masuala yake ya single currency in Africa backed by gold (Dold Dinar), sahau watu wa Benghazi .. it was not about them. Sasa kama ilikuwa about them kuwa wanauwawa mbona sasa hivi ndio wanauwana sana zaidi ya mara kumi kuliko and yet no one gives a f..uck.
Twende Syria, Iran, Venezuela, Sudan, and recently Russia
You see the problem. Even mpaka leo, the wars biggest supporters and intellectual authors offer no real insights.
Eti to bring democracy! ... Democracy?! ... f..ck democracy! ... kama ingekuwa democracy mngeanza kwa rafiki yenu mkubwa Saudia Arabia m-bring ... democracy!! & angalau mwaka mmoja tu wafanye General Election!
cc: sodoliki .2013 Bukyanagandi Elungata mng'ato Extraterrestrial
at least you have explained major reasons za ugomvi wa Marekani na Iraq ( nataka kummuliza dot world, mtu leo kaja Kavunja dirisha ya nyumba yako - I mean kama Iraq ya saddam hussein kuivamia Kuwait- w halafu baada ya kuvunja dirisha kesho anakuja Na kiboko na kupiga mbuzi wako- kwa sad dam hussein ku wapiga na mabomu ya Sumu wakurd, na makabila yalilokuwa yanaishi kwenye marshes za Euphrates Kwa kuwaua maelfu- wewe mategemeo yako kutoka Marekani Kwa kuchukua interests zao middle east wangefanya nini, zaidi ya kumuondoa ( I mean Kwa Mfano hapo juu , Jirani wako, au Rafiki au Ndugu akija na bunduki kukusaidia , amekosa nini.) sadak Hussein , he even tried to develop an nuclear enrichment plant . He was basically a menace . Gadafi hakuondolewa na Marekani, gadafi ameondolewa na shinikizo za Nchi italia , Uingereza, na falme za kiarabu on same issues of meddling with international politics, Lockerbie plane bombing, na international terrorism. All in all this people never were born life long rulers wa Nchi zao wote wakiingia kwenye uongozi through very dubious violent way, na through time waka create leadership justifications, Kwa Mfano gaddafi through violent revolution, same with saddam hussein, and kawaaida anayeua Kwa Upanga naye hufa Kwa UpangaSasa hapa kuna vipengele nime vijibu kwenye hoja hapo juu.
Kwanza kabisa; sadam Hussein ndiye kiongozi aliyewekwa na wamarekani
Na hapa hujatumia muda kufikiri kama wamarekani walimweka hiyo Iraq yenye secularism iliundwa kwa mikono ya nani kama sio mmarekani. Vita ya sadam. Na Iran aliyewawezesha wairaq alikuwa nani kama sio mmarekani, na Hiyo Amani ya Iraq ilifanikishwa na hao zaidi ya hao wamarekani.?
Kama sadam alikuwa rais mwema hakutakiwa kuvamia ardhi isiyo yake ya Kuwait. Na juhudi zA kumshawishi ma kimbembeleza aondoke pale zilishindwa kuzaa matunda.
Ukumbuke sababuya yeye kuvamia Kuwait ilikuwa kujenga umaarufu wake nchini uliokuwa ukizorota kutokana na matatizO ya kiuchumi na vita dhidi ya iran.
Kama alivyofanya mugabe kwenda kuwanyang'anya wazungu ardhi ili kujenga umaarufu kisiasa.
Sadam alichagua kuchukua ardhi yenye mgogoro wa kihistoria ya kuwait. ili kuwashawishi wa-iraq wamwone mzalendo. Na kugoma kwake kuachia ardhi ndipo kulisababisha vita ya operation dessert storm ya mwaka 90.ambapo mataifa 30 yakiongozwa na marekani yalimpiga kumwondoa Kuwait.
