US bombers fly close to North Korea

alianza na aircraft carriers tukajua analiamsha dude kumbe mbwembwe tu, na hao bombers wakirudi bila kuchafua hali ya hewa Nk, ndio itabidi kukubaliana na kiduku kuwa Trump anabwekabweka tu kama mbwa
 
Unazungumzia SAMs ambazo Israel imekua ikiziJam kila siku kule Syria.
Kiduku ana S200 km zile za Syria ambazo kila siku zinahangaishwa na F15 za miaka ya 70 sembuse Leo kuna F22,B-2,?!


[emoji106] [emoji122] [emoji122]

huyu mzee wenu wa kindergarten anacho kitafuta atakipata!!


Mkuu vipi, naona kama vile lugha imeanza kubadilika hivi...lol!
 
Kwa hio unataka kusema, Russia walishindwa kutimiza ahadi yao ya kumsaidia Sadamu, na kumuokoa mshirika wake Iraq , pia kuviokoa visima vyake vya mafuta kwasababu ya umbali????? Sio kweli.
Ni swala la historia russia yupo karibu mno ni kama ndugu na NK

itikadi zao zinafanana toka zamani japo russia kidogo amekuwa

bepali.....na swala la kijiografia pia linachangia
 
[emoji106] [emoji122] [emoji122]




Mkuu vipi, naona kama vile lugha imeanza kubadilika hivi...lol!
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] Tuna waangalia kwa karibu sana lazima mpate mnachokitaka bila shaka hamtarudia kupitisha tena hizo ndege zenu huko pwani ya north!!
 
Hii Ligi ni Tamu kichizi.


Ila Kiduku lazima akae, watu wasioijua marekani na historia ya Dunia ndio watakaosema NK itashinda. Lakini wanaojua Dunia inaendaje Lazima waelewe kuwa USA ndio mshindi katika Vita hii
mkuu U.S. amesha zeeka ndio maana Russia wamewaita watoto wa kindergarten !!
hana ubabe tena !!
kwa sasa Ubabe wa us umehamia kwenye Twitter!!
 
Hujui Kiswahili ama? Mbona ulichoandika kinaendana na nilichosema. US ilikuwa imeshaichukua NK lakini CHINA wakaja kuwasaidia na kuwarudisha nyuma, kwa maneno mengine waliwachapa hadi kwenye huyo mpaka DMZ au unadhani walirudi bila kichapo? Na kwa taarifa yako NK ni nchi pekee yenye mkataba na CHINA wakusaidiana pale mmoja wa atakapoingiliwa na adui.
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102] Tuna waangalia kwa karibu sana lazima mpate mnachokitaka bila shaka hamtarudia kupitisha tena hizo ndege zenu huko pwani ya north!!

[emoji3] [emoji2]

Hamtaki hata tuwasalimu jamani!..
 
Najua wengi tunaleta ushabik tuu, ila wana US ni watu wenye akili mno, mission zao huwa zina akili sana, kiduku atakuja chezea kichapo npaka dunia itashangaa
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…