Ili kuwagawa waarabu alijaribu kuwaonyesba waarabu kuwa anampiga adui yao Israel. Na ndio Israel ikashauriwa na marekani isishiriki ile vita ili waarabu wasigawanyike ikapelekea wengine kujiunga na saddamu. Manake waarabu ni ndumila kuwili acha mchezo. Israel ikawa inatumia makombora ya patriots kuzuia scud za sadam.
Tangu wakati huo hakuna chalenji ya maana aliyoifanya bali aliendelea kuwa kitisho kWa mataifa ya ghuba ikiwemo Saudis na kuwait.
Sababu zilizopelekea kupigwa kwake mojawapo ni kuunda makundi ya kigaidi yaliokuwa yakilipua nchini Israel. Ukumbuke kuna meli kutoka Iraq ilikamatwa nchini Israel ikiwa na silaha na makombora kwaajili ya kusapoti ugaidi.
Kuhusu ukristo. Kama uislamu ungekuwa salama kwa ukristo ni wazi mpaka Leo middle east ,ukristo ungeendelea kuwepo. Mfano wako wa Saudis. Ni dalili tosha kuwa it is Impossible kwa mkristo kusurvive kwenye nchi yenye waislamu wengi.
Gadafi alilialia duniani kote na nchini kwake, akisema marekani inamsingizia na kwamba RAIA wake hawahusiki na kulipua ndege katika anga la lorkabie mwaka 1988 na hakuwa na mpango wa kutengeneza silaha za maangamizi. lakini alikuja kukiri yeye mwenyewe bila kuwekewa bastola mdomoni akiwa rais na hakuwa ameshambulia ya kwamba ni kweli RAIA wake
Walishiriki na akaahidi kulipa fidia na akasema anafuta mpango wa kutengeneza tena silaha za maangamizi. Hadi nchini za ulaya zikampongeza..
Pengine walibya walianza kugundua wanaongozwa na rais mwongo anayewapitisha kipindi kigumu akiwashawishi waione marekani kuwa ndivyo tatizo.
Gaddafi alibadili mbinu, zamu hii alitaka kuhakikisha afrika inakuwa ya kiislamu na yeye anakuwa raisi wa Africa
Alithubutu kuwashauri waitaliano wawe waislamu. Wakina belusconi wakampuuza.
Akaanzisha mkakati wa kuunda makundi ya mujahidina kama mbinu ya yeye kupata nguvu Africa. Aliibadili jina iliyokuwa OAU ikaitwa AU. Ukumbuke hata kurudi kwake afrika ni baada ya ulimwengu wa kiarabu kumpuuza mkakati wake wa kuifanya Israel an Palestine kama taifa moja ili kuleta Amani.
Hata mihadhara mbalimbali ya kumkashifu baba wa taifa hapa nchini ilikuwa ikifanikishwa na yeye. Na mbegu ya radicalism hapa nchini ilioteshwa na wafuasi wa Muhammar Gaddafi. Penda ama usipende.
Alienda Uganda akatajwa kama mfalme wa afrika. Lama njianza kumsafisha.
Akijaribu kuunda vuguvugu la mabadiliko afrika nzima. Na inteligencia za magharibi inteligensia zilifanikisha kuondolewa kwake. Manake angeleta balaa afrika nzima.
Sasa huyu Gaddafi na yule sadam Hussein aliyewaua wakurdi kwa silaha za sumu. Akawanyanyasa washia. Kwako wewe unawaona ni bora wakurdi na washiha wangeendelea kuteseka na hizi tawala dhalimu. Na Unasahau kuwa dunia iko juu ya mungu na malipo ni hapa hapa duniani.
Walichovuna ndicho walichopanda.
Pia unapuuza ukweli kuwa walibya walishamchoka Gaddafi. Wakatumia haki yao ya maandamano kupinga mtoto wake aliyetangaza kumrithi babae.
Gaddafi akawaagiza jeshi lake kuwaua kwa mabomu. Na hapa sehemu ya jeshi lake ikafanya uhasi. Ikaungana na wanaharakati wa mabadiliko.
Hata kama unaamini kuwa Amani IPO tu kwasababu IPO. There are people who get things done.
well saidat least you have explained major reasons za ugomvi wa Marekani na Iraq ( nataka kummuliza dot world, mtu leo kaja Kavunja dirisha ya nyumba yako - I mean kama Iraq ya saddam hussein kuivamia Kuwait- w halafu baada ya kuvunja dirisha kesho anakuja Na kiboko na kupiga mbuzi wako- kwa sad dam hussein ku wapiga na mabomu ya Sumu wakurd, na makabila yalilokuwa yanaishi kwenye marshes za Euphrates Kwa kuwaua maelfu- wewe mategemeo yako kutoka Marekani Kwa kuchukua interests zao middle east wangefanya nini, zaidi ya kumuondoa ( I mean Kwa Mfano hapo juu , Jirani wako, au Rafiki au Ndugu akija na bunduki kukusaidia , amekosa nini.) sadak Hussein , he even tried to develop an nuclear enrichment plant . He was basically a menace . Gadafi hakuondolewa na Marekani, gadafi ameondolewa na shinikizo za Nchi italia , Uingereza, na falme za kiarabu on same issues of meddling with international politics, Lockerbie plane bombing, na international terrorism. All in all this people never were born life long rulers wa Nchi zao wote wakiingia kwenye uongozi through very dubious violent way, na through time waka create leadership justifications, Kwa Mfano gaddafi through violent revolution, same with saddam hussein, and kawaaida anayeua Kwa Upanga naye hufa Kwa Upanga
nataka kukupa tahadhari moja kuwa na mkristo Iraq kama Tariq aziz ni nuksi, kwenye ukristo hasa kama anaona cheo chake ni muhimu kuliko jamii anayoiongoza, kwangu mimi mkristo Tariq azizi, Hana Tofauti na pilato kwa yesu , kwani aliona Heri kumsulubu kuliko yeye kushtakiwa kwa kaizari, basically kujali ubinafsi wake na cheo chake, I judge Tariq Aziz as worse than saddam hussein, hatuwezi kuwalaumu moderate Moslems Kwa kukaa kimya Kwa vitendo vya radical Moslems, on the same time tukamuona Tariq aziz mzuri just because ni mkristo mwenzetu, huyu ni shetani mkubwa na alinyongwa mpaka shingo ikakatika kwa dhambi ya kukalia kimya maovu. He's truly deserved to die.
Michelle Obama Could Be First Transgender First Lady in the White House
Mheshimiwa 2013 , hii ni article kutoka kwenye Hilo gazeti Lako bomu, they speak shit
I judge Tariq Aziz as worse than saddam hussein, hatuwezi kuwalaumu moderate Moslems Kwa kukaa kimya Kwa vitendo vya radical Moslems, on the same time tukamuona Tariq aziz mzuri just because ni mkristo mwenzetu, huyu ni shetani mkubwa na alinyongwa mpaka shingo ikakatika kwa dhambi ya kukalia kimya maovu. He's truly deserved to die.
Haya msikilize Tariq Aziz mwenyewe alipohojiwa anajibu Maswali yenu in this clip.Ku-comment kuwa Tariq Aziz ni mbaya kuliko Sadam ni dalili ya kumtwisha majukumu mazito Aziz na kumfanya Sadam aonekane alikuwa Subordinate tu kitu ambacho nafikiri sio fair. ikumbukwe wamarekani hawakuivamia Iraq kwasababu ya Tariq Aziz bali Sadam hussein..
Mkuu DotWorld samahani nilikuwa offline kidogo, mkuu nikweleze kitu: majibu ya baadhi ya members yanaonyesha wazi wazi uelewa wao katika nyanja za Geopolitics ni borderline kabisa - hapa watu tunaelemishana na kubadirishana mawazo - wengi wao ukichunguza majibu yao ni kwa ajili ya kubishana na kugeuza ukweli kuwa Uongo, ukijaribu kuwapa facts and figures wanakwambia majibu hayo umeyapata kutoka kwenye search engines in other words huna akili za kuona mbali!!!
Hapa chini ntajaribu kujibu hoja zako ingawa zilikuwa zinaelekezwa kwa member mwingine, lakini nimeona na mimi nichangie kidogo kwa yale ninayo yajua ili members tuwekane sana katika masuala yanayo husu usalama wa Dunia yetu.
Kama kusoma kwako bado huelewi geo-politics basi hiyo elimu yako haikusaidii kitu bado utaendelea kurudia mistakes of the past.
Haya kusoma kwako wala hukumbuki/ hujui vita ya Iran & Iraq kuwa Aggressor alikuwa ni nani?!
Mkuu DotWorld hawajui kwamba mchochezi mkubwa wa vita kati ya Iran na Iraq alikuwa ni Merikani, walifanya hivyo kilipiza kisasi:
kwanza:
Kutokana na Iran kumuondoa madarakani Shah Reza Palvi ambaye alikuwa puppet mkubwa wa US Govt, si hilo tu makampuni makubwa ya Merikani/Uingereza yalikuwa yamewekeza IRAN hasa hasa sekta ya mafuta na gesi na kuhuzia silaha karibu zote zilizokuwa zinatumiwa na jeshi la IRAN - IRAN iligehuzwa shamba la Bibi na makampuni haya ya magharibi!
Wairan na Ayattola Khomeni aliyekuwa huamishoni huko Ufaransa wakaona they've had enough za jamaa hawa, wakafanya mpango kabambe wakafanikiwa kuwazidi kete American Govt na Anglo-Amerikani Companies , Shah akajikuta anatimkia uhamishoni na ndio ukuwa mwisho wake na makampuni aliyokuwa ameyakaribisha kuwekeza IRAN.
Pili:
Kutekwa nyara Wanadiplomasia wakiwemo wafanyakazi ndani ya jumba la Ubalozi wa Merikani huko Iran, walishikiliwa mateka ndani ya Balozi karibu kwa kipindi cha mwaka mzima, Rais Carter aliwahi kujaribu ku-rescue mateka hao under Operation Eagle Claw lakini jaribio hilo lilishindwa baada ya main rotor ya Helicopter kugonga Verticle Stabilizer ya ndege ya kijeshi ya mizigo iliyo sheheni mafuta wakati walipo kuwa wametua jangwani kijipanga jinsi ya kuvamia Ubalozi, katika ajali hiyo wanajeshi wanane walipoteza uhai wao hivyo Operation nzima ikawa aborted - mateka walikuja kuwa-freed wakati wa utawala wa Reagan na inasemekana wakati wa kampeini Reagan alimuomba Ruhollah Khomeini hasiwachilie mateka ili Reagan apate kete ya kumshinda Cartert kirahisi kwa kumshindiria kwa raia kwamba rais Carter ni mwoga ndio maana alishindwa kuwaokoa mateka huko IRAN, Reagan alifanikiwa sana kumdhoofisha mwenzake na kushinda Urais kiulaani -ndio michezo ya siasa ilivyo.
Who created Saddam Hussein:
Hapa namaanisha wanadamu sio his MAKER, Saddam alikuwa rafiki mkubwa wa Administration ya US Govt especially Ramsfield wakati wa enzi za Reagan vile vile Ramsfield ndiye alim-recruit Chenny akiwa kijana mdogo tu na kumfundisha mambo ya ukatili na kiburi kapewa kazi kwenye ofisi ya Ramsfield wakati wa utawala wa Reagan au Bush Sr sikumbuki vizuri - je katika utawala wa Bush Jr Dunia ilishuhudia nini kwenye mixed grill ya Ramsfield, Chenny, Conddi Rice na Bush Jr? Si walikuwa ma Monsters tu hawa - imagine familia ya Bush na ma-bedfellows wake bila aibu wanaleta vita mara ya pili mashariki ya kati eti anataka kumuondoa Saddam Hussein kwa kuwa alijaribu kumuua Baba yake huko Kuwait - visingizio tu! Nilimsikia kwa masikio yangu akisema "Saddam Husein wanted to kill my father" ndio maana alihamuru wamunyonge kwa kamba kulipiza kisasi, anafanya u-barbalism huku akijifanya ni Mkristo kwa kwenda kanisani kila J2.
Tukirudi kwenye mada kuhusu Saladin a.k.a Saddam Hussein - Ramsfield ndiye alifundisha wataalamu wa Iraq kutengeneza Chemical/Biological bombs ili wahangamize Wairan, Wamerikani ndio walikuwa wanatumia Satellite zao ku-monitor mwenendo wa majeshi ya IRAN alafu wanampa taarifa hizo Saddam na jeshi lake ili makombora na ndege za kijeshi zilenge sehemu ambazo jeshi la Iran limejichimbia, si hilo tu Wamerikani walikwenda mbali zaidi kwa kushauri jeshi la Iraq liwashe majenerator ya umeme waweke live wires kwenye Marshes ili wanajeshi wa IRAN wawe electrocuted kwa wingi!!
Kibaya zaidi kinahusu mbinu chafu za jamaa hawa kumlaghai Saddam Hussein avamie Kuwait, archtect/Engineer wa njama hizo alikuwa ni Margret Thatcher kwa kibali cha Merikani - ni hivi: Wamerikani na Waingereza pamoja na Israel waliogopa sana influence/ushawishi wa Saddam katika nchi za Kiarabu vile vile waliona anajimarisha sana kijeshi pamoja na masuala ya utafiti wa kisayansi na kupendekeza kwake kwamba dhahabu ziwe zinatumuka badala ya dollars nk - nchi za magharibi zikamuona Hussein amehanza kuwa tishio kwa maslahi yao, sasa nini kilicho fatia - Thatcher siku moja kampigia simu Saddam na kumkumbusha kwamba actually IRAQ ilikuwa ni nchi moja hapakuwepo Taifa linalojulikania kama Kuwait sisi Waingereza ndio tuli-buni Taifa la kuwait wakati wa Ukoloni kwa lengo maalumu hatukutaka utajiri wa mafuta ubaki ndini ya IRAQ peke yake, sasa kwa kuwa hivi sasa una mgogoro na Kuwait wanaonekana wanawaibia mafuta kwa kuchimba chini kwa chini wanavuka mipaka na kuawibia mafuta - Bwana Saddam unaonaje ukirudisha Kanchi ka Kuwait kwenye greater Iraq kama ilivyo kuwa zamani, we fanya hima u-annex Kuwait sisi na Merikani tutakuhunga mkono!! Saddam ndivyo alivyo ingizwa mkenge - baada ya Hussein kutekeleza ushauri wa Thatcher Uingereza ndio ikawa Taifa la kwanza kumlahumu Saddam Hussein, kumbe Margret na Merikani walikuwa wanamtega Hussein ili wapate sababu ya aidha kumuondoa madarakani au kudhoofisha jeshi lake na influence aliyo kuwa nayo Mashariki ya kati.
Kwa hiyo unaingia JF kwa ajili ya kubishana na kugeuza ukweli kuwa uongo? - Basi ngoja niache ku-argue na wewe.
Well said mkuu lengo lao ndilo hilo hasa! It is saddening indeed!
Je unafikiri unajua siasa za Amerika & Middle East kuliko hao walioianzisha hiyo vita? ulishajua ni kwa nini? - unafikiri vitu hivi unafundishwa shule?
Splendid indeed DotWorld, vitu hivi havifundishwi shuleni - cha muhimu hapa ni kuwa endowed na a-mega smart analytical mind na kuwa mkweli bila ya ku-entertain ushabiki husio na tija, taifa lolote linalo leta wasi wasi karibu Dunia nzima litajwe na kukemewa bila ya kuogopa ushawishi wao wa kifedha na ujuma zao za kudumaza mataifa mengine kwa maslahi yao yasio na utu.